buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 4,678
- 11,357
Kwani wao wajinga kama sisi?
Tumefanyaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wao wajinga kama sisi?
Nyie limbobandia mumelinasua? Mlijifanya mnazo hela na kutunisha misuli mumeishia aibu ya mwaka kwa kuangukia pua. Sasa umesoma na kuelewa nini kinasemwa au ndio zile zenu za kupigwa chenga na kingereza.
Biashara yoyote ni risky lakini ni lazima kujaribu new markets in pursuit of profits if the current market is not working. Wewe lipa Tax upende usipende.What dream? am Taxpayer in kenya and by that fact alone I wouldnt want KQ to embark on a routes that no one knows wherether it has any profit margin just to satisfy the egos of Jubilee beurocrats who want to be praised for achieving FAA acredition.
Mkuu swali langu umelichukulia kwa hisia sana...nimeuliza kiungwana.
Your psychological profile is raising alot of red flags. I think you ate too much yams.I would appreciate if you hold intellectual debates not result to trolling and branding me a tanzanian because I dont fit your pre meditated psychological profiling
Look Mr. Troll, I have sat down in boardrooms at treasury buildings with people you can only wave at when they come for political rallies in your village.Your psychological profile is raising alot of red flags. I think you ate too much yams.
Bla bla zote hizi za nini? Jibu swali "kwanini hamnunui in cash?" [emoji1]Nyie limbobandia mumelinasua? Mlijifanya mnazo hela na kutunisha misuli mumeishia aibu ya mwaka kwa kuangukia pua. Sasa umesoma na kuelewa nini kinasemwa au ndio zile zenu za kupigwa chenga na kingereza.
Kununua ndege kwa cash is stupidityTumefanyaje?
Ni ujinga kwenye biashara ya ndege kununua ndege kwa cash hasa kwa nchi yenye uchumi kama wa kwetu ambako hata mshahara wa watumishi wa serikali tabu. Kama umejipanga vizuri kupata revenue toka hiyo ndege hiyo cash unatakiwa kutumia mahali kwenye mahitaji ya haraka kama mishaharaBla bla zote hizi za nini? Jibu swali "kwanini hamnunui in cash?" [emoji1]
Unaniaminisha kuwa haujui kwanini Tanzania wameamuwa kununua ndege zake badala ya kukopa au kukodisha. Kwani huko nyuma hatujawahi kukodisha ndege na kuishia kuwalipa wenye ndege hata kama ndege ziko juu ya mawe? Wakenya wamenunua ndege nyingi kwa mikopo, hebu wakupe mrejesho hapa, hii wanajisikiaje na hiyo mikopo? Ni kiasi gani kinatoka ndani ya mifuko yao kulipa hiyo mikopo hata kama hakuna abiria moja amepanda hiyo ndege?Ni ujinga kwenye biashara ya ndege kununua ndege kwa cash hasa kwa nchi yenye uchumi kama wa kwetu ambako hata mshahara wa watumishi wa serikali tabu. Kama umejipanga vizuri kupata revenue toka hiyo ndege hiyo cash unatakiwa kutumia mahali kwenye mahitaji ya haraka kama mishahara
Says who? Mkikuyu akili-maandazi? When you can't even write a complete sentence in clear english or swahili? Hahaha 😀😀😀. Stop grandstanding on social media. This aint FB, nobody gives a rats ass. If some of us would do that, I assure you that you would be rendered speechless. Eat your Ugali and Sukumawiki in peace. Remember to visit your village bar for a willing audience.Look Mr. Troll, I have sat down in boardrooms at treasury buildings with people you can only wave at when they come for political rallies in your village.
Take my contributions with the seriousness they deserve. Am not a blogger earning shit money from statehouse's Itumbi.
An My reason for Joining JF is because am retired and there some things am doing at DSE and Arusha is of my intrest businesswise
Kwanza you’re missing the point here. Sikusema lolote kuhusu kukodisha. Nimesema ni ujinga kutoa cash. Labda uniambie hapa kuwa TZimelipa tu initial installments ili imalizie ndege ikiwa inafanya biashara. Kama imelipa cash yote ndio ujinga ninaousema.Unaniaminisha kuwa haujui kwanini Tanzania wameamuwa kununua ndege zake badala ya kukopa au kukodisha. Kwani huko nyuma hatujawahi kukodisha ndege na kuishia kuwalipa wenye ndege hata kama ndege ziko juu ya mawe? Wakenya wamenunua ndege nyingi kwa mikopo, hebu wakupe mrejesho hapa, hii wanajisikiaje na hiyo mikopo? Ni kiasi gani kinatoka ndani ya mifuko yao kulipa hiyo mikopo hata kama hakuna abiria moja amepanda hiyo ndege?
Ndio iwe funzo kwako na wengine wanoa dhania mimi Mkikuyu- Akili timamu == Geza Ulole. Am pure blood kikuyu, with an acedemic and career profile that most of you Jubilee twats can only dream of. Keep your Lanes please, your stupidity is and lack of economic sense is sufforcatingSays who? Mkikuyu akili-maandazi? When you can't even write a complete sentence in clear english or swahili? Hahaha 😀😀😀. Stop grandstanding on social media. This aint FB, nobody gives a rats ass. If some of us would do that, I assure you that you would be rendered speechless. Eat your Ugali and Sukumawiki in peace. Remember to visit your village bar for a willing audience.
Did I say you are Geza? Who cares about what tribe you come from? Thats is so 1908! Maybe you should start your re-education from there. Ni Nini hicho kinachokuwasha washa?Ndio iwe funzo kwako na wengine wanoa dhania mimi Mkikuyu- Akili timamu == Geza Ulole. Am pure blood kikuyu, with an acedemic and career profile that most of you Jubilee twats can only dream of. Keep your Lanes please, your stupidity is and lack of economic sense is sufforcating
So with no landing rights, no routes, no pilots, no engineering unit kwa mtazamo wako watu watakupa ndege zao halafu ushindwe kuwalipa. Who will give you a favourable deal? Nadhani na wewe ungefanya research kidogo kujuwa ATCL ilikuwa kwenye hali gani na sasa iko wapi.Kwanza you’re missing the point here. Sikusema lolote kuhusu kukodisha. Nimesema ni ujinga kutoa cash. Labda uniambie hapa kuwa TZimelipa tu initial installments ili imalizie ndege ikiwa inafanya biashara. Kama imelipa cash yote ndio ujinga ninaousema.
Kabla ya kununua ndege ni lazima ufanye research unaenda kuzifanyia nini hizo ndege. Kama ni prestige kwamba nawe una ndege ndio ujinga mwingine ninaousema. Kama wakenya hawa kufanya hiyo research kabla ya kununua hizo Dreamliners (which I don’t want to believe kwa shirika kubwa kama kq) kulikuwa na shida kwenye research au soko limecheza wakaamua kuminimize their loses kwa kulease out ambayo ni perfectly normal kwenye biashara ya ndege.
Habari ya kusikiaje kwenye biashara is irreverent coz tactics zote hizo ni za kibiashara na wanafanya waliobobea kama kq.
What I commend them with ni kuwa hawakulala baada ya kulease our hizo dreamliners wamechakalika wakijua wana mtaji wa ndege walizowakodisha watu na sasa wanakula dividend ya kununua zile ndege.
Kwa upande wa TZ hiyo mipango haipo wanataka tu fahari ya kuwa na midege itakayokuja tia hasara tu hapa. Nawasilisha
Ulielewa nilisema walifanya research lakini market ikacheza? Obviously hukuelewa. Nilimasnisha kuwa unapanga kwa research makini abiria watakuwa 1m, kwa sababu ya hali ya uchumi wanakuja 300k. Hapa ukiendelea na kubeba abiria ni hasara kwa mfano $1m. Lakini yupo atakayekodi ndege ulizokopa na hasara yako inapungua toka $1m to $200k. Pamoja na kupungua hasara unachakalika utapata rights mpya za kutua say US na hupati hasara tena.So with no landing rights, no routes, no pilots, no engineering unit kwa mtazamo wako watu watakupa ndege zao halafu ushindwe kuwalipa. Who will give you a favourable deal? Nadhani na wewe ungefanya research kidogo kujuwa ATCL ilikuwa kwenye hali gani na sasa iko wapi.
Kenya walinunua dreamliners 9 kwa mkopo, je walifanya research gani ikiwa walibaki kuzikodisha kwa mashirika mengine na zingine kuuza, je huo mkopo unaisaidiaje balance sheet ya KQ. Mkikaa mnaona mandege ya KQ yanaruka mnasahau ni kiasi gani yanawaumiza kifedha with bad management decision. Leo hii with cash injection iliyowekwa ATCL makampuni ya huduma wanakimbilia kuomba tenda za kuhudumia ATCL, non of that was possible two years ago.
Elimu, Elimu, Elimu,Mwezi wa sita haupo mbali na kama kawaida hamna ndege mtakazo nunua ni mehemko tuu.
Haya unayoyasema ni mazuri kwenye theory kuliko practical. Hivi without true initiations of doing business like cash deposit or functional business nani tatakukopesha. Unachokisema wewe ni kizuri kwa airline ambayo tayari iko kwenye soko na kila mtu anaijuwa. Leo hii una airline watu hawaijuwi, hauja advertise, no one trust you kimataifa wala haujapata routes unasema ukaweke instalment wakupe ndege zikibuma unalipishwa canceletion fee ambayo ni mamilioni ya dola. Nilisha sema humu JF mara nyingi tu, business model ATCL ni tofauti na airline kama KQ. Haya mambo mtakuja kuyaona huko mbeleni, kwa sasa ni mchakato wa kuongeza dreamliner.Ulielewa nilisema walifanya research lakini market ikacheza? Obviously hukuelewa. Nilimasnisha kuwa unapanga kwa research makini abiria watakuwa 1m, kwa sababu ya hali ya uchumi wanakuja 300k. Hapa ukiendelea na kubeba abiria ni hasara kwa mfano $1m. Lakini yupo atakayekodi ndege ulizokopa na hasara yako inapungua toka $1m to $200k. Pamoja na kupungua hasara unachakalika utapata rights mpya za kutua say US na hupati hasara tena.
Hoja yangu ni kuwa kwenye biashara hawatoi hard cash yote nyingine unalipa as the ndege commutes
Ushaanza vijisababu 3 months to d-day kwani unajishuku?Elimu, Elimu, Elimu,
Ndege hazinunuliwi kama Vile koti lako nyumba oversize pale Eastleigh,
Mpunga ushalipwa tunasubiri delivery mzee!
Kununua ndege kwa cash is stupidity