Mkuu
Unshajiuliza wewe pia inawezekana ndio ukawa misinformed na wala sio mimi?
Oh yeah,wanadamu tupo biased na what we know,wewe upo informed mimi sipo informed,according to you!
Mimi nipo informed ila sijui about you,na hii ni according to me too!
Unatoa bias na mimi nimetoa my bias!
Hatuiwezi kwenda na biases namna hii...wewe toa sentensi kama hoja then backup na evidence!
Mimi nimetoa hoja kua serikali ya Tanzania kisheria inaruhusiwa kuua makampuni binafsi bila hata kwenda mahakamani....
Nikaweka na mifano.....sasa hizo kampuni hazikuuwawa kweli?
By the way,Airtel ilikua kidogo iuwawe nadhani ikaponea baada ya ku-strike a deal na mtakatifu....
Sheria za nchi zinaruhusu haya yote,na pia hatuna Rule of Law,mahakama zetu sio mahakama,hili unalijua!
Kampuni zote zinaenda Kenya maana kuna guarantee ya rule of law na sheria zao ni free capitalism friendly kwenye misingi yake!
Na by the way,Tanzania tuna ya kujifunza Kenya,Capitalism ipo Kenya,kwetu tuna Socialism,tuna kibarua cha kujifunza capitalism,Kenya have perfected that art..
Tuna kazi ndefu mno ya kujifunza!