KRA vs TRA: Kwanini Kenya inakusanya kodi mara 3 ya Tanzania

Ndugu yangu sijui kuna nini?

Sijawahi kusikia kandarasi ikitangazwa ya kutengeneza tovuti ya serikali japo nyingi zinatengenezwa na wale wale jamaa egoverment ambao wana template moja tu wanazunguka nayo kila mahali.. nasikia mkuu wa egoverment ana PHD.

Hizi kazi wanapeana kishikaji.. watoto wa wajomba ndio wanapewa hizo kazi.

Tatizo kubwa lipo kwa wakuu wa vitengo vya ICT wengi wao ni wale walio soma maumeme miaka ya 70.
 
Tovuti zinazo takiwa kutoa huduma ila ni za ovyo
1.Brela
2.Tanroad
3. Tarura
4. [emoji1][emoji1][emoji1]


 

Nakubaliana na wewe 100% na ulichokisema tusipokunali huo ukweli tutakuwa tunadanganywa na wanasiasa huku tunazidi kuwa masikini. Kinachohitajika ni watu kuwa huru kufanya shuguli zao siyo kusubiria sijui serikali ilete nini kama sehemu hakuna zahanati hiyo inatakiwa kuwa ni fulsa kwa wafanya biashara siyo kukaa kusubiria seriakali sijui nini. Watu wakiwa huru kufanya shuguli zao ndipo watapata maendeleo na serikali itapata mapato makubwa pia.
 
Asante Kwa NONDO hizi...

Mkuu KRA (Kenya) kwao VAT ni 16% wakati TRA (Tanzania) VAT ni 18%
Je, tungekusanya nasi 16% ndo ingekuaje?
 
Ndio sababu nikasema wewe unafaa kuwa mwanasiasa kwasababu ni mpiga domo mzuri sana, unapozungumzia kuhusu Capitalism vs Socialism, hiyo ndio kupiga siasa kwenyewe. Kwako wewe unadhani Capitalism ni nzuri, lakini Ngugi wa Thiong'o, msomi mkubwa sana wa Kenya anafikiria tofauti kabisa na mawazo yako

Kenya Capitalism ndio hiyo imeifikisha Kenya hapo ilipo
1)Tribalism
2)Nepotism
3)Slums
4)Land injustice
5)Corruption
6)Big gap between rich and poor
7)Hunger
8) Insecurity

Sijui Capitalism imeisaidiaje Kenya?
 
Wanafanya kitu kibaya sana maana hiyo mitovuti yao mibovu inaonekana dunia nzima
 
Kaka hata DSM pia rates ni tofauti kulingana na maeneo, Mbagala na Sinza rates zinatofautiana, muhimu utoe taharifa TANESCO ili wakupangia daraja unalostahili, lakini yote kwa yote UMEME ni cheap Tanzania kuliko Kenya
 
Kabisa boss

KRA: Capital Gain Tax 5%
TRA: Capital Gain Tax 10%
Asante Kwa NONDO hizi...

Mkuu KRA (Kenya) kwao VAT ni 16% wakati TRA (Tanzania) VAT ni 18%
Je, tungekusanya nasi 16% ndo ingekueaje?
 
Hahahaha.wewe kweli kizibo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Vipimo vyote kwenye masuala kama haya huwa vipo in $, sio hela ya madafu Tzshs. Kutoka kwa GDP, foreign exchange, kodi, ushuru hadi biashara kati ya Kenya na Tz au hata UG. Kwahivyo wawekezaji siku hizi wanaenda UG na Tz badala ya Kenya? 😀 Turudi tu kwenye mada ya uzi huu, tafadhali. KRA, TRA n.k.
 
TRA wanatumia GEPG, KRA hawana
 
Hili ndio tatizo lenu ninyi wakenya, hivi kwanini kuna zaidi ya makampuni 500 yapo Tanzania na mengi yapo katika manufacturing sector?, sababu kubwa ni kwamba gharama za uzalishaji Tanzania zipo chini ukilinganisha na Kenya. Hivi kwanini makampuni mengi ya USA yanakimbilia kuzalisha bidhaa zao China, sababu ni gharama za uzalishaji.

Hivi kwanini mayai na maziwa Kenya ni ghali kuliko yanayotoka Uganda?, kwanini vitunguu na matunda yanayizalishwa Kenya ni ghali kuliko yanayotoka Tanzania?, kwanini beer na soft drinks Tanzania ni cheap kuliko Kenya?

Kwa ujumla viwanda vya Kenya vingi vinashundwa kupambana na bidhaa zinazotoka China, Uganda na Tanzania kutokana na "higher costs of productions"
 
Mkuu

Kenya wapo well off zaidi yetu kwa mifumo na kila kitu...

Overall wapo mbele yetu,hili huwezi bisha....

Tribalism hata TZ ipo,kiasi gani?hakuna kipimo halisi cha kujua,hatuwezi toa jibu!

Tribalism ya TZ watu hawaongei wazi wazi,ila ya Kenya watu wanaongea upfront,zote ni Tribalism..Moja ni overt na ingine ni on the low!

Nepostism ipo pote,rulling classes TZ ni akina Mwinyis,Kikwetes,Nnauyes,Nyereres,etc

Serikalini wapo Wasukuma tu,Tresury yupo nani tena?Well,you know!

Land Justice,unachekesha sana,land system ya Kenya ni the best system,ardhi ni mali halisi ya mwenye ardhi na sio mali ya rais wa nchi.System inayojali Private Ownership na sio eti ardhi ni mali rais wewe umepangishwa tu kwa miaka 33 au 99,muda ukiisha ardhi inarudi serikalini kwa rais!

System ya kipumbavu sana,wananchi wamepagishwa kwenye ardhi yao wao wenyewe!

Kama ume-work hard ukamiliki ardhi iliyopimwa iwe ardhi yako pekee yako na haitakiwi uingiliwe na serikali au yeyote...

Watanzania wameazimishwa ardhi,sio yao,ni mali ya serikali...Na tena hiyo ardhi uliyoazimishwa ikatokea kuna madini au mafuta au chochote chenye thamani unanyang'anywa kwa uonevu mkubwa na serikali....What a theft?

Corruption ni sawa per capita....Kenya per capita yao ni kubwa na corruption ni kubwa...ila kwa per capita,tuko sawa .....Walao Kenya wana mfumo wa Mahakama unaofanyakazi,mtu akipelekwa mahakamani kwa corruption na kuna evidence anafungwa ana kama hakuna evidencce hafungwi..Tanzania rais ndio anaamua..what a stupid system?

Gap between rich na poor ni safi,maana kama wanadamu wote wapo huru kutafuta mali kwa usawa bila upendeleo basi kutatokea wa kwanza na wa mwisho,hivyo hii ni sahihi....Masikini kua masikini sio kosa la tajiri,ni kosa lake yeye binafsi...Hii sio ishu ya kuzungumzia kabisa....Pia kumbuka masikini wa Kenya kwa kipato kamzidi masikini wa Tanzania kwa kipato,na hii ni thanks to capitalism ya Kenya na blame to communism ya Tanzania tuliyonayo!
 
Hahahaha, hahahaha. Mwaka huu unagombea udiwani au ubunge?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Aisee wewe ni bonge la mwanasiasa, ila hufai kuwa chini ya Magufuli, wewe unafaa sana kufanya kazi na Uhuru Kenyatta, wewe na James Macharia hamna tofauti kabisa, aliyejenga reli ya kizamani kwa swaga za Chinese first class [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kaka hata DSM pia rates ni tofauti kulingana na maeneo, Mbagala na Sinza rates zinatofautiana, muhimu utoe taharifa TANESCO ili wakupangia daraja unalostahili, lakini yote kwa yote UMEME ni cheap Tanzania kuliko Kenya
ndio maana nakwambia yote haya ni communism ya Tanzania

Matajiri wanalipia umeme masikini,which is total stealing!

Kenya hata kama umeme ni ghali,kwanini kuna viwanda vingi zaidi ya Tanzania?

Hilo swali kulijibu sio kazi ndogo!

Swali jingine,jibu honestly....

Kwanini mchimba madini ya Tanzanite Mererani Arusha anaona ni bora akauze madini yake Nairobi na sio Dar es Salaam japo Magufuli kaweka ukuta mrefu kabisa?

Kuna reasons for all these,na majibu yake kama Tanzania inabidi tuyatafute,wenye madaraka nchi hii warekebishe sera ziwe bora mpaka mtu aone ni faida kuuza madini Dar es Salaam na ni faida kubwa kuanzisha kiwanda Tanzania....

Bila hivi tutaishia kuona viwanda na kila kitu vinaenda Kenya tu kila siku!
 
We jamaa huu mjadala ni very constructive unafaa kujifunza kwa ujumla wake......
Ila ulivyouleta hapa Inaonekana tayari unajibu lako kichwani.
 
Mkuu

Siwezi fanyakazi chini Ya Magufuli maana core belief yake kuhusu serikali na nini maana ya maendeleo ni tofauti kabisa!

Mimi ni believer wa True Capitalism,Private Ownership na Personal Freedoms of citizens...Na yeye anaamini Serikali inatakiwa kua Totalitarian Communist na iwaelekeze citizens what to do and what not to do na kunyang'anya hawa mali zao na kuwapa wale kwa lazima..thats wrong
 
Hata kodi anayolipa Zuckerberg hailingani na tekash au mange kimambi
iko ivyo dunia nzima matajiri wanalipa juu kuliko maskini

kuhusu tz hatuna cha kujifunza toka kenya kwa tuko tofaut sana kutulinganisha nchi ya kijamaa na kibepari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…