joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Ninakuomba watanzania tumpuuze huyu jamaa hadi atakapojirekebisha, hapaswi kutumia lugha ya dharau na kudhalilisha wengine na utegemee kujibiwa kwa staha, hana maana huyu jamaa.Sio kweli, umeme Tz kwa ni shilingi 344/unit na tunategemea kushuka zaidi JNHP ikiisha.
Umeme Tanzania kwa domestic tunalipa 356/= per unit mikoa mikubwa mitano Tanzania,the rest mikoa masikini wanalipa 350/=,hakuna 344/= labda Chattle possibly!Sio kweli, umeme Tz kwa ss ni shilingi 344/unit na tunategemea kushuka zaidi JNHP ikiisha.
Angalia jedwali kiongoziUmeme Tanzania kwa unit ni Tshs 350, haina tofauti kubwa na Kenya ambapo ukipiga mahesabu utakuta tunalipa Tshs 374
TANESCO - Kwa nini wengine wakitoa Tshs 10,000/= wanapata umeme mwingi kuliko mimi?
Mimi nipo Dar ukitoa sh 1000 unapata units 2.9 kwahyo hesabu yako inaonyesha kwamba sh 1000 ukigawa kwa hyo 2.9 inakuja 356?Umeme Tanzania kwa domestic tunalipa 356/= per unit mikoa mikubwa mitano Tanzania,the rest mikoa masikini wanalipa 350/=,hakuna 344/= labda Chattle possibly!
Hapana haipaswi kuwa hivyo, mara nyingi wanaoamua kufanya hivyo ni walioshindwa hoja.Usiendelee kujibishana na huyu jamaa, lengo lake ni kujenga chuki ili tuache kufanya mjadala wa maana na tuanze kurushiana maneno makali makali, tafadha tumpuuze huyu jamaa.
Lengo la huyu jamaa ni kutaka kuturidisha katika malumbano yadiyokua na tija, Tafadhali mpuuze.Angalia jedwali kiongozi
Kuna wengi tu tulikubaliana na tuliwapuuza hadi walipojirekebisha. Lengo ni kulumbana kwa hoja sio kupandikiza chuki na kutaka kuwadharau wengine. Lazima tufundishane ustasrabu. Kama mtu amelelewa katika malezi ya ufhalilishaji, sio vizuri kutuambukizaHapana haipaswi kuwa hivyo, mara nyingi wanaoamua kufanya hivyo ni walioshindwa hoja.
Ni mjinga sana huwa anapenda mno sifa huyu atakuwa mkenya wa kizazi cha zamani sn, ukimkoti anaanza kujisifu kwamba wana mkoti watu wengi yn very conservative person pia ni mshamba sn.Ninakuomba watanzania tumpuuze huyu jamaa hadi atakapojirekebisha, hapaswi kutumia lugha ya dharau na kudhalilisha wengine na utegemee kujibiwa kwa staha, hana maana huyu jamaa.
HahahaaaMimi nipo Dar ukitoa sh 1000 unapata units 2.9 kwahyo hesabu yako inaonyesha kwamba sh 1000 ukigawa kwa hyo 2.9 inakuja 356?
Hahahaha, wewe ni zaidi ya mwanasiasa. Mbona unapiga domo bila statistics, wewe unafaa kuwa mwanasiasa, tena mwanasiasa wa Kenya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndugu yangu
Mimi ni Mtanzania kama wewe na yule..
Siendeshwi na mihemko wanasiasa wanatupatia tufate wanachokisema as mimi ni mtu mzima mwenye akili zangu timamu,nafata ubongo wangu unacyochambua mambo na sio mwanasiasa a-think for me,I think for myself!
Jirani yako kua na maendeleo zaidi yako hakufanyi wewe umchukie au uwe blind kwa takwimu zilizopo sababu tu eti humpendi sababu kakuzidi..
Kenya ni manufacturing powerhouse ya EA yote,na hii sio nchi za EAC tu,ni EA plus Horn of Africa put together....
Na bad enough shuka na bahari hadi South Africa....Ni SA tu kamzidi Kenya...
Sasa basi,shida ni sisi wenyewe na political class tuliyonayo na uzalishaji wa hovyo wa nchi sababu ya wanasiasa waliopo!
Wananchi hua hawana shida,wape uhuru 100% wa kujitafutia mali,kaa pembeni uone creativity,kwetu ni tofauti,serikali inaingilia hadi bei ya vitu...Nonsense!
Kenya wanazalisha zaidi yetu mara kadhaa na kodi wanakusanya zaidi yetu mara kadhaa...Hutaki hili basi wewe ni mnafiki na haikusaidii lolote zaidi ya kuonekana kiazi tu...
Tanzania lazima tu-adopt real capitalism na tuifanye kwa moyo hasa bila utani,hiyo ndio the only cure!
Kama dawa ya umasikini ni mali pekee yake na sio kitu kingine,basi hatuna budi kuthamini capitalism maana ni capitalism pekee yake inaleta mali....
Wanasiasa wanawadanganya,afterall wanasiasa ni group la watu wasio smart kabisa katika nchi,kama unabisha refer matokeo ya elimu zao walizosoma kuanzia la kwanza mpaka chuo kikuu,ni C and D and E and Fs only....Go check!
Ww ndiyo maana huwa nakupuuza sn ni mjinga sana, hyo nimekutajia ndiyo gharama za watu wa kawaida cc huwa tunanunua umeme wa elfu 50 tunapata units 145, na hapo bado wanasema tupo line ya viwandani tukihamia line ya majumbani (domestic) inapungua zaidi yn hzo units zote unazipata kwa sh 10000 Tu.Hahahaaa
Kumbe umeme wa buku?
Upo kwenye D1 umeme wa masikini,ambapo unakua subsdized na rich people,which again is legalized theft administered na government!
Nunua umeme kuanzia 5,000/=,utapata units 14.04=14.1kWh.....
Hahahaaa....umeme wa buku?
Umeme umegeuzwa welfare kwa wananchi asilimia 75 masikini...
Wananchi 15% matajiri wa Tanzania ndio wanasaidia kulipia masikini 75% umeme kwa discounted rate!
Hii ni communism,stealing from the hardworking 15% and give 75% for FREE!
We will never progress with these government administered stealings!
Thamani ya KES ipo juu ukilinganisha na $? Au unadhani Kenya tunalinganisha sarafu yetu na hela ya madafu likija kwenye suala la imports/exports au foreign exchange? Viwanda vinazidi kuongezeka kila uchao, sio kupungua na kati ya factors ambazo zinawavutia wawekezaji zinawahusu hao hao KRA na sera zinazaoleweka za utozaji kodi na ushuru.Kaka kwa uchumi wa Kenya ulivo kwa sasa, thamani ya shilingi ya Kenya kuwa juu, ndio chanzo kikubwa cha viwanda na ajira kupungua Kenya, sasa hivi gharama za uzalishaji zipo juu sana kiasi kwamba hata mazao ya kilimo Kenya hayawezi kushindana na yanayotoka Uganda na Tanzania, hata mayai pia ni ghali kuliko yanayotoka Uganda. Makampuni mengi yanahamishia uzalishaji wao nchi za jirani kukimbia 'high cost of productions
Tupige kampeni ili watanzania wampuuze, hovyo sana huyu jamaa, tusikubali afanikiwe kupandikiza chuki alizozoea huko kwao. Tusijibu posts zake zenye nia ya kupandikiza chuki.Ni mjinga sana huwa anapenda mno sifa huyu atakuwa mkenya wa kizazi cha zamani sn, ukimkoti anaanza kujisifu kwamba wana mkoti watu wengi yn very conservative person pia ni mshamba sn.
MmmhHahahaha, wewe ni zaidi ya mwanasiasa. Mbona unapiga domo bila statistics, wewe unafaa kuwa mwanasiasa, tena mwanasiasa wa Kenya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mpumbavu wewe usiejua anything kuhusu vitu kama umeme,maji,etc serikali imejimilikisha kutawalia wananchi....Ww ndiyo maana huwa nakupuuza sn ni mjinga sana, hyo nimekutajia ndiyo gharama za watu wa kawaida cc huwa tunanunua umeme wa elfu 50 tunapata units 145, na hapo bado wanasema tupo line ya viwandani tukihamia line ya majumbani (domestic) inapungua zaidi yn hzo units zote unazipata kwa sh 10000 Tu.
Punguza ujuaji pia punguza ku act uzungu ni ujinga huo.
Kwani viwanda vingi vya Kenya soko lake ni USA?, au wakulima wenu wa wa kawaida wanategemea kuuza USA?. Maziwa, kuku, mayai, siagi, sigara, dawa za wanyama na binadamu, viatu na mazao mengi mnauza wapi ka sio East, South and Central Afrika?.Thamani ya KES ipo juu ukilinganisha na $? Au unadhani Kenya tunalinganisha sarafu yetu na hela ya madafu likija kwenye suala la imports/exports au foreign exchange? Viwanda vinazidi kuongezeka kila uchao, sio kupungua na kati ya factors ambazo zinawavutia wawekezaji zinawahusu hao hao KRA na sera zinazaoleweka za utozaji kodi na ushuru.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 😹😹😹😹 weye achana na mama Ngina wetu.Kumbe ndiyo maana Wakenya wengi ni mafukara wa kutupwa japo kaGDP kao kanasemekana kametuzd kidogo kumbe ni mzigo wa kodi anaobebeshwa raia zen hzo pesa zinatafunwa na mama ngina pamoja na wakora wenzake, inauma sana[emoji3][emoji3][emoji3]