komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Kawaida media zetu, wanachapisha counties kumi zina njaa alafu kw habari video na picha ni za turkana..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kawaida media zetu, wanachapisha counties kumi zina njaa alafu kw habari video na picha ni za turkana..
Blog[emoji23]The real kenyan gdp[emoji116][emoji116]View attachment 1573374
Wait mna shida Au hamna?wakenya wengi njaa kali ilo liko waziKawaida media zetu, wanachapisha counties kumi zina njaa alafu kw habari video na picha ni za turkana..
Kwn maisha ya south africa yako sawa na maisha ya kenyaKsh haina purchasing power kubwa kulinganisha na Tsh na ndiyo maana kenya maisha ni magumu mno.
55% of tanzanians are poor boss, hyo ni approximately over 30m people mazee..[emoji116][emoji116][emoji116]
Nimekupa addignment endelea kuifanyia kazi..Wait mna shida Au hamna?wakenya wengi njaa kali ilo liko wazi
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Subiri bro...kwann bado mnakufa njaa?ile elimu yenu bora ukanda huu vp haitoshi kua na food security?Nimekupa addignment endelea kuifanyia kazi..
Kw mda huu wa sasa hakuna ukame media wametulia tu, subiria mda ufike utawaona redcross na mashirika mengine eti countie 20 zina njaa alafu video wanchukua moja turkana na picha kadhaa turkana then wanapost..
Mbna ruto alipoamuru ma chifu wote wakamatwe wakaonyeshe makaburi ya waliokufa kw njaa ili waliingia mitini[emoji23][emoji23]
Anyway, waache wapige hela za donor
I was using 2019 figures and here they are.Weka source hapa inayoonesha gdp yetu ni $63bln pia unioneshe ushahidi unaosema
95 = 63 × 2.
Ndipo nikakwambia, mbona wale ma chifu walipoambiwa wakaonyeshe makaburi waliingia mitini..Subiri bro...kwann bado mnakufa njaa?ile elimu yenu bora ukanda huu vp haitoshi kua na food security?
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Kwani mtu kuwa Chadom huko Tanganyika ni kosa la jinai? SMH! Mbona hamna uhuru wa kujieleza na kujiamulia? Na tukisema tuko mbele yenu kwenye masuala ya kimsingi mnasema ni sifaBro kwenu inaonekana kunamshiko ndo maana hujui umuhimu wa elimu bureee, afu nishajuaaaa ww ni chadom
And yet [emoji116][emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]I was using 2019 figures and here they are.
View attachment 1573851
As of 2019, Tanzania's GDP was $63bln according to World Bank. Here is the link to help you more
GDP (current US$) - Kenya | Data
Naomba niwakumbushe
Kenya inamaskini wengi kuliko Tanzania
Below poverty line Kenya:34%
Below poverty line Tanzania : 26%
As of 2018.
Analysis nzuri sana; ila mimi pia huangalia kuwa KRA ilianza kwa discipline sana na maafisa wake walikuwa hawawanyanyasi walipa kodi kwa kuwatwanga makodi makubwa kusudi watoe rushwa. Hiyo ilisababisha KRA iwe ni more friendly kwa walipa kodi. Kwa upande wake TRA ilianza ikiwa na maafisa wala rushwa sana wakajenga uhusiano mbaya na walipa kodi. Sasa image hizo zitaendelea kujiproject kwenye performance kwa muda mrefu sana. Miaka ya sitini kabla nchi haijagubikwa na rushwa, ofisi ya Internal Revenue ilikuwa inakusanya kodi nyingi sana ndiyo maana serikali ya Nyerere miaka hiyo ikaweza kuwa inatoa huduma za afya, elimu na maji bure kabisa; ila baada ya kuanza kwa rushwa ndipo ukusanyaji wa kodi ukadidimia, na hata ilipofikia kuundwa TRA ule ukakasi wa Internal revenue ulihamia TRA na kuifanya TRA iendelee kuwa inefficient.KRA vs TRA (Kwanini Kenya inakusanya kodi mara 3 ya Tanzania)
KRA: Kenya Revenue Authority
TRA: Tanzania Revenue Authority
Makusanyo (Tax Collection July 2019 to June 2020)
KRA-Kenya: 34 Trillion (Tsh)
TRA-Tanzania: 14 Trillion (Tsh)
Sababu ni hizi hapa.
Matumizi ya teknologia
- Matumizi duni ya teknologia (ICT) kwa TRA
- Kodi kubwa kwa walipa kodi TRA
- Kazi nyingi kufanyika kwa mikono (manual processing)- TRA
- Walipa kodi kukosa elimu ya walipa kodi: TRA
- Kukosa ubunifu katika kuongeza walipa kodi (Tax base) : TRA
- Kukosa uwazi kwenye viwango vya kodi kwa walipa kodi - TRA
Mfano mdogo ni ukilinganisha tovuti ya TRA vs KRA.
Tovuti ya TRA ipo duni sana na siyo tovuti ya karne hii bado ni zile tovuti static ambazo taarifa zake hazibadiliki na hazina umuhimu kwa walengwa .
Mfano.
Home page ya TRA vs Home page ya KRA.
Main menu TRA.
Ukifungua tovuti ya TRA kwanza ubnakutana na mambo yafuatayo
View attachment 1571980
Ukweli ni kwamba menu yote ambayo ndiyo memyu kuu haina umuhimu wowote kwa mlipa kodi , hata wanao isimamia hii tovuti sijui wana elimu gani.
Main menu KRA
Ukifungua tovuti ya KRA unakutana na menu ifuatayo
View attachment 1571981
Hii umekaa kihusika kabisa kwa mlipa kodi wa aina zote , ukifungua hapa individual unakutana na taarfiza zote na kodi kwa watu binafsi, ukifungua business unakutana na taariza zote za kodi kwa makampuni na taasisi, na investors unakutana na taarifa zote za kodi zinazo husu wawekezaji.
Home page TRA vs KRA
Home page ya TRA.
Utakutana picha zinazo za wanasiasa, ndege za ATCL, picha ya commissioner general ,picha za barabara etc, hivi vyote havina umuhimu wowote na wala havimusaidii mlipa kodi . Ni mambo ya kizamani sana .. nadhani mkuu wa ICT TRA atakua na miaka zaidi ya 50. Picha ya CG inahusika na nini na walipa kodi.. tovuti imejaa taarifa ambazo hazina mashiko.
View attachment 1571983
Home page ya KRA
Unakutana na maelezo ya jinsi ya kutafuta huduma yoyote ya kodi na kuna sehemu una chagua taarfia na huduma unayo itaka (very friendly )
View attachment 1571984
Hii ni mifano tuu jinsi TRA ilivyo nyuma katika matumizi ya teknologia katika kurahisisha ukusanyaji wa kodi. Tovuti hii ya KRA inafanya kazi za watu zaidi ya 5000, na uhakika KRA itakua na wafanyakazi wachache kuliko TRA pamoja na kwamba inakusanya kodi mara 3 ya TRA.
View attachment 1571985
Kwa ujumla tovuti ya TRA na KRA zina tofauti zifutazo.
Kwa leo niishie hapa, nitamalizia next week.
- KRA ina maelezo karibia yote ya aina za kodi na jinsi ya kulipa Pamoja na maelezo mengine ya kumsaidia mlipa kodi mkubwa na mdogo wakati tovuti ya TRA , taarifa ni chache san ana hazija pangwa kiutaratibu kiasi kwamba tovuti haina msaada .
- KRA kodi karibia zote unalipa kwa kutumia mitandao au una faili kwa kutumia teknologia na ii unapunguza sana rushwa na kubambikiwa kodi sizizo na maana. Mfano Capital Gain tax ambayo Tanzania Tax pengine inayo ongoza kwa rushwa, Kenya una faili online na baada ya muda unapewa risiti online ya kulipia .
- KRA imejengwa vizuri na ina taarifa ambazo zinamsadia mlipa kodi, zimehuishwa , tofauti na tovuti ya TRA ambayo imejaza taarifa ambazo hazina maana mfano: number of vistors inamsadia nini mlipa kodi, au link za taasisi za kodi ambazo hazipo Tanzania, utadhani hawana kitu cha kuweka kwenye tovuti sasa wanaamua kukusanya chochote na kujaza huko.
Naamini department ya TRA mtabadirika, au tafuteni namna mkajifunze kwa wenzenu wa KRA.
Tanzania bado inanafasi ya kufikia walau nusu ya makusanyo ya kenya kama itazingatia matumizi ya tehama na kuaachana na matumizi ya binadamu kwa sehemu kubwa, lakini kwa utaratibu huu wa sasa kenya muda si mrefu itakusanya mara 4 ta Kenya.
Hii ndio inaitwa kutapatapa? 😂And yet [emoji116][emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mimi sina mshiko unaofikiria..Bro kwenu inaonekana kunamshiko ndo maana hujui umuhimu wa elimu bureee, afu nishajuaaaa ww ni chadom
[emoji116][emoji116][emoji116]
Ss hapo bora capitalism au socialism? Mana km capitalism ingelikuwa nzr basi hao maskini waliokuwa wengi kenya wangelipunguwa but ndo kwanza wameingezeka but in Tz socialist country serikali inachukua mali toka kwa matajiri na kuwapa maskini na ndiyo maana unakuta gap co kubwa, na hiki ndicho tunataka cc wananchi utuone wapumbavu au vyovyote vile.M
Mkuu unashindwa kuelewa
Masikini wa Tanzania wanalishwa kwa nguvu na matajiri wa Tanzania..
Serikali inatumika na masikini kuchukua mali iliyotafutwa kwa jasho na matajiri ili wao watumie bure...
Ndio maana unaona takwimu zinasema TZ kuna masikini wachache...
Ni takwimu za kipumbavu na hazisemi the whole story.
Serikali inatumia mabavu and intimidation kuchukua mali za wenye kufanyakazi kwa bidii kuhudumia hawa wapumbavu!
Ndio maana ya socialism,which is very corrosive na ina-apeal sana kwa masikini maana ni imani ya kuchukua mali zilizotafutwa na wachache na kuzigawa kwa hawa masikini wanyonyaji!
Kenya kila mtu anajihudumia,asikua nacho atajiju....Capitalism ndio the best way ya kuweka everyone accountable na maisha yake...na ndio the only way to generate wealth
Capitalism does not discriminate kama socialism,etc,if you have something or service someone else is willing to pay for then you are set...
Sio mnatuletea theft hapa.....
Na who cares group fulani ni masikini,ni masikini kwa kujitakia wenyewe...If they have skills au products au goods anyone else is willing to pay for then imeisha hiyo!
Huna then nenda kafe,no one here in this world kaja a-work hard so that wewe uishi!Thats theft!
Tatizo wanapenda kutumia wazeeKaka katika kitu kinachomuumiza kichwa Magufuli ni TRA na Wizara ya mambo ya ndani na BoT, wewe mwenyewe umemsikia mara kadhaa Magufuli akichanganyikiwa kutokana na kutoridhishwa na utendaji wa TRA, katika kipindi cha uongozi wake wa miaka 5. amebadilisha makamishina wakuu 5, wastani wa kamishna mkuu mmoja kila mwaka [emoji23][emoji23][emoji23], hii ni dalili kwamba hakuna utendaji mzuri TRA.
Kaka tatizo la TRA lipo kwa wetendaji kuwa na uwezo mdogo, kukosa ubunifu na kutokuwepo na uongozi imara, bado wafanyakazi wengi wa TRA ni mangi meza, sidhani Kama kuna siasa.
26% of 59M (2019 est.)is 15,340, 000 Tanzanians below poverty line (and with CCM propaganda do a margin of error)And yet [emoji116][emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Capitalism ni boraSs hapo bora capitalism au socialism? Mana km capitalism ingelikuwa nzr basi hao maskini waliokuwa wengi kenya wangelipunguwa but ndo kwanza wameingezeka but in Tz socialist country serikali inachukua mali toka kwa matajiri na kuwapa maskini na ndiyo maana unakuta gap co kubwa, na hiki ndicho tunataka cc wananchi utuone wapumbavu au vyovyote vile.
Ww km utaona haifai hama tu mkuu unaishi vp nchi isiyoendana na itikadi zako? Nenda kenya mkuu ukaendekeze u capitalist wako tuachie cc na socialism yetu.
Hao Wakenya watatoka lini kwenye huo umaskini uliotopea? Kwn kenya imeingia juzi kwenye capitalist mode of production? Wacha propaganda zenye chuki za wazi ww.Capitalism ni bora
Hao Wakenya masikini utafutaji wao wa mali utagarantii wao kutoka kwenye huo umasikini faster zaidi ya Tanzania..
Maana masikini wa Tanzania wanalishwa free,hatafuti mali as agressive kama masikini wa Kenya!
Mtu analishwa bure he got all the incentives za yeye kuendelea kutokutafuta mali
Kenya halishwi ndio maana he has all the incentives kutafuta mali otherwise atakufa!
Socialism ni total nonsense....