KRA vs TRA: Kwanini Kenya inakusanya kodi mara 3 ya Tanzania

Kama hujaelewa maana yake hujafahamu.,,kilichoandikwa kiko wazi kabisa,kimeandikwa kwa lugha ya kiswahili sasa nini hujaelewa ?

Tatizo lako kiswahili ni lugha yako ya pili baada ya lugha ya kabila lako
Sasa kumbe unajua kwamba ni lugha yangu ya pili, mbona unashangaa nikishindwa kukielewa?. Tatizo hujiamini ulichoandika.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Well said
 
TRA kiukweli bado wako nyuma kitendo cha tozo za kodi kutokuwekwa wazi yaani hadi mkaelewane ni ya kizamani, viwango vya kodi ni vikubwa hivyo mnaandaa watu kukwepa na kuendelea na biashara za magendo, angalia kodi za magari wanavyokomoa.
Kodi ya Gari ni kubwa kuliko Bei ya Gari kule inakotengenezwa.
Kwa kweli ni uzwazwa.

Tuipumzishe CCM kidogo ili nchi ijipange upya kwa mijadala mizito sio mazoea ya watendaji wa CCM.
Hakuna ubunifu zaidi ya kuwaza kushinda uchaguzi huku wananchi wakitoka jasho na damu kwa kukamuliwa kodi nyingi na faida kidogo.
 
Huu uongo ulioubandika humu haubadilishi hali halisia,jifariji tu ,ni bora kuukubali ukweli mapema mpunguze maumivu na muyashughulikie mapungufu yenu kama taifa.
Same moron says that kenyan currency removed one zero. thats why our currency is the strongest than madafu currency . [emoji38][emoji38][emoji38] Ujinga yenye watanzania huwa nayo.
 
Huu uongo ulioubandika humu haubadilishi hali halisia,jifariji tu ,ni bora kuukubali ukweli mapema mpunguze maumivu na muyashughulikie mapungufu yenu kama taifa.
Ok mwenzio kashindwa basi naomba unioneshe ww hyo gdp $109bln na per capita $2296 ili nifunge accnt Jf [emoji3][emoji3][emoji3]

Nb: lete credible source.
 
Same moron says that kenyan currency removed one zero. thats why our currency is the strongest than madafu currency . [emoji38][emoji38][emoji38] Ujinga yenye watanzania huwa nayo.
The real Kenyan GDP [emoji116][emoji116]
 
Hivi hujasikia Kenya wameshindwa kulipa wafanyakazi wao wote wa Counties na huduma zote zisizo za muhimu zimesitishwa kwa kukosa hela.Likizo ya wiki mbili bila malipi Serikali ya Kenya wanasema hela hskuna wakati Tanzania wafanyakazi kila mwezi kuanzia tarehe 24 wanapata mishahara
 
because we still are not in 2021. Low IQ
Kwahyo kwakuwa waliweka makadirio kwmb mtafika $109bln ifikapo 2020 basi na ww ndo unadhani mmeshafika? Kuwa na akili ww projections huwa zinabadilika kutokana na inconveniences mbali mbali mfano nyie mwaka huu uchumi wenu umekufa kwa corona so usitegemee km mtafika hata $90bln tena mkifanya mchezo mnarudi ldc [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kipindi hiki cha korona uchumi wao umekua kwa 1.4% sasa iyo $109B iliotabiriwa last year haitawekena kwasababu hiyo! !Utabiri wa 109 ulikua kipindi kile dunia yote imefunguka na vile mlijifungia ndani kuogopa homa ya mapafu lazima uchumi wenu umeumia sana
 
Tanzania wafanyakazi (ukiwatoa wa ngazi za juu) hawalipwi mishahara, wanalipwa posho ya kununua mkate, waule kwa maji ili kesho warudi kazini.
 
Ok mwenzio kashindwa basi naomba unioneshe ww hyo gdp $109bln na per capita $2296 ili nifunge accnt Jf [emoji3][emoji3][emoji3]

Nb: lete credible source.
Mie siye hao unaolumbana nao humu kucha kutwa, huwa naangalia upeo wa ntu kwa mtu...

kalb hayawan
 
Mie siye hao unaolumbana nao humu kucha kutwa, huwa naangalia upeo wa ntu kwa mtu...

kalb hayawan
leave him alone. Stupid guy thinks Economics ni kindergarten level math .

He seriously thinks if Tanzania erases one zero from their currency, it will beat kenya's currency. How can you explain Gdp predictions and figures to such a person .
 
Sasa hata wakikusanya mara mia moja zaidi ya Tanzania wewe inakuuma nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…