okUpo sahihi lakini hilo sio tatizo kwa kitu tunakijadili hapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
okUpo sahihi lakini hilo sio tatizo kwa kitu tunakijadili hapa.
Kaka hilo ndio tatizo la wakenya, kujikweza sana, endelea kuwaonyesha ukweli kwa njia ya kiungwana, watabadilika mdogo mdogoTafadhali sn uwe unasoma comment kabla hujajibu wacha kulisha watu maneno, pia kuhusu value ya ksh against tsh uwe unaji update[emoji116][emoji116]View attachment 1572243
Me naona watu wanapoteza muda tu kujadili kitu kwa kuzunguka vichakani wakati ni jambo dogo tu kwamba Kenya wanatoza kodi zaidi ya mara mbili mpaka mara tatu ya Tanzania kwa bidhaaNilikuwa namjibu huyo aliyetoa hoja ya value of money.
Point [emoji122][emoji122]Me naona watu wanapoteza muda tu kujadili kitu kwa kuzunguka vichakani wakati ni jambo dogo tu kwamba Kenya wanatoza kodi zaidi ya mara mbili mpaka mara tatu ya Tanzania kwa bidhaa
Nimeishi Kenya naongea kwa experience, ndio maana kila kitu Kenya bei ni ghali maradufu ya Tanzania, siku Tanzania nayo itatoza kodi kwa rates na tariffs za Kenya, hakutakua na nakisi tunayoiona.
MK254 ni mkenya mpumbavu na asiyetaka kubadilika na ndiyo maana akiona Tz inasonga mbele huwa anapotea kabisa kwenye nyuzi cz amekaa kishabiki mno, ss nani asiyejua kwamba kenya kuna madudu mengi kuliko Tz, usikute hata hyo KRA inapika taarifa ionekane inakusanya sn.
Kama wanakusanya sn mbn wananchi bado wana maisha magumu tofauti na Tz? Kama wanakusanya sn mbn GoK inakesha kuomba misaada hata ya ku finance miradi midogo midogo? So lengo la huu uzi ni kuonesha mapungufu yaliyopo TRA japo mtoa uzi ameandika kishabiki zaidi but ukweli ni kwamba TRA inanuka madudu.
Angalia bei zao za bidhaa common kamaPoint [emoji122][emoji122]
Me naona watu wanapoteza muda tu kujadili kitu kwa kuzunguka vichakani wakati ni jambo dogo tu kwamba Kenya wanatoza kodi zaidi ya mara mbili mpaka mara tatu ya Tanzania kwa bidhaa
Nimeishi Kenya naongea kwa experience, ndio maana kila kitu Kenya bei ni ghali maradufu ya Tanzania, siku Tanzania nayo itatoza kodi kwa rates na tariffs za Kenya, hakutakua na nakisi tunayoiona.
Hili nalo pia ni sababu kubwa ya tofauti ya mapato kati ya KRA na TRA, wakenya wanatozwa kodi nyingi na kubwa kuliko Tanzania.Me naona watu wanapoteza muda tu kujadili kitu kwa kuzunguka vichakani wakati ni jambo dogo tu kwamba Kenya wanatoza kodi zaidi ya mara mbili mpaka mara tatu ya Tanzania kwa bidhaa.
Nimeishi Kenya naongea kwa experience, ndio maana kila kitu Kenya bei ni ghali maradufu ya Tanzania, siku Tanzania nayo itatoza kodi kwa rates na tariffs za Kenya, hakutakua na nakisi tunayoiona.
Sio kuwa na kiwanda na kutokua nacho, suala ni kwamba hata ukiagiza kutoka nje pale bandarini unatoza kodi kiasi gani?Mnajiaminisha vitu vya kiajabu, taja kimoja hicho ambacho huku bei yake ni maradufu yenu, mimi nimeishi Tanzania tena miaka mingi, hamna tofauti kubwa baina ya bei za bidhaa. Labda nafaka kidogo ndio huwa kuna kaunafuu kwenu na kenyewe kadogo sana.
Nyie wenyewe hamna viwanda, mnategemea kuagiza vitu vingi hata sindano, sasa itokeeje muwe na unafuu kwenye bei ya chochote.
Ni kweli kiongozi, gas ya majumbani Kenya ule mtungi mdogo gharama yake kuujaza ni sawa na huu mtungi mkubwa wa Tanzania na change inabaki.Hili nalo pia ni sababu kubwa ya tofauti ya mapato kati ya KRA na TRA, wakenya wanatozwa kodi nyingi na kubwa kuliko Tanzania
Bishana na hii hoja hapa [emoji116][emoji116]Mnajiaminisha vitu vya kiajabu, taja kimoja hicho ambacho huku bei yake ni maradufu yenu, mimi nimeishi Tanzania tena miaka mingi, hamna tofauti kubwa baina ya bei za bidhaa. Labda nafaka kidogo ndio huwa kuna kaunafuu kwenu na kenyewe kadogo sana.
Nyie wenyewe hamna viwanda, mnategemea kuagiza vitu vingi hata sindano, sasa itokeeje muwe na unafuu kwenye bei ya chochote.
Pia nauli yenu ya daladala iko chini maana mnapenda vya bure, uchumi wa kijamaa huzalisha wazembe na wabahiri watupu, unakuta mtu ana mshahara mzuri ila anabanana kwenye hizo daladala zinazonuka shombo ili alipe Tsh 400
Angalia bei zao za bidhaa common kama
Airtime
Umeme
Vinywaji
Kuagiza gari
Gas ya majumbani
Nauli
Etc
Hizi bidhaa ni ghali karibu mara 2.5 ya Tanzania, wakenya wenyewe wanachoka na kodi kubwa za serikali. Tanzania kodi zipo chini sana ukilinganisha na nchi nyingi zilizotuzunguka.
Hii thread umeshaifunga mkuu [emoji122][emoji122][emoji3][emoji3]Sio kuwa na kiwanda na kutokua nacho, suala ni kwamba hata ukiagiza kutoka nje pale bandarini unatoza kodi kiasi gani?
Lingine kwamba bidhaa zenu ni ghali nimeziorodhesha hapo juu, cha kwanza stima, unit 1 ni ghali mara 2 ya Tanzania na kiuzalishaji stima ikishakua ghali hata bidhaa zote lazima ziwe ghali.
Sio kuwa na kiwanda na kutokua nacho, suala ni kwamba hata ukiagiza kutoka nje pale bandarini unatoza kodi kiasi gani?
Lingine kwamba bidhaa zenu ni ghali nimeziorodhesha hapo juu, cha kwanza stima, unit 1 ni ghali mara 2 ya Tanzania na kiuzalishaji stima ikishakua ghali hata bidhaa zote lazima ziwe ghali.
Ni kweli kiongozi tunatakiwa tuangalie kwenye kiasi cha kodi kwanza tufanye standardization kati ya Kenya na Tanzania, tungeanza kwa hili, hii thread wala isingefika mbali.Hii thread umeshaifunga mkuu [emoji122][emoji122][emoji3][emoji3]
Ndugu wana JF huyu mwenzetu ameshindwa kabisa kuwa na busara, kila tukijaribu kuendesha mijadala bila kushambuliana ili mijada iwe "Educative", yeye amekua mstari wa mbele kuvuruga na kuishambulia Tanzania ili kuendeleza na kuzidisha chuki na uhasama kati ya Kenya na Tanzania, japo ni vizuri kulinganisha na kushindanisha maendeleo ya hizi nchi mbili, lakini sio kwa kupandikiza chuki Kama anavyofanya huyu MK254.Mnajiaminisha vitu vya kiajabu, taja kimoja hicho ambacho huku bei yake ni maradufu yenu, mimi nimeishi Tanzania tena miaka mingi, hamna tofauti kubwa baina ya bei za bidhaa. Labda nafaka kidogo ndio huwa kuna kaunafuu kwenu na kenyewe kadogo sana.
Nyie wenyewe hamna viwanda, mnategemea kuagiza vitu vingi hata sindano, sasa itokeeje muwe na unafuu kwenye bei ya chochote.
Pia nauli yenu ya daladala iko chini maana mnapenda vya bure, uchumi wa kijamaa huzalisha wazembe na wabahiri watupu, unakuta mtu ana mshahara mzuri ila anabanana kwenye hizo daladala zinazonuka shombo ili alipe Tsh 400
Sio kweli, umeme Tz kwa ss ni shilingi 344/unit na tunategemea kushuka zaidi JNHP ikiisha.Umeme Tanzania kwa unit ni Tshs 350, haina tofauti kubwa na Kenya ambapo ukipiga mahesabu utakuta tunalipa Tshs 374
TANESCO - Kwa nini wengine wakitoa Tshs 10,000/= wanapata umeme mwingi kuliko mimi?
Usiendelee kujibishana na huyu jamaa, lengo lake ni kujenga chuki ili tuache kufanya mjadala wa maana na tuanze kurushiana maneno makali makali, tafadha tumpuuze huyu jamaa.Sio kuwa na kiwanda na kutokua nacho, suala ni kwamba hata ukiagiza kutoka nje pale bandarini unatoza kodi kiasi gani?
Lingine kwamba bidhaa zenu ni ghali nimeziorodhesha hapo juu, cha kwanza stima, unit 1 ni ghali mara 2 ya Tanzania na kiuzalishaji stima ikishakua ghali hata bidhaa zote lazima ziwe ghali.
Ndugu yanguUzalishaji upi ni mara Tafu?.
Ninasisitiza tena, ndugu zetu wakenya punguzenu hii tabia ya kupenda kujisifu bila ushahidi wowote, tabia hii ndiyo inayojenga chuki baadae mnalalamika kwa Tanzania ina chuki dhidi ya Kenya.
Tunakuomba uweke ushahidi kuonyesha kwamba Kenya inazalisha mara tatu ya Tanzania, Tafadhali tutajie hizo sectors ambazo Kenya inazalisha mara tatu ya Tanzania