Tetesi: KQ yaongeza Hasara mara mbili hadi Ksh 7.5b kutoka billioni 4 mwaka janaπŸ˜†πŸ˜†

Tetesi: KQ yaongeza Hasara mara mbili hadi Ksh 7.5b kutoka billioni 4 mwaka janaπŸ˜†πŸ˜†

Kumbuka ATCL imefufuliwa just 3yrs now na sasa inandege 8 fully owned na mwaka huu zinaingia ndege 3 brand new cash dealπŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘

Kq iko in service almost 50yrs ina ndege 3 fully ownedπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Ntakuambia mara ngapi.
KQ does not spend health, education and infrastructure money to buy planes.
 
unaongelea kq ipi aseee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
KQ inayobeba abiria 4.3 million (which is more than all the pessengers that pass through the whole of JNIA ) and inayogenerate revenue ya $1.2Billion.... hebu niambie ATCL inagenerate revenue ya pesa ngapi????
 
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ usijidanganye budaa
Yani Una re quote kitu ambacho nili quote nikikujibu kwamba usomee official FY report ambayo inaonyesha loss before and after tax ya 2015,16,17 ambazo hazina tofauti kubwa ya b4 and after .... Ehhh nimeenua mikono!
 
Spending money for leased aircraft na bado loss inakula pesa za nchiπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

How much has $142 million gotten ATCL?
Half a dreamliner.
It has gotten KQ 20 planes.
 
How much has $142 million gotten ATCL?
Half a dreamliner.
It has gotten KQ 20 planes.
Paying 37leasd aircraftπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† alaf bado loss juu ya over 100m usdπŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
How much has $142 million gotten ATCL?
Half a dreamliner.
It has gotten KQ 20 planes.
U only own 3 aircraft πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† 37 za watu wanalipwa 147m usd alaf loss inatafuna nchi ya over 100m usd
 
U only own 3 aircraft πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

The Pride of Africa.

1. Ethiopian
2. South African
3. Egypt Air
4. Kenya Airways.
.
.
10. Jambojet
.
.
17. Fly540
.
.
..
23. Silverstone
24. Skyward Express
.
.
.
72. Air Tanzania

ATCL is not fit to wipe Silverstone's feet.
ATCL is not fit to be in the same room with Fly540.

Please, for the last time, go argue with your equals. Akamba bus has more revenue than ATCL.
 
Kenya airways with only 3 aircraft and 37 leased planes bila kusau ndio shirika pekee afrika linaloendesha hasara miaka 7 sasaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Kila mwaka munaramba mchangaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Mtafuteni mchawi aliewaroga
 
Go back to talking to yourself on Dar vs Nairobi thread. You are too dumb for airline talk.
 
Go back to talking to yourself on Dar vs Nairobi thread. You are too dumb for airline talk.
Uneona vile munakula nchi yenu wenyeweπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Baada ya hasara inatoka loan nyingine 25b ksh kusaidia shirika lipumulie mirija ya mikojo

KQ inayobeba abiria 4.3 million (which is more than all the pessengers that pass through the whole of JNIA ) and inayogenerate revenue ya $1.2Billion.... hebu niambie ATCL inagenerate revenue ya pesa ngapi????

unajua upeo wa mtu hupimwa na vitu vingi sana
sasa kama mnabeba abiria wote hao why mnapata harasa mwaka wa sababu mfululizo na shirika limepunguza wafanyakazi wengi tuu na bado linapumilia mashine. hiyo 1.2 unayo ongelea imeisaidia nini KQ na projection yao ilikuwa ngapi.
Afu naomba kujua kwani KQ wana ndege ngapi ambazo wao wanazimiliki ila usihesabu zile walizokodi.
 
Back
Top Bottom