komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Kheee!!si wewe uliyeseme nilete wapi tunatumia $1b kufanyia miradi...
Nimekubana sio[emoji23][emoji23][emoji23]
Anyway, hayo uliyoyataja mnatuzidi kipi?
Story za vijiweni sitaki
Nimekubana sio[emoji23][emoji23][emoji23]
Anyway, hayo uliyoyataja mnatuzidi kipi?
Story za vijiweni sitaki
Kwanini unazungumza pesa, tuzungumze mambo yaliyofanyika katika elimu, Afya, barabara, maji , UMEME, na mambo yenye kuleta maendeleo. Ninyi bajeti yenu haifiki kwa wananchi, 30% inapotea njiani, 52% ni Salaries, sasa bajeti kubwa isiyofika kwa mwananchi inasaidia nini?