komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Hichi ulichokiandika hata heri zile kauli za wakulu wenu majukwani..yani chenga kabisa
Kwani shirika la KQ ni la Wakenya au ni wabia na wazungu, ambao ndio wanaoendesha na wanasiasa wanakula pesa za shirika. Wazungu wanauza Mali zao Kisha waondoke Kisha GOK wachukuwe ili serikali ikabidhi kwa wananchi kuongoza. Kama ilivyo kwa JPM ndege zote ni za serikali. Na ikabidhi kwa KQ na kuongoza na Wakenya na siyo Mzungu