KRA vs TRA: Kwanini Kenya inakusanya kodi mara 3 ya Tanzania

KRA vs TRA: Kwanini Kenya inakusanya kodi mara 3 ya Tanzania

leave him alone. Stupid guy thinks Economics ni kindergarten level math .

He seriously thinks if Tanzania erases one zero from their currency, it will beat kenya's currency. How can you explain Gdp predictions and figures to such a person .
Ksh haina purchasing power kubwa kulinganisha na Tsh na ndiyo maana kenya maisha ni magumu mno.
 
The real Kenyan GDP [emoji116][emoji116]View attachment 1573591
Unasumbuka sana kijana. This was Kenya's GDP in 2019. Pingana na World Bank sasa
PhotoGrid_1600448545089.jpg
 
Heheheheheeee hii gdp ushuzi inanshangaza sn wallahi mara 109 mara 70, mara 95 so which is which?

Btw nisaidie kuambia wenzako waache kujidanganya hamjafika three digits economy na hamtofika recently may be 2050.
Wewe kojoa ulale. Those are 2019 figures and we are in 2020. Kenya's economy grew between 2019 and 2020 hata Kama Ni kidogo. Did you expect the figures to remain the same? Hiyo ya 70 unajua mahali umeitoa wewe. Nimekupa taarifa kutoka World Bank, wewe unaniletea uchwara. If you have an issue with those figures, go and complain at World Bank headquarters in Washington DC
 
Heheheheheeee hii gdp ushuzi inanshangaza sn wallahi mara 109 mara 70, mara 95 so which is which?

Btw nisaidie kuambia wenzako waache kujidanganya hamjafika three digits economy na hamtofika recently may be 2050.
Kijana wa Tandale, this won't change the fact that Kenya's GDP is almost two times bigger than yours. I already told you that ukiwa na shida you can forward your complaints to World Bank who published those figures. Kupiga kelele hapa JF won't change any fact
 
Do you know the difference between 2019 and 2020? Ama unajifanya hujui kusoma?
Tatizo lenu mnapenda ukubwa sana hata blog uchwara wakiandika gdp yenu ni $300b in the name of wb hamtawaza mara mbili kupost hapa...
Najua kutofautisha Ndio ndio nakuuliza mbona mmekua mkisema ni 99 mara zote?
 
Tatizo lenu mnapenda ukubwa sana hata blog uchwara wakiandika gdp yenu ni $300b in the name of wb hamtawaza mara mbili kupost hapa...
Najua kutofautisha Ndio ndio nakuuliza mbona mmekua mkisema ni 99 mara zote?
Akikujibu nitag [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Tatizo lenu mnapenda ukubwa sana hata blog uchwara wakiandika gdp yenu ni $300b in the name of wb hamtawaza mara mbili kupost hapa...
Najua kutofautisha Ndio ndio nakuuliza mbona mmekua mkisema ni 99 mara zote?
The data I have given you is from World Bank website. How that one is a blog only God knows. Nishakuambia upeleke malalamishi yako World Bank headquarters
 
KRA vs TRA (Kwanini Kenya inakusanya kodi mara 3 ya Tanzania)

KRA: Kenya Revenue Authority

TRA: Tanzania Revenue Authority

Makusanyo (Tax Collection July 2019 to June 2020)

KRA-Kenya: 34 Trillion (Tsh)

TRA-Tanzania: 14 Trillion (Tsh)

Sababu ni hizi hapa.
  • Matumizi duni ya teknologia (ICT) kwa TRA
  • Kodi kubwa kwa walipa kodi TRA
  • Kazi nyingi kufanyika kwa mikono (manual processing)- TRA
  • Walipa kodi kukosa elimu ya walipa kodi: TRA
  • Kukosa ubunifu katika kuongeza walipa kodi (Tax base) : TRA
  • Kukosa uwazi kwenye viwango vya kodi kwa walipa kodi - TRA
Matumizi ya teknologia

Mfano mdogo ni ukilinganisha tovuti ya TRA vs KRA.

Tovuti ya TRA ipo duni sana na siyo tovuti ya karne hii bado ni zile tovuti static ambazo taarifa zake hazibadiliki na hazina umuhimu kwa walengwa .

Mfano.

Home page ya TRA vs Home page ya KRA.

Main menu TRA.


Ukifungua tovuti ya TRA kwanza ubnakutana na mambo yafuatayo
View attachment 1571980

Ukweli ni kwamba menu yote ambayo ndiyo memyu kuu haina umuhimu wowote kwa mlipa kodi , hata wanao isimamia hii tovuti sijui wana elimu gani.

Main menu KRA
Ukifungua tovuti ya KRA unakutana na menu ifuatayo
View attachment 1571981
Hii umekaa kihusika kabisa kwa mlipa kodi wa aina zote , ukifungua hapa individual unakutana na taarfiza zote na kodi kwa watu binafsi, ukifungua business unakutana na taariza zote za kodi kwa makampuni na taasisi, na investors unakutana na taarifa zote za kodi zinazo husu wawekezaji.

Home page TRA vs KRA

Home page ya TRA
.
Utakutana picha zinazo za wanasiasa, ndege za ATCL, picha ya commissioner general ,picha za barabara etc, hivi vyote havina umuhimu wowote na wala havimusaidii mlipa kodi . Ni mambo ya kizamani sana .. nadhani mkuu wa ICT TRA atakua na miaka zaidi ya 50. Picha ya CG inahusika na nini na walipa kodi.. tovuti imejaa taarifa ambazo hazina mashiko.
View attachment 1571983

Home page ya KRA
Unakutana na maelezo ya jinsi ya kutafuta huduma yoyote ya kodi na kuna sehemu una chagua taarfia na huduma unayo itaka (very friendly )
View attachment 1571984
Hii ni mifano tuu jinsi TRA ilivyo nyuma katika matumizi ya teknologia katika kurahisisha ukusanyaji wa kodi. Tovuti hii ya KRA inafanya kazi za watu zaidi ya 5000, na uhakika KRA itakua na wafanyakazi wachache kuliko TRA pamoja na kwamba inakusanya kodi mara 3 ya TRA.
View attachment 1571985
Kwa ujumla tovuti ya TRA na KRA zina tofauti zifutazo.
  • KRA ina maelezo karibia yote ya aina za kodi na jinsi ya kulipa Pamoja na maelezo mengine ya kumsaidia mlipa kodi mkubwa na mdogo wakati tovuti ya TRA , taarifa ni chache san ana hazija pangwa kiutaratibu kiasi kwamba tovuti haina msaada .
  • KRA kodi karibia zote unalipa kwa kutumia mitandao au una faili kwa kutumia teknologia na ii unapunguza sana rushwa na kubambikiwa kodi sizizo na maana. Mfano Capital Gain tax ambayo Tanzania Tax pengine inayo ongoza kwa rushwa, Kenya una faili online na baada ya muda unapewa risiti online ya kulipia .
  • KRA imejengwa vizuri na ina taarifa ambazo zinamsadia mlipa kodi, zimehuishwa , tofauti na tovuti ya TRA ambayo imejaza taarifa ambazo hazina maana mfano: number of vistors inamsadia nini mlipa kodi, au link za taasisi za kodi ambazo hazipo Tanzania, utadhani hawana kitu cha kuweka kwenye tovuti sasa wanaamua kukusanya chochote na kujaza huko.
Kwa leo niishie hapa, nitamalizia next week.

Naamini department ya TRA mtabadirika, au tafuteni namna mkajifunze kwa wenzenu wa KRA.

Tanzania bado inanafasi ya kufikia walau nusu ya makusanyo ya kenya kama itazingatia matumizi ya tehama na kuaachana na matumizi ya binadamu kwa sehemu kubwa, lakini kwa utaratibu huu wa sasa kenya muda si mrefu itakusanya mara 4 ta Kenya.
Nakubaliana na wewe kwenye hoja zako (Tz ipo chini ya Ke). Lakini ili kupata ulinganifu mzuri, ungetizama zaidi tax revenue to GDP ratio. Hii ya kutizama absolute values peke yake haiwezi kukupa ulinganisho sahihi (hasa kama unalingajisha performance).

Nchi nyingi za kiafrika kwa ujumla hazifanyi vizuri sana kwenye ukusanyaji kodi. Wakati fulani wastani wa kodi kwa GDP kwa Africa ulikuwa kama 18% hivi......wakati kuna nchi zingine wanakusanya kodi mpaka 50% au zaidi GDP zao. Roughly Tz collects 12% and Ke 18%.

Na kuna wengine pia wanaangalia admin cost (how much does TRA/KRA spend to collect a $ of tax?)
 
Nakubaliana na wewe kwenye hoja zako (Tz ipo chini ya Ke). Lakini ili kupata ulinganifu mzuri, ungetizama zaidi tax revenue to GDP ratio. Hii ya kutizama absolute values peke yake haiwezi kukupa ulinganisho sahihi (hasa kama unalingajisha performance).

Nchi nyingi za kiafrika kwa ujumla hazifanyi vizuri sana kwenye ukusanyaji kodi. Wakati fulani wastani wa kodi kwa GDP kwa Africa ulikuwa kama 18% hivi......wakati kuna nchi zingine wanakusanya kodi mpaka 50% au zaidi GDP zao. Roughly Tz collects 12% and Ke 18%.

Na kuna wengine pia wanaangalia admin cost (how much does TRA/KRA spend to collect a $ of tax?)
Hili litawezekanaje wakati kila siku mnaamini kwamba uchumi wetu ni wa kupikwa?
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Pamoja na mengi ninayokubaliana nawe pia suala la Tax base hasa ndio chimbuko la utofauti huu unaouona.

Tanzania taxbase ni ndogo sana na hii inatokana na uchache wa uwekezaji katika sekta nyingi za kibiashara kama viwanda vya kati na vikubwa.

Tukiweza kuifikia Kenya kiuwekezaji hasa kwenye sekta za viwanda na biashara zenye mchango mkubwa na multiplier effect kubwa kwenye uchumi bila shaka utaona utofauti huo unapungua ama kuwapita Kenya kimakusanyo ya Kodi.

Hapa nimezungumzia uzoefu wangu mdogo katika sekta ya kodi na Fiscal policies za nchi hii.
Kwa nini mke wako ana makalio madogo kuliko wa jirani yako? Ndio jibu
 
Ndugu yangu

Mimi ni Mtanzania kama wewe na yule..

Siendeshwi na mihemko wanasiasa wanatupatia tufate wanachokisema as mimi ni mtu mzima mwenye akili zangu timamu,nafata ubongo wangu unacyochambua mambo na sio mwanasiasa a-think for me,I think for myself!

Jirani yako kua na maendeleo zaidi yako hakufanyi wewe umchukie au uwe blind kwa takwimu zilizopo sababu tu eti humpendi sababu kakuzidi.

Kenya ni manufacturing powerhouse ya EA yote,na hii sio nchi za EAC tu,ni EA plus Horn of Africa put together.

Na bad enough shuka na bahari hadi South Africa. Ni SA tu kamzidi Kenya.

Sasa basi,shida ni sisi wenyewe na political class tuliyonayo na uzalishaji wa hovyo wa nchi sababu ya wanasiasa waliopo!

Wananchi hua hawana shida,wape uhuru 100% wa kujitafutia mali,kaa pembeni uone creativity,kwetu ni tofauti,serikali inaingilia hadi bei ya vitu. Nonsense!

Kenya wanazalisha zaidi yetu mara kadhaa na kodi wanakusanya zaidi yetu mara kadhaa. Hutaki hili basi wewe ni mnafiki na haikusaidii lolote zaidi ya kuonekana kiazi tu.

Tanzania lazima tu-adopt real capitalism na tuifanye kwa moyo hasa bila utani,hiyo ndio the only cure!

Kama dawa ya umasikini ni mali pekee yake na sio kitu kingine,basi hatuna budi kuthamini capitalism maana ni capitalism pekee yake inaleta mali.

Wanasiasa wanawadanganya, afterall wanasiasa ni group la watu wasio smart kabisa katika nchi,kama unabisha refer matokeo ya elimu zao walizosoma kuanzia la kwanza mpaka chuo kikuu,ni C and D and E and Fs only....Go check!
[emoji116][emoji116][emoji116]
Naomba niwakumbushe

Kenya inamaskini wengi kuliko Tanzania

Below poverty line Kenya:34%

Below poverty line Tanzania : 26%

As of 2018.
 
Back
Top Bottom