The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Ss mbn huwa unajifanya ni mTz au ni inferiority complex inakusumbua?[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] umenichekesha sana. Eti itakusanya mara 10..
Kenya hakuna issue zile za njoo ofisini tuongee ukifika ofisini tena njoo liquid bar tuongeee..
Huku kenya kila kitu ni digital..[emoji1][emoji1]
Ni tatizo lililopo ofisi nyingi za serikali, ingelikuwa vzr Magu angetimua wote tuanze upya cz ukishakula nyama ya mtu huwezi acha.Hicho ndicho anachohangaika nacho Magufuli, kwa kifupi ni kwamba TRA sio wabunifu ni mpaka washituliwe kama gari bovu, bado hatujapata kamishina mzuri pale TRA ambaye ataleta Mageuzi makubwa kama aliyofanya Kimei CRDB.
Mkuu huyo jamaa co wa kumjibu usipoteze mda wako kaka huyo ni mjinga zaidi humu Jf.Uzalishaji upi ni mara Tafu?
Ninasisitiza tena, ndugu zetu wakenya punguzenu hii tabia ya kupenda kujisifu bila ushahidi wowote, tabia hii ndiyo inayojenga chuki baadae mnalalamika kwa Tanzania ina chuki dhidi ya Kenya.
Tunakuomba uweke ushahidi kuonyesha kwamba Kenya inazalisha mara tatu ya Tanzania, Tafadhali tutajie hizo sectors ambazo Kenya inazalisha mara tatu ya Tanzania
Kenya walifuta 0 moja hvyo kiuhalisia pesa ya kenya inazd ya Tz kwa sh 2 tu yn 1ksh = 2.1tsh.mada ni nzuri sana japo lengo lake si sahihi, KRA haijawahi izidi TRA makusanyo ya kodi hata siku moja, wanachotuzidi kenya si makusanyo ya kodi bali ni thamani ya pesa
tsh100 na ksh100 zote ni sh100 ila zinatofautishwa na thamani ya pesa ya nchi husika hivo mada hii tulipaswa kujadili kwa nini pesa ya kenya ina thamani kubwa dhidi ya pesa yetu or mambo gani yafanyike ili pesa yetu iwe na thaman sawa na pesa ya kenya or tuizidi?
Acha ushabiki katika masuala ya uchumi, Tz ina tax potetial kubwa katika bara la Afrika kuliko nchi nyingi ukiondowa SA Nigerua na Egypt ila tuna serikali isio weza kusimamia hayo yote wamaweka siasa mbele kwa kila jambo.uchumi wa Kenya upo juu sana kulinganisha na TZ.. TRA kipewa kazi ya kukusanya kodi Kenya ingeweza kukusanya mara 10 ya hii inayokusanywa na KRA
mada ni nzuri sana japo lengo lake si sahihi, KRA haijawahi izidi TRA makusanyo ya kodi hata siku moja, wanachotuzidi kenya si makusanyo ya kodi bali ni thamani ya pesa
tsh100 na ksh100 zote ni sh100 ila zinatofautishwa na thamani ya pesa ya nchi husika hivo mada hii tulipaswa kujadili kwa nini pesa ya kenya ina thamani kubwa dhidi ya pesa yetu or mambo gani yafanyike ili pesa yetu iwe na thaman sawa na pesa ya kenya or tuizidi?
Tafadhali Sana jaribi kuwa mvumilivu na ujaribu kuwaelewa hawa jirani zetu jinsi walivyo, Naturally ni watu wa kupenda kujisifu na kujikweza sana, akinunua kiatu cha 1000 ataongeza sifuri mbele kwamba amelipa 10,000. Tujaribu kuwavumilia otherwise malumbano hayatoisha.MK254 ni mkenya mpumbavu na asiyetaka kubadilika na ndiyo maana akiona Tz inasonga mbele huwa anapotea kabisa kwenye nyuzi cz amekaa kishabiki mno, ss nani asiyejua kwamba kenya kuna madudu mengi kuliko Tz, usikute hata hyo KRA inapika taarifa ionekane inakusanya sn.
Kama wanakusanya sn mbn wananchi bado wana maisha magumu tofauti na Tz? Kama wanakusanya sn mbn GoK inakesha kuomba misaada hata ya ku finance miradi midogo midogo? So lengo la huu uzi ni kuonesha mapungufu yaliyopo TRA japo mtoa uzi ameandika kishabiki zaidi but ukweli ni kwamba TRA inanuka madudu.
We jamaa ni muongo sana. Ndio hii hapa breakdown ya hela walizo okota KRA FY2019/20. Hiyo KES 1.607Trillion ni Government Domestic Revenue. Breakdown ya 'growth in %' kwenye sekta tofauti ipo hapo chini, umeona wapi kwamba wamejumuisha kwenye hesabu grants na loans, yaani madeni? Performance rate- 97.9%.Ndio nakuambia ya Kenya uliyoweka ipo sum up the whole Central Bank receipts from other nonKRA peripherals + KRA receipts vipi ya Tanzania uliyoweka imejumuisha hivyo vitu?
Iliyojumuisha hii nimekuwekea bado unaonekana mbishi View attachment 1572176
Haupo sahihi ndugu 1ksh=22.47tsh kwa sasa, kwa mantiki hiyo utofauti wa makusanyo ya kodi unatokana na thamani ya pesa pekee.Kenya walifuta 0 moja hvyo kiuhalisia pesa ya kenya inazd ya Tz kwa sh 2 tu yn 1ksh = 2.1tsh.
Hapana, sidhani Kama mfumo wa elimu unahusika, mbona vitengo vingine vinafanya vizuri sana?, TANROAD, TANESCO wameanza kubadilika sana, TRC wanabadilika kwa kasi sana, TPA wanabadilika kwa kasi Sana, Madaktari wanabadilika kwa kasi Sana. Tatizo ni usimamizi na ubunifu.Je mfumo wetu wa elimu wa kuzingatia tu marks za darasani na aina ya ajira za TRA kulingana na tuhuma zinavyosemwa semwa huku mtandaoni inaweza kuwa ndio sababu ya TRA kukosa ufanisi na ubunifu katika kukusanya mapato?
Sipo nje, mimi nimeenda direct kwenye mzizi wa tatizo maana utofauti hapo unaletwa na thamani ya pesa baada ya kubadilishwa toka Ksh to Tsh, kwa hiyo hapo shida kubwa ipo kwenye thamani ya pesa.Bosi makusanyo ya kenya kwenye hii thread yapo kwenye TSH.. upo nje kabisa ya uzi..
sipo nje, mimi nimeenda direct kwenye mzizi wa tatizo maana utofauti hapo unaletwa na thamani ya pesa baada ya kubadilishwa toka Ksh to Tsh, kwa hiyo hapo shida kubwa ipo kwenye thamani ya pesa
Nilikuwa namjibu huyo aliyetoa hoja ya value of money.Lakini takwimu za kwenye huu uzi zipo kwenye Tsh..
Hapana kaka huko unakosema siko, hapa hakuna uhusiano Kati ya thamani ya pesa na ukusanyaji kodi. Wao kwa mwaka hukusanya Ksh 1.6trl, sisi Tsh 18trl.sipo nje, mimi nimeenda direct kwenye mzizi wa tatizo maana utofauti hapo unaletwa na thamani ya pesa baada ya kubadilishwa toka Ksh to Tsh, kwa hiyo hapo shida kubwa ipo kwenye thamani ya pesa
Alafu hayo madai yake kwamba Kenya ilitoa sufuri kwenye sarafu ni porojo tupu. Hakuna stori kama hizo kwenye historia ya KES, wala sisi wakenya hatuna habari kuhusu suala hilo. Miaka michache iliyopita rate ilikuwa 1KES- 10Tzsh. Hivi majuzi imengonga hadi 23. Ingekuwa hadi 40 ukizingatia kwamba rais mstaafu Moi alishusha thamani ya KES baada ya upumbavu wake wa kuchapisha hela za kugawa kwenye kampeni za uchaguzi wa mwaka wa 1992.haupo sahihi ndugu 1ksh=22.47tsh kwa sasa, kwa mantiki hiyo utofauti wa makusanyo ya kodi unatokana na thamani ya pesa pekee
Tafadhali sn uwe unasoma comment kabla hujajibu wacha kulisha watu maneno, pia kuhusu value ya ksh against tsh uwe unaji update[emoji116][emoji116]haupo sahihi ndugu 1ksh=22.47tsh kwa sasa, kwa mantiki hiyo utofauti wa makusanyo ya kodi unatokana na thamani ya pesa pekee
Kaka kwa uchumi wa Kenya ulivo kwa sasa, thamani ya shilingi ya Kenya kuwa juu, ndio chanzo kikubwa cha viwanda na ajira kupungua Kenya, sasa hivi gharama za uzalishaji zipo juu sana kiasi kwamba hata mazao ya kilimo Kenya hayawezi kushindana na yanayotoka Uganda na Tanzania, hata mayai pia ni ghali kuliko yanayotoka Uganda. Makampuni mengi yanahamishia uzalishaji wao nchi za jirani kukimbia 'high cost of productionsAlafu hayo madai yake kwamba Kenya ilitoa sufuri kwenye sarafu ni porojo tupu. Hakuna stori kama hizo kwenye historia ya KES, wala sisi wakenya hatuna habari kuhusu suala hilo. Miaka michache iliyopita rate ilikuwa 1KES- 10Tzsh. Hivi majuzi imengonga hadi 23. Ingekuwa hadi 40 ukizingatia kwamba rais mstaafu Moi alishusha thamani ya KES baada ya upumbavu wake wa kuchapisha hela za kugawa kwenye kampeni za uchaguzi wa mwaka wa 1992.