KRA vs TRA: Kwanini Kenya inakusanya kodi mara 3 ya Tanzania

KRA vs TRA: Kwanini Kenya inakusanya kodi mara 3 ya Tanzania

Wait mna shida Au hamna?wakenya wengi njaa kali ilo liko wazi

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Nimekupa addignment endelea kuifanyia kazi..
Kw mda huu wa sasa hakuna ukame media wametulia tu, subiria mda ufike utawaona redcross na mashirika mengine eti countie 20 zina njaa alafu video wanchukua moja turkana na picha kadhaa turkana then wanapost..

Mbna ruto alipoamuru ma chifu wote wakamatwe wakaonyeshe makaburi ya waliokufa kw njaa ili waliingia mitini[emoji23][emoji23]
Anyway, waache wapige hela za donor
 
Subiri bro...kwann bado mnakufa njaa?ile elimu yenu bora ukanda huu vp haitoshi kua na food security?

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Weka source hapa inayoonesha gdp yetu ni $63bln pia unioneshe ushahidi unaosema
95 = 63 × 2.
I was using 2019 figures and here they are.
PhotoGrid_1600460318440.jpg

As of 2019, Tanzania's GDP was $63bln according to World Bank. Here is the link to help you more
GDP (current US$) - Kenya | Data
 
Subiri bro...kwann bado mnakufa njaa?ile elimu yenu bora ukanda huu vp haitoshi kua na food security?

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Ndipo nikakwambia, mbona wale ma chifu walipoambiwa wakaonyeshe makaburi waliingia mitini..
Cha kushngaza wale wanaosemekana km wanakufa njaa wanamiliki G3 na AK47
 
Bro kwenu inaonekana kunamshiko ndo maana hujui umuhimu wa elimu bureee, afu nishajuaaaa ww ni chadom
Kwani mtu kuwa Chadom huko Tanganyika ni kosa la jinai? SMH! Mbona hamna uhuru wa kujieleza na kujiamulia? Na tukisema tuko mbele yenu kwenye masuala ya kimsingi mnasema ni sifa
 
KRA vs TRA (Kwanini Kenya inakusanya kodi mara 3 ya Tanzania)

KRA: Kenya Revenue Authority

TRA: Tanzania Revenue Authority

Makusanyo (Tax Collection July 2019 to June 2020)

KRA-Kenya: 34 Trillion (Tsh)

TRA-Tanzania: 14 Trillion (Tsh)

Sababu ni hizi hapa.
  • Matumizi duni ya teknologia (ICT) kwa TRA
  • Kodi kubwa kwa walipa kodi TRA
  • Kazi nyingi kufanyika kwa mikono (manual processing)- TRA
  • Walipa kodi kukosa elimu ya walipa kodi: TRA
  • Kukosa ubunifu katika kuongeza walipa kodi (Tax base) : TRA
  • Kukosa uwazi kwenye viwango vya kodi kwa walipa kodi - TRA
Matumizi ya teknologia

Mfano mdogo ni ukilinganisha tovuti ya TRA vs KRA.

Tovuti ya TRA ipo duni sana na siyo tovuti ya karne hii bado ni zile tovuti static ambazo taarifa zake hazibadiliki na hazina umuhimu kwa walengwa .

Mfano.

Home page ya TRA vs Home page ya KRA.

Main menu TRA.

Ukifungua tovuti ya TRA kwanza ubnakutana na mambo yafuatayo
View attachment 1571980

Ukweli ni kwamba menu yote ambayo ndiyo memyu kuu haina umuhimu wowote kwa mlipa kodi , hata wanao isimamia hii tovuti sijui wana elimu gani.

Main menu KRA
Ukifungua tovuti ya KRA unakutana na menu ifuatayo
View attachment 1571981
Hii umekaa kihusika kabisa kwa mlipa kodi wa aina zote , ukifungua hapa individual unakutana na taarfiza zote na kodi kwa watu binafsi, ukifungua business unakutana na taariza zote za kodi kwa makampuni na taasisi, na investors unakutana na taarifa zote za kodi zinazo husu wawekezaji.

Home page TRA vs KRA

Home page ya TRA
.
Utakutana picha zinazo za wanasiasa, ndege za ATCL, picha ya commissioner general ,picha za barabara etc, hivi vyote havina umuhimu wowote na wala havimusaidii mlipa kodi . Ni mambo ya kizamani sana .. nadhani mkuu wa ICT TRA atakua na miaka zaidi ya 50. Picha ya CG inahusika na nini na walipa kodi.. tovuti imejaa taarifa ambazo hazina mashiko.
View attachment 1571983

Home page ya KRA
Unakutana na maelezo ya jinsi ya kutafuta huduma yoyote ya kodi na kuna sehemu una chagua taarfia na huduma unayo itaka (very friendly )
View attachment 1571984
Hii ni mifano tuu jinsi TRA ilivyo nyuma katika matumizi ya teknologia katika kurahisisha ukusanyaji wa kodi. Tovuti hii ya KRA inafanya kazi za watu zaidi ya 5000, na uhakika KRA itakua na wafanyakazi wachache kuliko TRA pamoja na kwamba inakusanya kodi mara 3 ya TRA.
View attachment 1571985
Kwa ujumla tovuti ya TRA na KRA zina tofauti zifutazo.
  • KRA ina maelezo karibia yote ya aina za kodi na jinsi ya kulipa Pamoja na maelezo mengine ya kumsaidia mlipa kodi mkubwa na mdogo wakati tovuti ya TRA , taarifa ni chache san ana hazija pangwa kiutaratibu kiasi kwamba tovuti haina msaada .
  • KRA kodi karibia zote unalipa kwa kutumia mitandao au una faili kwa kutumia teknologia na ii unapunguza sana rushwa na kubambikiwa kodi sizizo na maana. Mfano Capital Gain tax ambayo Tanzania Tax pengine inayo ongoza kwa rushwa, Kenya una faili online na baada ya muda unapewa risiti online ya kulipia .
  • KRA imejengwa vizuri na ina taarifa ambazo zinamsadia mlipa kodi, zimehuishwa , tofauti na tovuti ya TRA ambayo imejaza taarifa ambazo hazina maana mfano: number of vistors inamsadia nini mlipa kodi, au link za taasisi za kodi ambazo hazipo Tanzania, utadhani hawana kitu cha kuweka kwenye tovuti sasa wanaamua kukusanya chochote na kujaza huko.
Kwa leo niishie hapa, nitamalizia next week.

Naamini department ya TRA mtabadirika, au tafuteni namna mkajifunze kwa wenzenu wa KRA.

Tanzania bado inanafasi ya kufikia walau nusu ya makusanyo ya kenya kama itazingatia matumizi ya tehama na kuaachana na matumizi ya binadamu kwa sehemu kubwa, lakini kwa utaratibu huu wa sasa kenya muda si mrefu itakusanya mara 4 ta Kenya.
Analysis nzuri sana; ila mimi pia huangalia kuwa KRA ilianza kwa discipline sana na maafisa wake walikuwa hawawanyanyasi walipa kodi kwa kuwatwanga makodi makubwa kusudi watoe rushwa. Hiyo ilisababisha KRA iwe ni more friendly kwa walipa kodi. Kwa upande wake TRA ilianza ikiwa na maafisa wala rushwa sana wakajenga uhusiano mbaya na walipa kodi. Sasa image hizo zitaendelea kujiproject kwenye performance kwa muda mrefu sana. Miaka ya sitini kabla nchi haijagubikwa na rushwa, ofisi ya Internal Revenue ilikuwa inakusanya kodi nyingi sana ndiyo maana serikali ya Nyerere miaka hiyo ikaweza kuwa inatoa huduma za afya, elimu na maji bure kabisa; ila baada ya kuanza kwa rushwa ndipo ukusanyaji wa kodi ukadidimia, na hata ilipofikia kuundwa TRA ule ukakasi wa Internal revenue ulihamia TRA na kuifanya TRA iendelee kuwa inefficient.
 
Bro kwenu inaonekana kunamshiko ndo maana hujui umuhimu wa elimu bureee, afu nishajuaaaa ww ni chadom
Mimi sina mshiko unaofikiria..

Wewe huwezi kua masikini then wengine wakubebe jukumu lako sababu tu ni matajiri!

Umasikini au utajiri ni purely personal choice ya watu....

Masikini ni watu wabaya sana katika hii dunia,wao wanadhani umasikini wao ni jukumu la wengine kuwatunza..

Kila binadamu kaja duniani jukumu lake la kwanza ni kuhakikisha anatumia mbinu zote a-survive,hilo ni jukumu lake la kiasili,akifeli hilo na afe!

Kila mtu yupo huru kujitafutia mali kadiri ya uwezo na akili yake kwa kufuata sheria....

Masikini ni majitu fulani haramia,yanatumia power ya kura zao ku-hold politicians and government hostage iwafanyie kazi ya stealing from the rich and middle class!

Ni hivi,ifike mahali kura ya mtu ipimwe kwa uzito wa mali alizonazo kwa formula maalumu...Ni kama USA,wananchi wenye ardhi kubwa kuna uzito wa kura yao ndio maana inaitwa electoral college votes..

Sio masikini waliojikusanya kwenye miji ya uswahilini wao ndio wanachagua serikali na kupanga how to live..

Kwa wingi wao wanachagua serikali na kuwatuma wanasiasa wakafanya stealing from the rich wapate elimu bure,matibabu,hadi chakula majumbani,etc...Wizi huu

Hii ni headstrong nonsense
 
M
[emoji116][emoji116][emoji116]

Mkuu unashindwa kuelewa

Masikini wa Tanzania wanalishwa kwa nguvu na matajiri wa Tanzania..

Serikali inatumika na masikini kuchukua mali iliyotafutwa kwa jasho na matajiri ili wao watumie bure...

Ndio maana unaona takwimu zinasema TZ kuna masikini wachache...

Ni takwimu za kipumbavu na hazisemi the whole story.

Serikali inatumia mabavu and intimidation kuchukua mali za wenye kufanyakazi kwa bidii kuhudumia hawa wapumbavu!

Ndio maana ya socialism,which is very corrosive na ina-apeal sana kwa masikini maana ni imani ya kuchukua mali zilizotafutwa na wachache na kuzigawa kwa hawa masikini wanyonyaji!

Kenya kila mtu anajihudumia,asikua nacho atajiju....Capitalism ndio the best way ya kuweka everyone accountable na maisha yake...na ndio the only way to generate wealth

Capitalism does not discriminate kama socialism,etc,if you have something or service someone else is willing to pay for then you are set...

Sio mnatuletea theft hapa.....

Na who cares group fulani ni masikini,ni masikini kwa kujitakia wenyewe...If they have skills au products au goods anyone else is willing to pay for then imeisha hiyo!

Huna then nenda kafe,no one here in this world kaja a-work hard so that wewe uishi!Thats theft!
 
Ss hapo bora capitalism au socialism? Mana km capitalism ingelikuwa nzr basi hao maskini waliokuwa wengi kenya wangelipunguwa but ndo kwanza wameingezeka but in Tz socialist country serikali inachukua mali toka kwa matajiri na kuwapa maskini na ndiyo maana unakuta gap co kubwa, na hiki ndicho tunataka cc wananchi utuone wapumbavu au vyovyote vile.

Ww km utaona haifai hama tu mkuu unaishi vp nchi isiyoendana na itikadi zako? Nenda kenya mkuu ukaendekeze u capitalist wako tuachie cc na socialism yetu.
 
Kaka katika kitu kinachomuumiza kichwa Magufuli ni TRA na Wizara ya mambo ya ndani na BoT, wewe mwenyewe umemsikia mara kadhaa Magufuli akichanganyikiwa kutokana na kutoridhishwa na utendaji wa TRA, katika kipindi cha uongozi wake wa miaka 5. amebadilisha makamishina wakuu 5, wastani wa kamishna mkuu mmoja kila mwaka [emoji23][emoji23][emoji23], hii ni dalili kwamba hakuna utendaji mzuri TRA.

Kaka tatizo la TRA lipo kwa wetendaji kuwa na uwezo mdogo, kukosa ubunifu na kutokuwepo na uongozi imara, bado wafanyakazi wengi wa TRA ni mangi meza, sidhani Kama kuna siasa.
Tatizo wanapenda kutumia wazee
 
And yet [emoji116][emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
26% of 59M (2019 est.)is 15,340, 000 Tanzanians below poverty line (and with CCM propaganda do a margin of error)

34% of 47M (2019 est) is 15,980,000 of Kenyans below poverty line. No much difference, and Kenyan statistics were entered using lower middle income poverty line threshhold, of which if it will be applied to Tz today since u transitioned to mido income majuzi tu, below poverty mtakua 70%!!!, that is how impoverished Tz is. Angalia tu 80% Dar vile inakaa!
 
Ss hapo bora capitalism au socialism? Mana km capitalism ingelikuwa nzr basi hao maskini waliokuwa wengi kenya wangelipunguwa but ndo kwanza wameingezeka but in Tz socialist country serikali inachukua mali toka kwa matajiri na kuwapa maskini na ndiyo maana unakuta gap co kubwa, na hiki ndicho tunataka cc wananchi utuone wapumbavu au vyovyote vile.

Ww km utaona haifai hama tu mkuu unaishi vp nchi isiyoendana na itikadi zako? Nenda kenya mkuu ukaendekeze u capitalist wako tuachie cc na socialism yetu.
Capitalism ni bora

Hao Wakenya masikini utafutaji wao wa mali utagarantii wao kutoka kwenye huo umasikini faster zaidi ya Tanzania..

Maana masikini wa Tanzania wanalishwa free,hatafuti mali as agressive kama masikini wa Kenya!

Mtu analishwa bure he got all the incentives za yeye kuendelea kutokutafuta mali

Kenya halishwi ndio maana he has all the incentives kutafuta mali otherwise atakufa!

Socialism ni total nonsense....
 
Hao Wakenya watatoka lini kwenye huo umaskini uliotopea? Kwn kenya imeingia juzi kwenye capitalist mode of production? Wacha propaganda zenye chuki za wazi ww.

Unaongelea mTz kulishwa na serikali lini serikali ya Tanzania inalisha maskini? Huduma zote watu wanalipia au ww unaongelea nchi gn? Developed au? Zipo nchi ni capitalist in nature na bado maskini wanapewa huduma nyingi bure na wengine wameenda mbali wanawapa mpk mishahara wale jobless.

Ss ww unaposema maskini wa Tz analishwa na serikali unamaanisha nini? Mbn unataka kutupa sifa tusizostahili uwafanye Wakenya watuone tumeshakuwa developed country wkt bado?

Wacha pang'ang'a hata hao Wakenya hawaku quote cz wanajua ww ni unaongea kishabiki tu huna uhalisia.
 
Back
Top Bottom