mtanganyika mpya
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 424
- 302
Ntakuambia mara ngapi.
KQ does not spend health, education and infrastructure money to buy planes.
Kq wanamiliki ndege 3 tu zingine zote ni leased dealunajua upeo wa mtu hupimwa na vitu vingi sana
sasa kama mnabeba abiria wote hao why mnapata harasa mwaka wa sababu mfululizo na shirika limepunguza wafanyakazi wengi tuu na bado linapumilia mashine. hiyo 1.2 unayo ongelea imeisaidia nini KQ na projection yao ilikuwa ngapi.
Afu naomba kujua kwani KQ wana ndege ngapi ambazo wao wanazimiliki ila usihesabu zile walizokodi.
Mh ww sio 3 ni 2 moja ni 787 na nyingine ni Q400
huyo ni ndovu anayetembelea mguu mmoja, kilema.
Saidia majibu plzππππππππ
Kubeba abiria sio hoja πππ hapa tunaangalia where is the profit?? Inamaana munabeba abiria bure na munaingizia nchi hasara ya mabilioni ya pesaπππDid you know, loss making KQ still carries over 4 million passengers per year.
How many thousands does ATCL carry?
Kubeba abiria sio hoja πππ hapa tunaangalia where is the profit?? Inamaana munabeba abiria bure na munaingizia nchi hasara ya mabilioni ya pesaπππ
Note:
Every businessman is a profit motivated
πππππππ hvi wewe unaongea nnKQ made an operation profit in 2017 and 2018.
It is suffering only because of past management errors. Kulipa madeni za kitambo.
How much operation profit did ATCL make last year?