KQ yakiri kupata hasara kubwa kutokana na kufungiwa safari za Tanzania

Wanao sema zime park[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23] mtajua hamjui.
Screenshot_20200809-094924.jpg
Screenshot_20200809-095039.jpg
Screenshot_20200809-095129.jpg
 
Nilisha kuambia n akili 2 kama hujui tulizana sio ku andikia vituko
Achana nae huyo ana ishu hapo alipo anakula Kwa wazazi wake hajui biashara yeyote unategemea atajua mambo ya kibiashara?
 
Hivi unadhani ndege zinatua na kuondoka bure pale, unadhani wageni wanakuja na teksi zao, unadhani wanakuja na bidhaa zao za matumizi kwenye mabegi, unadhani wanalala kwenu.
Wageni watakuja na ndege nyingine. KQ kufungiwa haina maana wageni wataacha kuja. Nyinyi wenzetu wenye akili na mnaojua diplomasia na uchumi vipi? Nani kawaambia KQ isipokuja wageni hawatakuja?
 
Kila shetani ana mbuyu wake. Wako wageni ambao mbuyu wao Ni KQ. Nikilinganisha na viwanja vingine Kama Bore Ethiopia, Jomo Kenyatta, Oliver Tamo, Shark, Amsterdam.... Sisi hapa Ni Kama tunajifunza tu. Sidhani tuna ndege nyingi na wageni wengi hivyo hatuhitaji KQ na abiria wake, huu Ni ujuha sawa na ujuha mwingine wa kiuchumi.
 
Kwahio mtu akitaka kuja Tz anaweza asije kisa KQ haiji Tz?! Kuna ndege yeyote ya USA inatua Tz? Kuna ndege ya UK inatua Tz? Kuna ndege ya Germany inatua Tz? Je wageni Hawaji kutoka hizo nchi? Au ndio unataka kusema wanaletwa na KQ? Ujuha ni kudhani KQ inashikilia uchumi wetu.
 
Kila shetani ana mbuyu wake. Wako wageni ambao mbuyu wao Ni KQ. Nikilinganisha na viwanja vingine Kama Bore Ethiopia, Jomo Kenyatta, Oliver Tamo, Shark, Amsterdam.... Sisi hapa Ni Kama tunajifunza tu. Sidhani tuna ndege nyingi na wageni wengi hivyo hatuhitaji KQ na abiria wake, huu Ni ujuha sawa na ujuha mwingine wa kiuchumi.
Hivi wewe una matatizo gani?, umeshaona wapi mtu anaamua kusafiri kwasababu kampuni moja ya ndege au bus imesimamisha Niagara?, wacha kujitia hamnazo na kutupitezea nguvu zetu bure.

Wewe unaweza kutuambia marketing share ya KQ katika aviation sector ya Tanzania?, kwanini unalazimisha kwamba KQ ni muhimu sana kwa Tanzania wakati serikali yetu inaona sio minimum?.

Sasa wewe unayeona ni muhimu tuonyeshe yafuatayo
1)Idadi ya abiria wanaotumia KQ kuja na kutoka Tanzania kwa mwaka
2)Onyesha sababu ya hao abiria kutotaka kuja Tanzania kwasababu KQ haiji tena Tanzania, kwamba hao habiria hawataki kutumia ndege zingine zozote zaidi ya KQ.

Wacha kuzungumza vitu visivyokua na uhalisia wowote ilimuradi tu upinge kila linalifanywa na serikali.
 
Nilisha kuambia n akili 2 kama hujui tulizana sio ku andikia vituko
So imagine kuandika kunahitaji akili ndogo sana, sasa unaposhindwa kitu kidogo kama hicho utawezaje kuelewa haya ya ndege? Yani nakua nakuonea tu

Achana nae huyo ana ishu hapo alipo anakula Kwa wazazi wake hajui biashara yeyote unategemea atajua mambo ya kibiashara?
Una assumptions za kitoto sana, kua humble... huu ni mtandao, kutumia platform moja haimaanishi tuko sawa. We jibu hoja usipayuke payuke tu. Unaweza ukakuta matumizi yangu ya internet tu ni sawa au zaidi ya kipato chako cha mwezi!
 
So imagine kuandika kunahitaji akili ndogo sana, sasa unaposhindwa kitu kidogo kama hicho utawezaje kuelewa haya ya ndege? Yani nakua nakuonea tu

Una assumptions za kitoto sana, kua humble... huu ni mtandao, kutumia platform moja haimaanishi tuko sawa. We jibu hoja usipayuke payuke tu. Unaweza ukakuta matumizi yangu ya internet tu ni sawa au zaidi ya kipato chako cha mwezi!
Hahahaha unaweza ukatumia matumizi hata ya milioni 3 Kwa mwezi lakini ukawa hujagharamia wewe . Mtu unampima ktk point zake tu za kujua faida na hasara unajua huyu bogas anasubiri msosi Kwa mama yake . haiwezekani mtu anaejua biashara akasema uamuzi iliochukua serikali ya TZ wanapata hasara Kwa hesabu zipi mwenzetu ulizotumia ?
 
Hahahaha unaweza ukatumia matumizi hata ya milioni 3 Kwa mwezi lakini ukawa hujagharamia wewe . Mtu unampima ktk point zake tu za kujua faida na hasara unajua huyu bogas anasubiri msosi Kwa mama yake .
Ni haki yako kuamini utakacho
haiwezekani mtu anaejua biashara akasema uamuzi iliochukua serikali ya TZ wanapata hasara Kwa hesabu zipi mwenzetu ulizotumia ?
Jibu lako lipo kwenye hii post yangu ya kwanza kabisa. Hiyo hapo chini Ipitie tena... Utahitaji uelewa mpana kidogo kuelewa ila ukishindwa usisite kusema nikufafanulie zaidi
hivi vitu haviendi kienyeji kama unavyofikiria. Kuna watalii aina mbili, wanaojuoa wanapotaka kwenda na kuplan in advance hawa wataenda popote bila kujali vikwazo au gharama ila kuna level ikifika wanabadili plan. wapo wanaoshawishiwa na matangazo, travel agents, offers, gharama na wepesi wa safari. Sawa kukosa kabisa haiwezekani lakini kupungua watapungua. Not good for business.

Sijui kama umewai kusafiri point A to C via B, nitofauti sana na kusafiri point A to B alafu point B to C. Gharama inaongezeka kwa %kubwa hasa safari za ndege. Sasa KQ inaaminika huko duniani, ni mshiriki wa skyteam na inaroute nyingi. Kusema sisi hatuumii ni kuwaza pafupi sana. hapa kilammoja anapoteza.
 
So imagine kuandika kunahitaji akili ndogo sana, sasa unaposhindwa kitu kidogo kama hicho utawezaje kuelewa haya ya ndege? Yani nakua nakuonea tu

Una assumptions za kitoto sana, kua humble... huu ni mtandao, kutumia platform moja haimaanishi tuko sawa. We jibu hoja usipayuke payuke tu. Unaweza ukakuta matumizi yangu ya internet tu ni sawa au zaidi ya kipato chako cha mwezi!
wee ni njaa 2 ina kusubua ume pata sababu yakunikimbia typing error kitu cha kawaida sana acha bangi😂😂😂😂
 
Hiyo yako ni zaidi ya typo. Sentensi zenyewe ni incoherent. Au niziquote tena?
 
Ni lini ATCL imepeleka abiria Kenya? PW ndio shirika pekee la Tz liendalo Kenya.
Huu mgogoro unaiathiri zaidi PW
Kenya inakwamisha tz kwenda Kenya kwa kuzuia vibali sasa wamelikoroga wakitaka kuja tz watoe vibali na sisi twende kwao na ndege zetu
 
Back
Top Bottom