KRA vs TRA: Kwanini Kenya inakusanya kodi mara 3 ya Tanzania

Hata kenya hatujaweka hizo nyingine sijui loans etc

Hapa tunazungumzia revenue zinazo kusanywa na Tax agences ( TRA vs KRA).
 
Mambo mengi yanatakiwa kufanyiwa kazi hapa Tanzania hasa kwenye maswala ya uwendeshaaji ktk baadhi ya sekta, mashirika etc ya serikali mfano TRA nijibu linalo toa harufu na linahitaji kutumbuliwa na kusafishwa ipasavyo maana sioni creativity ya hawa watu katika huduma zao licha ya kupandisha makato. Wajiongeze
 
Hapana mkuu sina nia mbaya ninapocheka, ninafurahi jinsi unavyoshuka mistari[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu
Makampuni mangapi ya Tanzania yameenda Kenya na makampuni mangapi ya Kenya yamekuja Tanzania?

Mkuu samahani kwa hili swali, umekunywa kidogo au ndio akili zako?[emoji23][emoji23]
 
Mkuu
Makampuni mangapi ya Tanzania yameenda Kenya na makampuni mangapi ya Kenya yamekuja Tanzania?

Mkuu samahani kwa hili swali, umekunywa kidogo au ndio akili zako?[emoji23][emoji23]
Sisi hatuna capital ya kwenda Kenya kama Wakenya walivyo na capital ya kuja huku....

Swali hapa ni kwamba Kenya kuna kampuni nyingi zaidi ya Tanzania na zinazalisha zaidi ya Tanzania mara kadhaa....

Hiyo ndio fundamental issue..

Wewe kudhani makampuni mengi ya Kenya kuja Tanzania ni dhihirisho kua Tanzania ina mfumo mzuri wa uchumi?

Na kwamba makampuni yetu kutokua na uwezo wa kwenda Kenya ni kwamba Kenya mfumo wao ni mbaya?

Neither of the above ni true...

Tanzania makampuni yetu yapo weak kwenda Kenya ku-compete,Kenyan competition ni more stiff na cutthroat zaidi...

No Tanzanian company can survive in Kenya kwasababu ni weaker company from weaker economy...

Makampuni ya Kenya kuja hapa ni regional expansionism kuja kwenye weaker economies maana ni rahisi ku-compete na weaker companies huku ambayo ni natural progression ya stronger economies kutafuna weaker economies.

Tanzania mfumo wetu ni wa hovyo,ndio maana makampuni yetu ni weaker,wakija Wakenya wana dominate,japo serikali ni haramia ila weaker competition is more appealing to them wana take risk ya kuja.....

Mkuu,tujiangalie mara mbili mbili,we have to perfect this game more than Kenyans...
 
Well said[emoji120]
 
Mkuu izi brains za miccm wanazijua wenyewe.Yaani they always think in reverse I don't blame them though 😂😂
 
Mkuu nilikuulizwa swali hujajibu, naomba kurudia tena swali langu, ila samahani kama litakukera:
Umekunywa konyagi kidogo au hii ndio akili yako?.

Wacha kujidhalilisha, unakua Kama kichaa wewe vipi?,. Wewe ndiye uliyesema kwamba kutokana na sera mbovu za Tanzania ndio sababu makampuni ya Tanzania yanakimbilia Kenya, ndio sababu nikakuuliza ni makampuni mangapi ya Tanzania yaliyokimbilia Kenya ukilinganisha na Makampuni ya Kenya yaliyokimbilia Tanzania?, ulipogundua kwamba Hakuna makampuni ya Tanzania yaliyokimbilia Kenya badala yake makampuni ya Kenya ndio yamekimbilia Tanzania, unageuza mwekeleo na kusema kwasababu yapo weak, ila makampuni ya Tanzania yakienda Kenya ni kwasababu Tanzania kuna sera mbovu, hivi wewe ubongo wako umejaa wadudu?
 
I told you bro, that guy is very stranger.
 
I told you bro, that guy is very stranger.
Ana matatizo ya akili sio bure, haeleweki anachosema, anazungumza maneno mengi yasiyokua na muunganiko: ooh sera za uchumi ni mbovu makampuni yanaenda Kenya kwenye sera nzuri, baadae anabadilisha " unajua makampuni ya Tanzania hayawezi kwenda Kenya kwasababu hayana mtaji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe umesoma hizo comments za Watanzania,Watanzania hawajui kujifunza

Wanachojuwa wao ni ubushi na ushindanikama Wewe unafikiri huu uzi utawafunza Watanzania basi umekosea sana,huwajui hawa Watu..the most ignorant people in the planet Earth
 
Wewe umesoma hizo comments za Watanzania,Watanzania hawajui kujifunza

Wanachojuwa wao ni ubushi na ushindanikama Wewe unafikiri huu uzi utawafunza Watanzania basi umekosea sana,huwajui hawa Watu..the most ignorant people in the planet Earth
Sijakuelewa
 
Kiukweli mtoa mada umegusa jambo la msingi sana.
Taasisi nyingi za umma kama sio zote nchini Tanzania tovuti zao zimechoka sana huwez kupata taarifa muhimu unazohitaji matokeo yake unalazimika mpk uende ofisini kwa taasisi husika kupata maelekezo madogo ambayo ungeweza kupata online na kupunguza kupoteza muda.
Mfano unaanza biashara na unahitaji leseni ya biashara hamna sehem unapata taarifa juu ya vitu gan vinahitajika.
Utalazimika uende ofisi za TRA uulize upewe maelekezo ndio ukaandae vitu vinavyotakiwa. Hii ingeweza kuwa solved kwa kuweka taarifa hizo muhimu kwenye tovuti na pengine ujaze kabisa ukifka pale unakabidhiwa kama ni TIN uendele na mamb mengine.
Taasisi za umma zinahitaji zibadilike kwakweli hasa kwenye hz tovuti.
 
Stop blaming your inneficiencies on us. Start acting instead of lamenting. Hilo la wauza ng'ombe linafanyika hapa Kenya. Huwezi kuuza ng'ombe, mbuzi au kondoo kwenye mnada hapa Kenya bila kulipa kodi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…