Ndugu yangu
Mimi ni Mtanzania kama wewe na yule..
Siendeshwi na mihemko wanasiasa wanatupatia tufate wanachokisema as mimi ni mtu mzima mwenye akili zangu timamu,nafata ubongo wangu unacyochambua mambo na sio mwanasiasa a-think for me,I think for myself!
Jirani yako kua na maendeleo zaidi yako hakufanyi wewe umchukie au uwe blind kwa takwimu zilizopo sababu tu eti humpendi sababu kakuzidi..
Kenya ni manufacturing powerhouse ya EA yote,na hii sio nchi za EAC tu,ni EA plus Horn of Africa put together....
Na bad enough shuka na bahari hadi South Africa....Ni SA tu kamzidi Kenya...
Sasa basi,shida ni sisi wenyewe na political class tuliyonayo na uzalishaji wa hovyo wa nchi sababu ya wanasiasa waliopo!
Wananchi hua hawana shida,wape uhuru 100% wa kujitafutia mali,kaa pembeni uone creativity,kwetu ni tofauti,serikali inaingilia hadi bei ya vitu...Nonsense!
Kenya wanazalisha zaidi yetu mara kadhaa na kodi wanakusanya zaidi yetu mara kadhaa...Hutaki hili basi wewe ni mnafiki na haikusaidii lolote zaidi ya kuonekana kiazi tu...
Tanzania lazima tu-adopt real capitalism na tuifanye kwa moyo hasa bila utani,hiyo ndio the only cure!
Kama dawa ya umasikini ni mali pekee yake na sio kitu kingine,basi hatuna budi kuthamini capitalism maana ni capitalism pekee yake inaleta mali....
Wanasiasa wanawadanganya,afterall wanasiasa ni group la watu wasio smart kabisa katika nchi,kama unabisha refer matokeo ya elimu zao walizosoma kuanzia la kwanza mpaka chuo kikuu,ni C and D and E and Fs only....Go check!