Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna sehemu nimesema hichi ulichokuliza wew. Nimesema kaskazini ipo vizuri na ina mchango mkubwa sana kwenye pato la taifa sababu Kuna madini, utalii, kilimo na ufugaji. DSM ipo vizuri kimapato kutokana na miundombinu mingi ya kibiashara kuelekezwa hapo kupitia kodi ya nchi nzima. Endapo kila Kanda ingekuwa inatenga kiasi flani cha fedha kwa ajili ya serikali kuu halafu inayobaki ni kwa ajili ya maendeleo yake kaskazini ingekuwa vizuri sana. Sijaweka statistics za mapato maana nafahamu jinsi Tanzania ukiachilia mbali kaskazini ilivyoiwezesha Dar kibiashara.Kwahiyo Arusha huongoza kwa ukusanyaji wa kodi hapa Tz?
Kijiji cha uzaramoni ni kama Tegeta ,Bunju, Gongolamboto, sasa hebu linganisha na huko kishumundu kwenu.Unaongelea maendeleo ya majiji badala ya kuongelea maendeleo ya watu na maeneo watokako! Vijiji vya Usukumani na Uzaramoni vina maendeleo gani ya kupigiwa mfano?
Hawa Cdm waliwahi kukuchkulia nini demu, dada au nini ?!. Maanake si kwa wivu huo wa uke wenza. Uchumi mmeuharibu wenyewe unakimbilia Cdm ajabu !!!Shamrashamra za sikukuu ya krismas mwaka huu 2018 zimekuwa za mfano na kuwaacha Chadema mdomo wazi.
Viongozi wa chadema na wafuasi wao walikuwa wamejiandaa kutumia sikukuu za mwisho wa mwaka huu kuwaeleza na kuwaonyesha wananchi na dunia kwa ujumla jinsi vyuma vilivyokaza hapa Tanzania ! Lakini hali imekuwa tofauti na matarajio ya chadema. Sokoni watu wamejaa, kwenye bar watu wamejaa, kwenye mabasi watu wamejaa hadi hayatoshi kuwasafirisha!. Nyama inanunulika kwa sana na mialiko ni ya kutosha !
Hali hii imewaacha chadema katika hali mbaya mno kisiasa na wanatafakari waje na gia ipi nyingine baada ya hii ya vyuma kukaza kubuma.
Utumwa wa mawazo mbaya sanaShamrashamra za sikukuu ya krismas mwaka huu 2018 zimekuwa za mfano na kuwaacha Chadema mdomo wazi.
Viongozi wa chadema na wafuasi wao walikuwa wamejiandaa kutumia sikukuu za mwisho wa mwaka huu kuwaeleza na kuwaonyesha wananchi na dunia kwa ujumla jinsi vyuma vilivyokaza hapa Tanzania ! Lakini hali imekuwa tofauti na matarajio ya chadema. Sokoni watu wamejaa, kwenye bar watu wamejaa, kwenye mabasi watu wamejaa hadi hayatoshi kuwasafirisha!. Nyama inanunulika kwa sana na mialiko ni ya kutosha !
Hali hii imewaacha chadema katika hali mbaya mno kisiasa na wanatafakari waje na gia ipi nyingine baada ya hii ya vyuma kukaza kubuma.
Tunaongelea miji au maendeleo ya watu? Sasa hivi nenda kafanye sensa uone wazaramo wangapi wamo kwenye jiji la Dar na wasukuma wangapi wanamiliki biashara Mwanza? Miji imeendelezwa na hao unaowaita chadema ingawa hujui kuwa siyo kila mtu asiyekuwa ccm ni Chadema. Je Mwanza hakuna UPD au CUF?Misifa ya kijinga hii, jiji la kwanza maendeleo ni Dar kwa wazaramo na jiji la pili kwa maendeleo ni Mwanza kwa wasukuma
Sio kuoenda sifa wako vizuri. Asilimia kubwa ya uchumi wa dar umeshikiliwa na wageni. Si wenyejiShangaa hawa jamaa wanapenda sana misifa.
Hahaha hivyo navyo ndio vijiji vya kuigwa? Loh bado sana. Bunju? Gongolamboto? HahahaKijiji cha uzaramoni ni kama Tegeta ,Bunju, Gongolamboto, sasa hebu linganisha na huko kishumundu kwenu.
Acha kulinganisha jiji na manispaa ya moshi, ni ujinga wa hali ya juuTunaongelea miji au maendeleo ya watu? Sasa hivi nenda kafanye sensa uone wazaramo wangapi wamo kwenye jiji la Dar na wasukuma wangapi wanamiliki biashara Mwanza? Miji imeendelezwa na hao unaowaita chadema ingawa hujui kuwa siyo kila mtu asiyekuwa ccm ni Chadema. Je Mwanza hakuna UPD au CUF?
Ukishatoka mjini Mwanza kwenda vijijini unaona nini? Nenda Bukoba nje ya mji na vijijini, Moshi vijijini, Arusha vijijini, Mbeya vijijini na sehemu zote zenye upinzani hasa uone maendeleo yalivyo. Sehemu yoyote inayojitambua itahitaji mabadiliko.
Mtanyooka tu hapo ufipaMbona sikukuu zipo miaka yote na watu wanasherekea, kama nyama zinaliwa tu na watu wanasafiri au ulitaka walale njaa ndo ujue kuwa havijakaza? Nenda st kayumba uone shule zilivyoshonana wazazi hawana uwezo tena wa kupeleka watoto wao Private school
Unaangalia jiji au unaangalia hali ya vijijini? Maendeleo ya watu yanapimwa kwa magorofa au hali ya wananchi wake?Acha kulinganisha jiji na manispaa ya moshi, ni ujinga wa hali ya juu