joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Wewe ndiye unayepaswa kuthibitisha point yako ambayo Mimi nimeipinga. Baada ya Mimi kuipinga, wewe ulipaswa ulete ushahidi kuthibitisha kile ulichokisema.Ebu thibitisha kuwa hakuliza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndiye unayepaswa kuthibitisha point yako ambayo Mimi nimeipinga. Baada ya Mimi kuipinga, wewe ulipaswa ulete ushahidi kuthibitisha kile ulichokisema.Ebu thibitisha kuwa hakuliza.
Hahahahaha, like your old diesel SGR, can't and will never make any profit, remember ATCL hatujakopa, hatuna deni la kulipa, isipotengeneza faida, tutabebea magunia ya mahindi kuwapelekea Turkana na Samburu. Ila ninyi wajinga mumechukua mkopo mkubwa na reli lenyewe la kizamani sana limeanza na hasara wakati deni mnaanza kulipa. Failed state.ATCL will never make any profit till Jesus come.
Ahahaha wacha hasira basi ya kujipa matumaini ππππ loss iko pale pale haitwaachia mpaka siku mutarudisha ndege za watu 37ππππWere ni fala kweli, you can't compare financial report ya 9months na ile ya 12months unless your brain is rotten.
Deni hawajaanza kulipa sgr ya kizamani imetengeneza hasara 10b kshππππHahahahaha, like your old diesel SGR, can't and will never make any profit, remember ATCL hatujakopa, hatuna deni la kulipa, isipotengeneza faida, tutabebea magunia ya mahindi kuwapelekea Turkana na Samburu. Ila ninyi wajinga mumechukua mkopo mkubwa na reli lenyewe la kizamani sana limeanza na hasara wakati deni mnaanza kulipa. Failed state.
ππππππππππATCL will never make any profit till Jesus come.
Hahahahaha, malofa sana haya manyang'auDeni hawajaanza kulipa sgr ya kizamani imetengeneza hasara 10b ksh[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Juzi naskia serekali ilichukua loan kulipa loan ya kq ππππππππππATCL will never make any profit till Jesus come.
Tena hio 7.5b is before tax hebu weka tax hapo tuone kama haifiki over 10bππππATCL will never make any profit till Jesus come.
So bbc waongoπππππππ
2017 iliku 6.7 na 2018 imepanda mpaka 7.8b
Mnajaribu vyote lakini wapi..... Ngoja ni waongezee na hii Full Year (Jun16-June17) Financial results ya KQ 2017Tena hio 7.5b is before tax hebu weka tax hapo tuone kama haifiki over 10bππππ
Mr 'econmist' talking of good business and profit by ATCL, unasemaje kuhusu ROC and ROR?Kama KQ inapata hasara katika hayo maeneo matatu, 1)Fuel cost, 2)Salaries, and 3)Fleet ownership. ATCL haina gharama za Fleet ownership, na gharama za salaries ni ndogo sana kutokana na idadi ndogo ya employees na viwango vidogo vya mishahara, ni wazi ATCL is making good business.
Ndio maana nikakwambia ww ni mjinga hio 2017 with tax inside ilikua 101m usd na hii ya 2018 without tax ni 77.8m usd haya add tax kwenye hio amount ya 77.8m usd uone kama haizidi ya 2017 punguza ujinga na ujuajiMnajaribu vyote lakini wapi..... Ngoja ni waongezee na hii Full Year (Jun16-June17) Financial results ya KQ 2017
View attachment 1085481
Angalia hapo niwekeka alama, Hio ni loss After tax
View attachment 1085482
2015, loss ilikua a staggering $289 Million USD, 2016 Loss ikapungua kidogo hadi $260Million, 2017 loss ikazidi kupungua hado $101 Million......... Sasa 2018 loss imezidi kushuka hadi $75m...... Hebu niambie, kama mwendo ndo huo, unafikiri tunaelekea wapi, juu au chini????
7.5 my friend is without tax kenge wewe na 9.4 tax included so take 7.5 add tax alaf uone increase of 17.7% loss ipo au haipo watu washapiga hesabu kitamboππππ we unatuletea hesabu za kushiba skumawiki hapaHiyo link uliifungua na kusoma kweli??? Hivi ndo hio link inasema
----------------------
Shirika la taifa la safari za ndege nchini Kenya Kenya Airways(KQ) limetangaza kupata hasara ya kifedha mwaka uliopita kwa takriban $75m.
Hasara hiyo ambayo ni sawa na shilingi za Kenya 7.59 ilirekodiwa katika kipindi cha miezi 12 hadi mwishoni mwa mwaka 2018.
Hata hivyo kiwango hiki cha hasara ni kidogo kuliko hasara ya mwaka jana ambayo ilikuwa ni Shilingi bilioni 9.44 katika kipindi cha mwaka 2017...........................
https://www.bbc.com/swahili/habari-48108367?ocid=socialflow_twitter
Kati ya 9.44B 2017 na 7.59B 2018, ipi ndo kubwa?????
7.5 my friend is without tax kenge wewe na 9.4 tax included so take 7.5 add tax alaf uone increase of 17.7% loss ipo au haipo watu washapiga hesabu kitamboππππ we unatuletea hesabu za kushiba skumawiki hapa
Oya! Nimecheka sana hii picha π π π π π
We matak.. kweli, hii habari imeandikwa na watanzania?
Do you know what happens when liabilities exceeds its assets?
But 2018 imeenda juu loss kuliko 2017ππππ sijui inapungua vp???
But cha ajabu kq inamiliki ndege 3 tuπππ
Muko kwenye service miaka 50 lakini munamiliki ndege 3
Very good, kwa hiyo kwasasa hivi ikitokea KQ haiwezi kuendelea na biashara, share holders watachukua hizo ndege 3 pekee, na hizo 17 zitawekwa katika Escrow account kwasababu sio za KQ wala sio za leasing company. In nutshell KQ has only 3 planes.KQ fully owns 3 planes
KQ partially owns 17 planes (debt repayment in progress)
KQ leases 20 planes
KQ fleet - 40
ATCL fleet - 3
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
37 leased aircraft and 3 fully owned by kqKQ fully owns 3 planes
KQ partially owns 17 planes (debt repayment in progress)
KQ leases 20 planes
KQ fleet - 40
ATCL fleet - 3
ππππππππ