KQ yakiri kupata hasara kubwa kutokana na kufungiwa safari za Tanzania

Savimbi Jr ktk tif tif kama hili nchi zote zina umia na mpaka huyo msafiri / mtalii mwenyewe anaumia . Na zaidi hata mtalii next time atafikiria kuopt usafiri mwingine yaan badala ya kupan

Ndugu hii raman ilikuwa ni KQ ya zaman ss iv the shirika is Zoofuli hali kuna route kibao katibya izo wali kata ili kupunguza loss kumbuka KQ ni kampuni inayo jiendesha kihasara kwa mujibu wa investment waliyofanya wawekezaji akiwemo CEO wa safaricom jina mnamjua

Ni kweli mkuu ,theory ya uchumi ukidisturb equilibrium(Normal routing) basi vitu vingi vinaathirika.
 
Aisee hawa wanaoanzisha hizi nyuzi za mapambio huenda hawana exposure ndio maana hukimbilia kuimba tu fly overs mara ndege.

Wakifika uwanja wa Joma Kenyatta wataona tofauti na kuanza kuwaza upya.

Kuwasaidia wanaLumumba wenzangu kupata exposure ukiwa umekaa nyumbani kwako....tumia google maps au Google earth inaweza saidia kuona miji mbalimbali na kulinganisha na kwetu tujue tuko wapi.

Kiongozi akifanya vema apewe pongezi, ILA tusiwe walevi wa mapambio bila mipango na uelewa
Kwa mtu anayejuwa biashara na anafahamu vizuri KQ asingeifungia kuleta abiria hapa

Ujue wana Lumumba kila kitu wao wanachukulia kisiasa tu ,TZ kublock KQ kutua JNIA inatuumiza hadi sisi lakini Mataga wasioelewa wanashangilia tu bila kujua hadi sisi tunaumia. Mataga inatakiwa wamshauri waziri/rais kutatua huo mgogoro mambo yaende kama kawaida ila wao wanachochea kuni.
 
ATCL haijasimamisha huduma zake kama ilivyifanya KQ, kumbuka kwamba 80%. ya Safari za ATCL ni domestic na hazijasimamishwa kwa kipindi chote Cha Corona.
Kuhusu mambo ya CHADEMA, inaonyesha jinsi ulivyo na akili chafu, hapa tunazungumzia Tanzania, mambo ya vyama yanakuwaje?. Yeyote mwenye kuitetea Tanzania ni CCM?
Hizo safari za ndani akina nani wanapanda ndege ikiwa mabasi ya ubungo tu shida, Jiwe kauia watu kusfiri bila kibali.

JANA Jiwe alikuwa anawaambia wananchi wa Dodoma watauza nyama marekani kwa kutumia ATCL, wakampigia makofi, nikajua kweli MATAGA wote ni zaidi ya nyumbu, hawafikirii kabisa, wanafikir kwenda kuuza nyama soko la Ulaya ni sawa ni sawa na kwenda kariako kuuza mbilimbi ulizozichuma kwenye karo l maji ya chooni.
 
Aisee hawa wanaoanzisha hizi nyuzi za mapambio huenda hawana exposure ndio maana hukimbilia kuimba tu fly overs mara ndege.

Wakifika uwanja wa Joma Kenyatta wataona tofauti na kuanza kuwaza upya.

Kuwasaidia wanaLumumba wenzangu kupata exposure ukiwa umekaa nyumbani kwako....tumia google maps au Google earth inaweza saidia kuona miji mbalimbali na kulinganisha na kwetu tujue tuko wapi.

Kiongozi akifanya vema apewe pongezi, ILA tusiwe walevi wa mapambio bila mipango na uelewa
Mzee Butiku anawafahamu vema watanzania, ni

Mzee Butiku anawajuwa watanzania, Ni waoga na wanafiki, wanaposema YES wanamaanisha NO moyoni na wanaposema NO wanamaanisha YES moyoni. Wanaimba hiyena hiyena kwa awamu zote hata kama hawana maji, barabara, umeme na matibabu. Huwezi kujuwa ni awamu ipi walikuwa na afadhali na ipi walikuwa hoi. Hata msomi kabisa hawezi kudai ujira kwa kuvizia kuteuliwa kuwa Mkurugenzi. Aliyeteuliwa kuwa Mkurugenzi anageuka kuwa mkoloni kwa wwnzie.

KQ inakwenda karibu dunia nzima kule ambako sisi kwa miaka 20 ijayo tunaweza tusifike huko
 
Hiyo point ulioongelea ni sehem ya point ya kwanza. Sasa jumlisha alafu utafakari upya.
Ukishindwa uniambie nikufafanulie
Sasa vipi ulivyosema haukuzungumzia uchumi au mpaka uandike neno UCHUMI ndio utajua kama unazungumzia uchumi Kwa akili yako ? Acha bla bla mada tunaangalia nani anaumia zaidi na sio kubishana usisahau nini tunaangalia hapa . TANZANIA itapata hasara ila si kihasi hicho mpaka kufikia unavyotaka wewe TANZANIA ianze kuilamba kenye Kwa hatua za kipumbavu ilizozichukua Kenya Kwa kukwepa hasara ? Kwa akili kama hiyo yako wewe ni sawa na kua na gari halafu umekodisha hesabu unayoletewa halipi tofauti na makubaliano lakini unaogopa kuchukua gari yako kuiweka parking huku ukitafuta mtu mwengine Kwa kuogopa hasara kipindi ikiwa imepaki .sasa unaonekana huwezi kuchukua maamuzi hata kwenye mipango yako cjui hata kama umewahi kufanya biashara kubwa na watu maana c Kwa kusinzia huko
 
Pamoja na mambo yote ya uchumi,uhusiano wa kimataifa,lakini naipenda hoja ya kuwaonyesha wakenya kuwa sisi sio wajinga kama wanavyotufikiriaga hawa pimbi.
Kwa muda mrefu sasa wakenya wamekuwa wakituchokoza hivyo ni wakati wa kuingia gharama kidogo kuwaonyesha kuwa hatuko weak kama wanavyofikiria wao.
 
Hizo safari za ndani akina nani wanapanda ndege ikiwa mabasi ya ubungo tu shida, Jiwe kauia watu kusfiri bila kibali.

JANA Jiwe alikuwa anawaambia wananchi wa Dodoma watauza nyama marekani kwa kutumia ATCL, wakampigia makofi, nikajua kweli MATAGA wote ni zaidi ya nyumbu, hawafikirii kabisa, wanafikir kwenda kuuza nyama soko la Ulaya ni sawa ni sawa na kwenda kariako kuuza mbilimbi ulizozichuma kwenye karo l maji ya chooni.
US waliwakazia kenya wakkat wana apply route ya direct flight to us, waka wataka wajenge cargo point ya mizigo inayo kwenda US separately.... Nafikiri ilikuwa ni sababu ya issue ya ugaidi nasikia pia rwandair wameomba na wao sijui ni appeoved au just a request
 
US wamewekeza sana Kenya, hawawezi wakazia maana wanapata faida kubwa kupitia AGOA, kiburi cha mkuu wetu hapa ndio kimetuponza, sisi hatujafunga ila hawaji, wanaogopa koona
 
Mh kakudanganya nani ? Fanya research unafikiri KQ ile ruti waliomba mchana kisha usiku wakapewa kibali thubutu yao walifanyiwa mpaka audit na testing ya uwezo wa marubani wao na ubora wa ndege zao. Chunguza ktk hili unaweza google pia utapata walau data. Hamna chaa AGOA wala EPA (soma hapo chini )👇👇

when it comes to security. Kwa US.
Kenya attains Category One status, paving way for direct US
 
Pipo funny youse
Pimbi wewe,wao walivyotuzuia walifanya hekima,alafu comments zako,hua za kitoto Sana mkuu,Ila samahani,nina unakika wewe elimu yako ni darasa la Saba,au form 4,umejitahidi Sana,form 6,alafu ukafeli.kama unabisha,prove me wrong.
 
hivi vitu haviendi kienyeji kama unavyofikiria. Kuna watalii aina mbili, wanaojuoa wanapotaka kwenda na kuplan in advance hawa wataenda popote bila kujali vikwazo au gharama ila kuna level ikifika wanabadili plan. wapo wanaoshawishiwa na matangazo, travel agents, offers, gharama na wepesi wa safari. Sawa kukosa kabisa haiwezekani lakini kupungua watapungua. Not good for business.

Sijui kama umewai kusafiri point A to C via B, nitofauti sana na kusafiri point A to B alafu point B to C. Gharama inaongezeka kwa %kubwa hasa safari za ndege. Sasa KQ inaaminika huko duniani, ni mshiriki wa skyteam na inaroute nyingi. Kusema sisi hatuumii ni kuwaza pafupi sana. hapa kilammoja anapoteza.

KQ mpaka sasa haiendi route nyingi kutokana na covid-19.

Kenya inafanya jeuri kwa Tanzania wakati katika takwimu zinaonesha KQ mojawapo la soko lake kubwa la abiria duniani ni route za Zanzibar, Dar es Salaam na Kilimanjaro.

Mfanyabiashara kama KQ kupitia serikali yake ya Kenya ilitakiwa wafikiri mara mbili badala ya kuchukua hatua zile ambazo zinazidi kuiumiza KQ.

Tanzania haina cha kupoteza hata iamue kutoruhusu KQ kuja Tanzania kwa miaka 10 ijayo.
 
Hizo safari za ndani akina nani wanapanda ndege ikiwa mabasi ya ubungo tu shida, Jiwe kauia watu kusfiri bila kibali.

JANA Jiwe alikuwa anawaambia wananchi wa Dodoma watauza nyama marekani kwa kutumia ATCL, wakampigia makofi, nikajua kweli MATAGA wote ni zaidi ya nyumbu, hawafikirii kabisa, wanafikir kwenda kuuza nyama soko la Ulaya ni sawa ni sawa na kwenda kariako kuuza mbilimbi ulizozichuma kwenye karo l maji ya chooni.
Nimekuambia 80% ya routes za ATCL ni domestic, kwani Magufuli amezuia domestic travels?, sidhani kama ninahitaji kuendelea kukujibu, kila la kheri.
 
Shirika la ndege la Kenya Airways linasema kuwa mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania haijabatilisha uamuzi wa kufuta kibali cha kuziruhusu ndege zake kusafiri nchini humo takriban wiki moja baada ya Waziri wa Uchukuzi wa Kenya James Macharia kueleza kuwa nchi hizo mbili zimefikia makubaliano.

Afisa Mkuu Mtendaji wa Shirika hilo la Kenya, Allan Kilavuka, ameeleza kuwa usimamizi wa KQ unasubiri jibu kutoka kwa serikali ya Kenya kwa sababu bado hawajapata idhini ya kusafiri Tanzania.

Takriban wiki moja baada ya serikali ya Kenya kutangaza kuwa imefanya mazungumzo na Tanzania kusuluhisha mgogoro ulioibuka Ijumaa wiki iliyopita baada ya Tanzania kutangaza kufuta ndege za shirika la ndege la Kenya Airways(KQ) kufanya safari zake humo katika viwanja vyake vya ndege vya Dar es Salaam, Kilimanjaro na Zanzibar, Kenya Airways inasema bado hamna jibu ya kufanya safari nchini humo.

Afisa Mkuu mtendaji wa shirika hilo Allan Kilavuka ameeleza VOA kuwa shirika hilo linasubiri maelekezo kutoka kwa serikali ya Kenya kujua utaratibu uliopo.

Waziri wa Uchukuzi nchini Kenya James Macharia wakati akizindua safari za ndege za Kenya Airways to nchi 30 wiki iliyopita katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA) alieleza kuwa amefanya mazungumzo na Waziri wa Kazi, uchukuzi na mawasiliano nchini Tanzania Isack Aloyce Kamwelwe na kukubaliana mgogoro huo.

Hata hivyo, Bw Kilavuka anakariri kuwa Kenya Airways haiwezi kufanya chochote ila kusubiri jinsi mgogoro huo unavyosuluhishwa na mamlaka husika za serikali hizi mbili.Lakini anaeleza kuwa kusitishwa huko kuna athari kubwa kwa Kenya Airways.

Hatua hiyo ya Tanzania ilifuatia tangazo la serikali ya Kenya kutoiorodhesha nchi hiyo kuwa miongoni mwa nchi 11 ambazo wasafiri wake wanaruhusiwa kuwasili Kenya wakati usafiri wa kimataifa unaporejea.

Kupitia taarifa kwa vyombo vya habari Ijumaa wiki iliyopita, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya safari za anga nchini Tanzania (TCAA), Hamza Johari alisema serikali ya Tanzania imesimamisha mara moja safari za ndege za shirika la Kenya Airways kutoka Nairobi kutua viwanja vyake kufuatia tangazo la Kenya kuiacha nje ya nchi zinazoruhusiwa kufanya safari humo.

Hata hivyo siku moja baadaye, Kenya ilitoa ufafanuzi kuwa haijapiga marufuku ndege za Tanzania kuingia nchini mwake hata kama si miongoni mwa nchi zilizoorodheshwa ndege zake kuingia anga ya Kenya.

Kenya Airways ilirejelea safari za ndege za kimataifa Agosti mosi mara ya kwanza baada ya kusitisha safari hizo Machi mwaka huu kutokana na maambukizi ya virusi vya Corona.

Mgogoro kuhusu safari za Tanzania bado kutatuliwa, yasema Kenya Airways

MY TAKE: Magufuli shikilia hapo hapo Hakuna kuwaruhusu hawa wajinga kwasasa hadi wapige magoti.
Ipo siku utafungua thread ya kudai wale tausi
 
hivi vitu haviendi kienyeji kama unavyofikiria. Kuna watalii aina mbili, wanaojuoa wanapotaka kwenda na kuplan in advance hawa wataenda popote bila kujali vikwazo au gharama ila kuna level ikifika wanabadili plan. wapo wanaoshawishiwa na matangazo, travel agents, offers, gharama na wepesi wa safari. Sawa kukosa kabisa haiwezekani lakini kupungua watapungua. Not good for business.

Sijui kama umewai kusafiri point A to C via B, nitofauti sana na kusafiri point A to B alafu point B to C. Gharama inaongezeka kwa %kubwa hasa safari za ndege. Sasa KQ inaaminika huko duniani, ni mshiriki wa skyteam na inaroute nyingi. Kusema sisi hatuumii ni kuwaza pafupi sana. hapa kilammoja anapoteza.
Hahaaa!! Acha vituko wew me huwa sijibibu hoja huwa nauliza vitu vidogo sana
1.Hao watalii destination yao kubwa huwa wapi?
2.Unajua nni hutokea maranyingi unapo mfaulisha mtalii.
3.kwann KQ ina litaka soko la Tanzania sana na Tanzania haina muda nao na kq ndio wafuliwa wakubwa.
4.Nitajie hasara itakayo pata kenya Na nitajie itakayo pata Tanzania.
Kwanza nikujibu ww then tuwekane sawa.
1.kenya inatumia ghalama kubwa kutangaza vivutio vilivyo Tanzania
kwa kujinadi vipo kwao mfanomfano; Mt. Kilimanjaro, serengeti, Ngorongoro nk .hapa wana vuta watalii wenge na wakifika kenya wanaishia Masai mara na Amboseli.
2.Unapo mfaulisha mtalii kwer gharama upanda na ndicho wanacho fanya kenya kuvuta wire upande wao ili watalii washinde kushuka mahala stahiki waishie kenya ama laaa ! Wakachangie KQ.
3.KQ ina faidika sana na soko la Tz kama daladala wana pakia Nairobi wana shusha JNIA, KIA. Au Zanzibar maana wengi hushuka kenya na kuja Tz.
4.Hasara za kenya (a)kupungukiwa mapato watalii (b)ndilo linalo waliza KQ Hasara kwa kampuni.
(C) Mizigo iliyo kuwa ina pitia tz kupeleka nje ita kose kana.
(D) kupungua kwa safari za kimataifa maana KQ mara nyingi huludisha au kusogeza watalii kalibu na makwao kupungu kwa watalii kwanu n pigo.
Hasara 🇹🇿Tz niza muda mchache sana kutokana na cov-19 maana ndio destination kubwa ya watalii
1.kupungua kwa watalii kwa muda maana selikali ime kaza kwenye kufungua masoko ya utalii kimataifa Ndio maana travel agent walitangulia kuja Tz
2.Kuna watu wana sema Kuna waTZ wana fanya kazi KQ niwachache na ikiwa ATCL ina zidi kujipanua wata jiunga bila shida.

Faida kwa Tz ni🔥🔥 nyingi mno ongezeko la watalii ambapo mapato yatapanda Na kama hujui Mashilika ya ndege huangalia faida so kuja Tz itakuwa na faida na Ndipo ATCL ita faidika.
 
I concur with you alafu hizi ni hoja na mawazo yetu na mitazamo yetu ATCL hasijapakiwa na zinapga kazi hasa hizi ndogo hatuna hasara pia hakuna kiongozi yoyote ikiwemo na Magu wanaweza ingia mkenge kiboya na lazma wa naangalia both sides of the coin sawa Tz we stand to lose lakini ni kiasi kidogo sana ukicompare na Kunyaland so tuache ushabiki na tutoe hoja ambazo ni objective na factual. That dude shud Jst lay back and think again lol
ATCL haijasimamisha huduma zake kama ilivyifanya KQ, kumbuka kwamba 80%. ya Safari za ATCL ni domestic na hazijasimamishwa kwa kipindi chote Cha Corona.
Kuhusu mambo ya CHADEMA, inaonyesha jinsi ulivyo na akili chafu, hapa tunazungumzia Tanzania, mambo ya vyama yanakuwaje?. Yeyote mwenye kuitetea Tanzania ni CCM?
 
hivi vitu haviendi kienyeji kama unavyofikiria. Kuna watalii aina mbili, wanaojuoa wanapotaka kwenda na kuplan in advance hawa wataenda popote bila kujali vikwazo au gharama ila kuna level ikifika wanabadili plan. wapo wanaoshawishiwa na matangazo, travel agents, offers, gharama na wepesi wa safari. Sawa kukosa kabisa haiwezekani lakini kupungua watapungua. Not good for business.

Sijui kama umewai kusafiri point A to C via B, nitofauti sana na kusafiri point A to B alafu point B to C. Gharama inaongezeka kwa %kubwa hasa safari za ndege. Sasa KQ inaaminika huko duniani, ni mshiriki wa skyteam na inaroute nyingi. Kusema sisi hatuumii ni kuwaza pafupi sana. hapa kilammoja anapoteza.
Ondoa porojo hapa, KQ ni takataka unapozungumzia masharika timamu ya kutumainika
 
hii covid watu wameivagaa kichwa kichwa matokeo yake uchumi kwa baadhi ya nchi utaingia shimoni.
 
Hahaaa!! Acha vituko wew me huwa sijibibu hoja huwa nauliza vitu vidogo sana
1.Hao watalii destination yao kubwa huwa wapi?
2.Unajua nni hutokea maranyingi unapo mfaulisha mtalii.
3.kwann KQ ina litaka soko la Tanzania sana na Tanzania haina muda nao na kq ndio wafuliwa wakubwa.
4.Nitajie hasara itakayo pata kenya Na nitajie itakayo pata Tanzania.
Kwanza nikujibu ww then tuwekane sawa.
1.kenya inatumia ghalama kubwa kutangaza vivutio vilivyo Tanzania
kwa kujinadi vipo kwao mfanomfano; Mt. Kilimanjaro, serengeti, Ngorongoro nk .hapa wana vuta watalii wenge na wakifika kenya wanaishia Masai mara na Amboseli.
2.Unapo mfaulisha mtalii kwer gharama upanda na ndicho wanacho fanya kenya kuvuta wire upande wao ili watalii washinde kushuka mahala stahiki waishie kenya ama laaa ! Wakachangie KQ.
3.KQ ina faidika sana na soko la Tz kama daladala wana pakia Nairobi wana shusha JNIA, KIA. Au Zanzibar maana wengi hushuka kenya na kuja Tz.
4.Hasara za kenya (a)kupungukiwa mapato watalii (b)ndilo linalo waliza KQ Hasara kwa kampuni.
(C) Mizigo iliyo kuwa ina pitia tz kupeleka nje ita kose kana.
(D) kupungua kwa safari za kimataifa maana KQ mara nyingi huludisha au kusogeza watalii kalibu na makwao kupungu kwa watalii kwanu n pigo.
Hasara 🇹🇿Tz niza muda mchache sana kutokana na cov-19 maana ndio destination kubwa ya watalii
1.kupungua kwa watalii kwa muda maana selikali ime kaza kwenye kufungua masoko ya utalii kimataifa Ndio maana travel agent walitangulia kuja Tz
2.Kuna watu wana sema Kuna waTZ wana fanya kazi KQ niwachache na ikiwa ATCL ina zidi kujipanua wata jiunga bila shida.

Faida kwa Tz ni🔥🔥 nyingi mno ongezeko la watalii ambapo mapato yatapanda Na kama hujui Mashilika ya ndege huangalia faida so kuja Tz itakuwa na faida na Ndipo ATCL ita faidika.
Upo vizuri sana mkuu.
 
Back
Top Bottom