KRA vs TRA: Kwanini Kenya inakusanya kodi mara 3 ya Tanzania

Hahaha.. kweli mjinga hajitambui. Kwaiyo ukishasomea technician ndo unaingia kusomea artisan? Dah!
Hainisaidii chochote hata nisipoijua as long as technician ni bado low level na hupaswi kuvimba kwamba ww uko nondo, u shud work hard to get a bachelor's degree and be a complete engineer.
 
Siku nyingine ukiskia mtu anasema "Hainisaidii chochote hata nisipoijua" ujue moja kwa moja huyo ni mjinga.
 
Naona Wakenya mmejificha kwenye huu uzi kule kwingine mnapaogopa pa motroo[emoji3][emoji3][emoji3]

Mbn cc hatuogopi tunaruka na ninyi popote muendapo dadadeki, au ndo mnadhihirisha ule msemo "mwambie mpumbavu anachotaka kusikia"[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hayo mengine we yaongee tu, hayana uwiano na hoja yangu nakushauri ungewa quote wao. Ila kwa upande wangu siku ukiona mtu kaongea utumbo alaf kakimbia kufuta hiyo post yake wakati tushai-quote alaf anasema "Hainisaidii chochote hata nisipoijua"
ujue moja kwa moja huyo ni mjinga.
 
Hayo mengine we yaongee tu, hayana uwiano na hoja yangu nakushauri ungewa quote wao. Ila kwa upande wangu siku ukimskia mtu anasema "Hainisaidii chochote hata nisipoijua"
Pengine hujui maana ya neno mjinga, binadamu wote duniani ni wajinga katika mambo fulani km hulijui hilo basi wewe utakuwa ni mpumbavu.
 
Bosi.. naona unaleta porojo kwenye mambo serious..

Dunia ya sasa unashindwa hata kufungua portal ya TRA na KRA unaona kodi zipoje au hujui kusoma?

Mfano

Capital Gain Tax TRA ni 10% wakati kodi hiyo hiyo KRA ni 5%

Sasa niambie hizo kodi unazo sema zipo juu umezitoa wapi..?
Umeishi Nairobi walau hata Siku Moja ama unakariri nadharia za vijiweni?
1.Kenya ni nchi ya 3 Africa kwa kodi za juu
2.Karibu miradi yote ni mkopo, hata 5% kwa mradi mmoja huwa shangwe na vigelegele.
Petroli Saa hio dar ni kama ksh 90/- Nairobi ni 106/-
Hivi mitanzania mijinga mnatmani magu awaongeze kodi eti ndio muwee kupimana mikojo na Kenya?
https://kenyanwallstreet.com/kenyan...FjACegQIBhAB&usg=AOvVaw2XguhZBSA6ghPtklB6HgNR
 
Weee kijana unakuanga mjinga sana,
Waah.
Am surprised.
Yah ujinga co tusi mkuu ni hali ya kutojua jambo fulani lkn baadae ukielimishwa unajua, mfano Wakenya wengi walikuwa wajinga kuhusu Tz but nowadays wameelimishwa ujinga umewapungua na tunapoelekea ujinga wao unakwenda kuisha kabisa.
 
Safi sana for this constructive observation
 
TRA imejaa wapigaji wengi, nakumbuka kuna video ambayo Magufuli aliita kikao na wana biashara, wakamfungukia ukweli wote namna huwa wanababaishwa, mtu una biashara yenye mtaji wa Tshs 10,000,000 unapotaka ulipe kodi jamaa wanapiga mahesabu wanakuambia una deni la TRA la Tshs 200,000,000

Unaambiwa ufanye maamuzi, uwape kitita fulani wakurekebishie au ukapambane mbele huko, haya yote aliambiwa rais wenu sijui kama kuna lolote la maana mlilifanya au ile ilikua show tu, tatizo mnapenda maonyesho maonyesho ya kisiasa halafu utendaji zero.

Pia Watanzania hamna desturi ya kupenda kulipa kodi, nilishangaa sana nikiwa Bongo kuona hamna mtu huhangaika kuagiza risiti ya EFD. Sasa hapo mnataka mshindane na sisi kiuchumi, pengo baina yetu litazidi kuongezeka mpaka basi.
We jamaa unawashwa Sana na Tanzania
 
Bosi.. naona unaleta porojo kwenye mambo serious..

Dunia ya sasa unashindwa hata kufungua portal ya TRA na KRA unaona kodi zipoje au hujui kusoma?

Mfano

Capital Gain Tax TRA ni 10% wakati kodi hiyo hiyo KRA ni 5%

Sasa niambie hizo kodi unazo sema zipo juu umezitoa wapi..?
Wewe ndiye unahoja za form 4.
1. Hivi unaona tovuti ndio chombo cha kukusanya kodi?
2. Sina mda kuorodhesha kodi za kiajabu ajabu za Kenya na maradufu za Tanzania,
Nitakufahamisha tu kwamba Kenya ni 3 kutozwa kodi Africa
3.Unaagalia pande Moja kama kuku kipofu, Hizo kodi Kenya inakusanya hakuna hata mradi mmoja wa pesa za ndani
4.Unatarajia Capital Gains tax iweje na wanao miliki Hisa 80% NSE ni Mzungu?

Pole sana dogo ulidhani unashusha nodo hapa kumbe zero. Nimekwambia uje na hio Noah yako Nairobi uone kama kwa mishahara yenu kiduchu unaweza jaza mafuta. Hata ingekuwa Noah inatumia maji hauwezi jaza kwa kodi zinazotozwa
Halafu mnashangaa kwanini 60% wakaazi nairobi wanaishi kama wanyama jalalani
 
Sidhani hata kama anajua kwamba wakenya ndio raia wanaotozwa kodi nyingi zaidi kusini mwa jangwa la sahara, yeye anekazania kudi mbili tu, kila akiandika ni Capital gain Tax na VAT, hivi kama unapunguza kodi kwa matajiri lakini unalimbikiza lundo la kodi kwenye Fuel na vyakula hiyo ni akili au matope?.
 
Kuna watu wa ajabu sana..Wapo humu na nadharia za vitabuni lakini Magu akisema Kodi ziongezwe wako mstari wa kwanza kulialia.
Haja Yao Kubwa ni kupimanisha mikojo na nchi ya njaa na matapeli
 
Sidhani hata kama anajua kwamba wakenya ndio raia wanaotozwa kodi nyingi zaidi kusini mwa jangwa la sahara, yeye anekazania kudi mbili tu, kila akiandika ni Capital gain Tax na VAT, hivi kama unapunguza kodi kwa matajiri lakini unalimbikiza lundo la kodi kwenye Fuel na vyakula hiyo ni akili au matope?.
When will you stop having low IQ? The most taxed country in Africa is South Africa.
 
Followed by?. When we compare Africa Southern Sahara, always South Africa is excluded because of obvious reasons, keep it from now on.
 
South Africa has never been excluded in any statistics comparing SSA countries. That exclusion is manufactured by your low IQ mind. Anyway Kenya is not even in the top five countries of heavily taxed countries in Africa by personal income tax.
10 African countries with the highest personal income tax
 
South Africa has never been excluded in any statistics comparing SSA countries. That exclusion is manufactured by your low IQ mind. Anyway Kenya is not even in the top five countries of heavily taxed countries in Africa
10 African countries with the highest personal income tax
Unless you are stupid, this is person income tax, the same PAYE, what we talk is indirect tax, go and try to understand them.

On other hand I can forgive you because of your low IQ due to hunger. South Africa is Exception from the rest of other subsahara Africa, from now on when we talk Subsahara African countries, excluded South Africa.
 
Back
Top Bottom