KQ yakiri kupata hasara kubwa kutokana na kufungiwa safari za Tanzania

KQ yakiri kupata hasara kubwa kutokana na kufungiwa safari za Tanzania

Siku kizuri,kumbuka hilo shirika limeajiri watanzani pia,sasa likipata hasara, ajira za wabongo pia zinakuwa mashakani
Kwahiyo wewe na tundu akili zenu zipo sawa maana Tundu alisema bora tuendelee kupigwa tu kwenye madini kuliko kurekebisha mikataba tutashtakiwa leo anataka nchi mtu mwenye akili ndogo kama huyu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji848] vituko kweli!! Nawe upo tayar TANZANIA ikose maslahi mapana kulinda ajila ya Watanzania 2 tena wa kubahatisha maana huna uhakika kama kuna Watanzania wameajiliwa ktk hilo shirika pengine wapo.
 
Hivi unadhani ndege zinatua na kuondoka bure pale, unadhani wageni wanakuja na teksi zao, unadhani wanakuja na bidhaa zao za matumizi kwenye mabegi, unadhani wanalala kwenu.
Umemaliza kufikiria au ndio unanza?
 
Hivi unadhani ndege zinatua na kuondoka bure pale, unadhani wageni wanakuja na teksi zao, unadhani wanakuja na bidhaa zao za matumizi kwenye mabegi, unadhani wanalala kwenu.
Hakuna biashara yenye ushindani kwasasa Kama usafiri wa ndege, hakutokuwa na upungufu wowote kwasababu mashirika yenye kutoa huduma ya usafiri wa ndege ni mengi kuliko mahitaji.

Kitendo cha KQ kukatazwa kuja Tanzania, tayari mashirika mengine yanachekelea kama ET, Emirates, Qatar, Turkey, Rwanda na SAA airways, sasa wewe wasiwasi wako unatoka wapi?
 
Hakuna biashara yenye ushindani kwasasa Kama usafiri wa ndege, hakutokuwa na upungufu wowote kwasababu mashirika yenye kutoa huduma ya usafiri wa ndege ni mengi kuliko mahitaji.

Kitendo cha KQ kukatazwa kuja Tanzania, tayari mashirika mengine yanachekelea kama ET, Emirates, Qatar, Turkey, Rwanda na SAA airways, sasa wewe wasiwasi wako unatoka wapi?
Ndio mana nikamiliza amemaliza kufikiria au ananza.
 
Hivi unadhani ndege zinatua na kuondoka bure pale, unadhani wageni wanakuja na teksi zao, unadhani wanakuja na bidhaa zao za matumizi kwenye mabegi, unadhani wanalala kwenu.
Wakati unaiwaz iyo kq km mkombozi unapaswa kujua kuna mashirika mengi sna y ndege yanayo udumia Tz....mfano Chukua hii ya KLM....Alafu siku nyingine nivyema ukangalia vitu kwa mapana yake kuliko kutumia logic ndog
Screenshot_20200808-122805.jpg

Usisahau hii ni bada ya korona....
 
Shirika la ndege la Kenya Airways linasema kuwa mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania haijabatilisha uamuzi wa kufuta kibali cha kuziruhusu ndege zake kusafiri nchini humo takriban wiki moja baada ya Waziri wa Uchukuzi wa Kenya James Macharia kueleza kuwa nchi hizo mbili zimefikia makubaliano.

Afisa Mkuu Mtendaji wa Shirika hilo la Kenya, Allan Kilavuka, ameeleza kuwa usimamizi wa KQ unasubiri jibu kutoka kwa serikali ya Kenya kwa sababu bado hawajapata idhini ya kusafiri Tanzania.

Takriban wiki moja baada ya serikali ya Kenya kutangaza kuwa imefanya mazungumzo na Tanzania kusuluhisha mgogoro ulioibuka Ijumaa wiki iliyopita baada ya Tanzania kutangaza kufuta ndege za shirika la ndege la Kenya Airways(KQ) kufanya safari zake humo katika viwanja vyake vya ndege vya Dar es Salaam, Kilimanjaro na Zanzibar, Kenya Airways inasema bado hamna jibu ya kufanya safari nchini humo.

Afisa Mkuu mtendaji wa shirika hilo Allan Kilavuka ameeleza VOA kuwa shirika hilo linasubiri maelekezo kutoka kwa serikali ya Kenya kujua utaratibu uliopo.

Waziri wa Uchukuzi nchini Kenya James Macharia wakati akizindua safari za ndege za Kenya Airways to nchi 30 wiki iliyopita katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA) alieleza kuwa amefanya mazungumzo na Waziri wa Kazi, uchukuzi na mawasiliano nchini Tanzania Isack Aloyce Kamwelwe na kukubaliana mgogoro huo.

Hata hivyo, Bw Kilavuka anakariri kuwa Kenya Airways haiwezi kufanya chochote ila kusubiri jinsi mgogoro huo unavyosuluhishwa na mamlaka husika za serikali hizi mbili.Lakini anaeleza kuwa kusitishwa huko kuna athari kubwa kwa Kenya Airways.

Hatua hiyo ya Tanzania ilifuatia tangazo la serikali ya Kenya kutoiorodhesha nchi hiyo kuwa miongoni mwa nchi 11 ambazo wasafiri wake wanaruhusiwa kuwasili Kenya wakati usafiri wa kimataifa unaporejea.

Kupitia taarifa kwa vyombo vya habari Ijumaa wiki iliyopita, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya safari za anga nchini Tanzania (TCAA), Hamza Johari alisema serikali ya Tanzania imesimamisha mara moja safari za ndege za shirika la Kenya Airways kutoka Nairobi kutua viwanja vyake kufuatia tangazo la Kenya kuiacha nje ya nchi zinazoruhusiwa kufanya safari humo.

Hata hivyo siku moja baadaye, Kenya ilitoa ufafanuzi kuwa haijapiga marufuku ndege za Tanzania kuingia nchini mwake hata kama si miongoni mwa nchi zilizoorodheshwa ndege zake kuingia anga ya Kenya.

Kenya Airways ilirejelea safari za ndege za kimataifa Agosti mosi mara ya kwanza baada ya kusitisha safari hizo Machi mwaka huu kutokana na maambukizi ya virusi vya Corona.

Mgogoro kuhusu safari za Tanzania bado kutatuliwa, yasema Kenya Airways

MY TAKE: Magufuli shikilia hapo hapo Hakuna kuwaruhusu hawa wajinga kwasasa hadi wapige magoti.
Vip airt Tanzania, naskia zimepata faida kwa kupakiwa chini kwa miezi 5 sasa, pongezi kwa JPM, kawaweza wapinzani, hasa CHADEMA.
 
Hivi akili zako umezisahau wapi? Yaani Kwa akili yako unafikiri walichikifanya Kenya kuzuia ndege toka Tz ndio kuboresha uhusiano Wa kimataifa na kuboresha uchumi au?? Hakuna kuongea nao wapuuzi hawa, tumechoka!! Hivi Kwa akili yako hizo nchi walizizifungulia hazina corona au? Kenya ni ya 7 katika Africa Kwa wingi Wa maambukizi ya Corina, halafu wanataka dunia iamini Tz ndo kuna corona zaidi!! Inabidi mtu awe mwendawazimu kwanza kuamini kuwa Tz kuna tatizo kubwa LA corona!

Mkubali msikubali Mungu ameiondoa corona Tanzania Kwa ajili ya utukufu wake mwenyewe!! Tulipotangaza kumtegemea Mungu mlitubeza! Mkasema watu watajifia barabarani, hilo halijatokea! Shule zotezimefunguliwa na hakuna tatizo lolote! hakuna vifo wala mtoto wake na vifo!

Lakini huko Kenya kiburi cha kutikumheshimu Kwa kufunga nyumba za ibada kinawatafuna!!
Usiongee kishabiki mtafute mweye uelewa wa uchumi akusaidie mambo mengine ni magumu kuyaelewa kwa mtu mwenye elimu ya kawaida au yakibashite.
 
Wakati unaiwaz iyo kq km mkombozi unapaswa kujua kuna mashirika mengi sna y ndege yanayo udumia Tz....mfano Chukua hii ya KLM....Alafu siku nyingine nivyema ukangalia vitu kwa mapana yake kuliko kutumia logic ndogView attachment 1530832
Usisahau hii ni bada ya korona....
Mmmmh! Mzee unamaanisha hela za KLM zinatutosha? Hivi umeshafika airport ya Amsterdam ukaona idadi ya ndege zinazotua na kuruka? Ndio maana Lissu akasema hamjui biashara. Ningekuunga mkono Kama ungesema tuwapandishie Kodi KQ
 
vip airt Tanzania, naskia zimepata faida kwa kupakiwa chini kwa miezi 5 sasa, pongezi kwa JPM, kawaweza wapinzani, hasa CHADEMA,
ATCL haijasimamisha huduma zake kama ilivyifanya KQ, kumbuka kwamba 80%. ya Safari za ATCL ni domestic na hazijasimamishwa kwa kipindi chote Cha Corona.

Kuhusu mambo ya CHADEMA, inaonyesha jinsi ulivyo na akili chafu, hapa tunazungumzia Tanzania, mambo ya vyama yanakuwaje?. Yeyote mwenye kuitetea Tanzania ni CCM?
 
Kila mmoja anapoteza ila Kenya anapoteza zaidi ,hivi unajua Kenya inapata abiria huko nje kupitia vyanzo vya utalii vya TANZANIA? Sasa kQ kama ikifungiwa kuingia TANZANIA hata ruti zao za kimataifa zitaumia maana ule uongo wao wa kuwaambia wazungu karibuni Kenya muone mlima Kilimanjaro kisha wawaambie ukitaka kuupanda twendeni kule upande wa Tanzania uongo huu utakua hufanyi kazi tena . kwahiyo kitakachotokea mtalii alietaka kwenda Serengeti na Mt Kilimanjaro atabalidi shirika la ndege badala ya kenya atatumia mashirika mengine.

Na Dunia zima inajua kama ukienda kenya Tanzania hukanyagi sasa lazima mpaka huko duniani mashirika ya Kenya yatanyanyapaliwa Kwasababu ktk utalii Kenya hata kitu anachotegemea kutoka vyanzo vya TANZANIA ndio maana ndege zao unaona wameandika majina ya vivutio vya utalii wa Tanzania sasa wewe sijui uchumi unaozungumzia uchumi gani wa kuangalia mwisho hapo kwenye vidole vyako vya miguu ,uchumi mpana usiangalie faida ya malipo ya kutua na maegesho tu ambayo ni ela ya mboga tu angalia Kwa upana na ndio maana unaona hata wenyewe wanalia lia usizani wanalia Kwasababu ya safari za TANZANIA tu laa wanalia hata safari za huko nje zimevurugika .

Yani umetunga hoja yako na kuijadili mwenyewe. Wapi nimeongelea uchumi? Wapi nimeongelea faida ya kutua na maegesho?
Mtiririko ulionao ni wa kijiweni. Sasa mimi huko sipo, endelea na wengine wa sampuli hiyo.
 
Yani umetunga hoja yako na kuijadili mwenyewe. Wapi nimeongelea uchumi? Wapi nimeongelea faida ya kutua na maegesho? Mtiririko ulionao ni wa kijiweni. Sasa mimi huko sipo, endelea na wengine wa sampuli hiyo
Mimi kawaida yangu nachukua point tu ya msingi na sio maelezo, kwenye maelezo yako umeandikaa labda point yako huijui . Point yako ni hii "KQ inaaminika huko duniani, ni mshiriki wa skyteam na inaroute nyingi. Kusema sisi hatuumii ni kuwaza pafupi sana. hapa kilammoja anapoteza". Kutokana na hii ndio nikakujibu hivyo kuhusu hiyo hasara ya pande zote unayoizungumzia.
 
Yani umetunga hoja yako na kuijadili mwenyewe. Wapi nimeongelea uchumi? Wapi nimeongelea faida ya kutua na maegesho?
Mtiririko ulionao ni wa kijiweni. Sasa mimi huko sipo, endelea na wengine wa sampuli hiyo
Kama ujui unapozungumzia faida na hasara tayari unazungumzia uchumi
 
Mimi kawaida yangu nachukua point tu ya msingi na sio maelezo , kwenye maelezo yako umeandikaa labda point yako huijui . Point yako ni hii "KQ inaaminika huko duniani, ni mshiriki wa skyteam na inaroute nyingi. Kusema sisi hatuumii ni kuwaza pafupi sana. hapa kilammoja anapoteza". Kutokana na hii ndio nikakujibu hivyo kuhusu hiyo hasara ya pande zote unayoizungumzia
Hiyo point ulioongelea ni sehem ya point ya kwanza. Sasa jumlisha alafu utafakari upya. Ukishindwa uniambie nikufafanulie
 
Mmmmh! Mzee unamaanisha hela za KLM zinatutosha? Hivi umeshafika airport ya Amsterdam ukaona idadi ya ndege zinazotua na kuruka? Ndio maana Lissu akasema hamjui biashara. Ningekuunga mkono Kama ungesema tuwapandishie Kodi KQ
Ndugu yangu mbona yapo mengi sana tuu mfano ET,QATAR,ETHIOPIA,SAA,TURKISH,EMIRATES just to mension few...so hawa jama wametufanyia mtimanyongo kwa mda sana sasa imefika wakati wakusema inatosha....
 
yanayoharibu uchumi na uhusiano wa kimataifa.
Uhusiano wa kimataifa my arse!

Uhusiano wa kimaita na Kenya uliwahi kutusaidia nini, kumpa JK degree ya heshima? Ili awanyenyekee?

Kenya wanahitaji zaidi uhusiano na sisi zaidi kuliko sisi tunavyohitaji uhusiano nao.

Na hiyo ni mboga tu tumemwaga baada ya wao kumwaga ugali, bado kupindua na meza yenyewe, tutapasua EAC mazima. Haitakuwa mara ya kwanza.
 
Uhusiano wa kimataifa my arse!

Uhusiano wa kimaita na Kenya uliwahi kutusaidia nini, kumpa JK degree ya heshima? Ili awanyenyekee?

Kenya wanahitaji zaidi uhusiano na sisi zaidi kuliko sisi tunavyohitaji.
Sawa Mkuu endelea kujidanaganya tafuta wenye uelewa wa uchumi wakupe chakula ya ubongo.
 
Nyie mbona mna akili za kijinga? Hivi unafikiri inaathirika kenya peke yake kwa kuzuia ndege za KQ kuja TZ? Nyie ndio manaomdanganya JIWE na anafanya mambo yanayoharibu uchumi na uhusiano wa kimataifa.
Savimbi Jr ktk tif tif kama hili nchi zote zina umia na mpaka huyo msafiri / mtalii mwenyewe anaumia . Na zaidi hata mtalii next time atafikiria kuopt usafiri mwingine yaan badala ya kupan
Nchi ya Kenya imekubalia tu nchi kumi, kati ya nchi zote zingine, kwenye usafiri wa anga. Vipi kuhusu route zingine zote pia ambazo zimekwama kwasababu ya COVID-19? Hivi mnadhani KQ huwa inapiga route kienyeji za daladala kama wale ambao sitawataja kwa jina? Hebu chambueni vizuri hii ramani ya route za KQ kote duniani.
images
Ndugu hii raman ilikuwa ni KQ ya zaman ss iv the shirika is Zoofuli hali kuna route kibao katibya izo wali kata ili kupunguza loss kumbuka KQ ni kampuni inayo jiendesha kihasara kwa mujibu wa investment waliyofanya wawekezaji akiwemo CEO wa safaricom jina mnamjua
 
Kwa mtu anayejuwa biashara na anafahamu vizuri KQ asingeifungia kuleta abiria hapa

Aisee hawa wanaoanzisha hizi nyuzi za mapambio huenda hawana exposure ndio maana hukimbilia kuimba tu fly overs mara ndege.

Wakifika uwanja wa Joma Kenyatta wataona tofauti na kuanza kuwaza upya.

Kuwasaidia wanaLumumba wenzangu kupata exposure ukiwa umekaa nyumbani kwako, tumia google maps au Google earth inaweza saidia kuona miji mbalimbali na kulinganisha na kwetu tujue tuko wapi.

Kiongozi akifanya vema apewe pongezi, ILA tusiwe walevi wa mapambio bila mipango na uelewa
 
Back
Top Bottom