Tetesi: KQ yaongeza Hasara mara mbili hadi Ksh 7.5b kutoka billioni 4 mwaka janaπŸ˜†πŸ˜†

So bbc waongo[emoji38][emoji38][emoji38][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
2017 iliku 6.7 na 2018 imepanda mpaka 7.8b

Because reading is like a cancer to you, let me screenshot for you what's in your tweet uone ni mwaka gani hasara ilikuwa mingi.
IMG_20190501_115903_937.jpeg
 
Wabunge waliulizia in ndege ngapi zinamilikiwa na KQ na wengine wakaguess ati 3. So tell me, tangu hiyo repoti itoke, ni mbunge gani ameipinga?
Ni tatu kweli sio uongo so ww au wabunge nani anajua zaidi???πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
ATCL haijapata faida.
Hahahahaha, kama ATCL alipii fleet ownership, na salaries ni kidogo sana, kwa nini isipate faida?..

Kenya msipokubali kukaa pamoja na Magufuli ili mshiriliane naye badala ya kushindana naye, mtajikuta katika hali ngumu sana
1) Bomba la mafuta amelinyakua
2)SGR kwenda Rwanda ameinyakua
3)Utalii ameshawapiga bado
4) SGR ya Uganda ndio hiyo Mchina ameshampa Museven sababu ya kuanzia Mazungu na Mturuki ili aunganishe na Tanzania
5)KQ ipo ICU, inatoa nafasi kwa ATCL kuchukua nafasi.

" if you can't fight them, join them".
 
Ebu post any year ATCL made a profit then I won't quote you again.
 
Hongereni sana wakenya,na sisi watanzania,kupitia rais wetu mzalendo tutahakikisha tunawazidi kabla ya mwaka 2020
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Were ni fala kweli, you can't compare financial report ya 9months na ile ya 12months unless your brain is rotten.
 
Ebu post any year ATCL made a profit then I won't quote you again.
Hiyo sio ripoti acha ujinga wewe, hiyo ni press release ambayo is not even an official document.

Kuhusu mbunge wenu hakuuliza kwamba KQ inamiliki ndege ngapi, yeye alisema kwamba KQ inamiliki ndege 3, sasa hizo zingine nani ni wamiliki wake?, kwasababu kuna dalili kwamba baadhi ya viongozi wa kisiasa(Uhuru Kenyatta) ni miongoni mwa kwenye hisa katika baadhi ya hizo ndege
 
Ebu thibitisha kuwa hakuliza.
 
Back
Top Bottom