buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 4,678
- 11,357
Samahani kama sikukuelewa, ila ni hivi, sio kwamba tunanunua au kukodi, tunachokifanya ni kuagiza ndege tulizokodisha Waarabu kwamba wazitumie kwa muda hadi tutakapozihitaji tena.
Sasa kwa sababu tumepata kibali cha ndege zetu kusafiri moja kwa moja kwenda Marekani na kurudi bila kuunganisha maeneo ya kati, hivyo inabidi tuanze kuagiza ndege zetu zilizopo nje zirudishwe ili tujiandae kibiashara.
Poa poa uwe unajibu hivyo basi. Wasalimie masai warrior dah! Wako vizuri ila majamaa wamekomalia nyumba za tembe safi sana. Jasiri haachi asili.