Kreni ya Kujengea Ghorofa Laanguka na Kuua Kenya: Majirani Bora Muache Kujenga Maghorofa

Kreni ya Kujengea Ghorofa Laanguka na Kuua Kenya: Majirani Bora Muache Kujenga Maghorofa

eliakeem

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2009
Posts
17,214
Reaction score
15,853
Kreni ya Kujengea jengo la ghorofa kwa ajili ya wanafunzi limeanguka na kuua watu 8. Wawili wakiwa raia wa kigeni na 6 wakiwa wakenya. Mkasa huo umetokea leo, ambapo wakati ujenzi ukiwa unaendelea, mara ghafla bin vuu, kreni ikaanza kuanguka huku ikiwa na mzigo na kuwaangukia watu waliokuwa wakifanya kazi uwandani. Pamoja na vifo vilivyotokea, pia kuna majeruhi kadhaa.
Chanzo: VOA

Ushauri wangu
Majirani muachane na ujenzi wa maghorofa, maana vifo vinavyotokana na kuanguka kwa majengo marefu au mambo yanayohusiana na hayo ni makubwa sana.
 
Punguza wivu uliooza, tutazidi kujenga maghorofa hadi ile siku Yesu atarudi. RIP kwa waliopoteza maisha.

Hivi unajua maana ya neno wivu?
Watu wamekufa. Wewe unaongea mambo yasiyo eleweka.
Wekeni umakini kwenye TQM ya ujenzi wa maghorofa, hususan yale mnayojenga nyie wakandarasi wazawa. Tumechoka kusikia vifo vya raia wasio na hatia.
 
Punguza wivu uliooza, tutazidi kujenga maghorofa hadi ile siku Yesu atarudi.

RIP kwa waliopoteza maisha.

Nlisikia huko kenya you can qualify to engineering undergraduate without physics background. I think this is where is the root cause of this chronic problem of intermittent building collapsing.
Incompétence imetawala tasnia ya civil engineering.
 
Very correct, engineering without physics is synonymous to carnages.
 
Kreni ya Kujengea jengo la ghorofa kwa ajili ya wanafunzi limeanguka na kuua watu 8. Wawili wakiwa raia wa kigeni na 6 wakiwa wakenya. Mkasa huo umetokea leo, ambapo wakati ujenzi ukiwa unaendelea, mara ghafla bin vuu, kreni ikaanza kuanguka huku ikiwa na mzigo na kuwaangukia watu waliokuwa wakifanya kazi uwandani. Pamoja na vifo vilivyotokea, pia kuna majeruhi kadhaa.
Chanzo: VOA

Ushauri wangu
Majirani muachane na ujenzi wa maghorofa, maana vifo vinavyotokana na kuanguka kwa majengo marefu au mambo yanayohusiana na hayo ni makubwa sana.
Wavivu wa fikra, saa zote akili zao zinawaza majungu tu

Wakenya na ubora wa nyumba ni tofauti kabisa
 
Nlisikia huko kenya you can qualify to engineering undergraduate without physics background. I think this is where is the root cause of this chronic problem of intermittent building collapsing.
Incompétence imetawala tasnia ya civil engineering.
TZ kupata 2% ya watu wenye akili ni ngumu sana.... kwenye site yenyewe wajenziwalikua ZJCC kampuni ya Kichina wala sio kampuni ya Kikenya
 
Nlisikia huko kenya you can qualify to engineering undergraduate without physics background. I think this is where is the root cause of this chronic problem of intermittent building collapsing.
Incompétence imetawala tasnia ya civil engineering.
"Ulisikia"! Hebu tuambie ulisikia wapi na pia udhibitishe hayo madai yako kwamba physics is not a requirement to qualify for an undergraduate engineering course in Kenya
 
Ukisikia watu ambao maghorofa yamewakataa ni wakenya.
Yaani haupiti muda, lazima watu wafe kwa mikasa ya majengo marefu.
Maghorofa yametukataa wakati last time I checked Nairobi rules the east African skyline with more buildings above 20 floors!

Kijana, wivu zako peleka Tandale. This is just a normal accident that can happen anywhere. Ni mara ngapi umesikia ripoti ya crane kuanguka nchini Kenya wakati majumba marefu yanachipuka usiku na mchana? The crane was being dismantled baada ya ujenzi kukamilika na kwa bahati mbaya ikaanguka before it was fully dismantled to the ground. Ila Sasa kwa kukosa kazi mshaingiza feelings ndani na vijimaneno. Bure Kabisa!
 
Those two sentences in bold are contradicting to one another. You need to go back to your content analysis clinic to make up your brain.
Kweli, in Nairobi, the incidence of buildings to collapse and causing fatalities is normal.
 
Ukisikia watu ambao maghorofa yamewakataa ni wakenya.
Yaani haupiti muda, lazima watu wafe kwa mikasa ya majengo marefu.
Ni ghorofa ama crane ilianguka wakati ilikua inashushwa?., mnatamani sana mabaya yatokee Kenya lakini wapi!., jengo limekamilika, kazi ilikua ya ku dismantle crane.., wivu na chuki ni mbaya sana., mnakurupuka tu bila ya kuchunguza mambo., hadi raha., mifukara hadi kwenye akili zao😂 😂 😂 😂 😂 ona sasa unavyojiaibisha?.,😂😂😂
 
Nine dead after crane hitch at Qwetu Hostels site in Hurlingham​

THURSDAY AUGUST 26 2021
2

Paramedics at a construction site in Hurlingham, Nairobi where nine people died after a crane malfunctioned on August 26, 2021. PHOTO | EVANS HABIL | NMG

Nine people have lost their lives while another has sustained minor injuries after a crane malfunction at a students hostels construction site in Hurlingham, Nairobi collapsed.

Those who died in the Thursday afternoon incident were seven Kenyans and two Chinese nationals who were operating the crane at the proposed Acorn Holdings-owned Qwetu Hostels site.

Kilimani OCPD Andrew Mbogo confirmed the incident, which happened around 12.30pm when the crane came crashing down as the operators were fixing it.

“They were 10 workers operating the crane at around 1220 hours when it collapsed with them still on top of it. Nine of them lost their lives, including two Chinese, while one was slightly injured,” said Mr Mbogo.

He said that the slightly injured worker was rushed to Nairobi Women’s Hospital while the bodies were taken to Chiromo Mortuary. Mr Mbogo further said that they were investigating what could have caused the accident.

“We were fearing that probably more people were buried inside the debris but somehow none has been found. The company doing the construction has accounted for all the people,” he said.

ALSO READ​

4

People are seen outside the construction site in Hurlingham, Nairobi. PHOTO | EVANS HABIL | NMG
According to a carpenter at the site, Michael Odhiambo, they had just taken a lunch break at around 12.15pm. But 10 minutes or so later, they heard a loud bang like that of a heavy machine falling and they started scampering for safety.

“On coming back to confirm what was happening, we saw the crane had come down. The crane operators were also lying dead after being thrown down from over 70 metres high,” said Mr Odhiambo.

He said the crane operators are always eight in number and they are people who are known in the area as they are often involved in a lot of construction work in the area.

3

One of the construction company officials leaves the site. PHOTO | EVANS HABIL | NMG
“Only one survived because he had belted up and the belt held him as others were thrown off. We thought he had also died because he could not talk,” he said.

The labourer said construction work at the 14-storey students’ hostel, which is being built opposite the Department of Defence (DoD) headquarters by Chinese firm ZJCC Engineering and Construction company, was almost complete.

Another worker, who identified herself as Josephine, said the crane operators tried to control it so as not to crash into nearby houses where other workers were.

“They were using it to paint the building. Then it suddenly malfunctioned. The operators struggled with the crane to prevent it from falling on buildings where we were. This is what saved many lives,” she said.

Police and military personnel were the first to arrive at the site following the incident. A forensic team from the Directorate of Criminal Investigations (DCI) and a Kenya Red Cross rescue team also arrived at the scene.

A fire engine from the Nairobi County Disaster Management and Coordination department arrived more than three hours after the incident and after the bodies had been removed from the scene.
 
Back
Top Bottom