Krismas ya mwaka huu yawa ya mfano, Chadema wahaha

Vyama ni kama vilabu vya mpira!
So kunaanayeshabikia chadema na kunaanayeshabikia CCM, kwahiyo tusionane wehu eti kisa sipo kwenye chama chenu.
 
Kwahiyo Arusha huongoza kwa ukusanyaji wa kodi hapa Tz?
Hakuna sehemu nimesema hichi ulichokuliza wew. Nimesema kaskazini ipo vizuri na ina mchango mkubwa sana kwenye pato la taifa sababu Kuna madini, utalii, kilimo na ufugaji. DSM ipo vizuri kimapato kutokana na miundombinu mingi ya kibiashara kuelekezwa hapo kupitia kodi ya nchi nzima. Endapo kila Kanda ingekuwa inatenga kiasi flani cha fedha kwa ajili ya serikali kuu halafu inayobaki ni kwa ajili ya maendeleo yake kaskazini ingekuwa vizuri sana. Sijaweka statistics za mapato maana nafahamu jinsi Tanzania ukiachilia mbali kaskazini ilivyoiwezesha Dar kibiashara.
 
Unaongelea maendeleo ya majiji badala ya kuongelea maendeleo ya watu na maeneo watokako! Vijiji vya Usukumani na Uzaramoni vina maendeleo gani ya kupigiwa mfano?
 
Hakikisha Lumumba wamekulipa hela yako. Nasisitiza tena hakikisha umelipwa pesa sawa kadri ya UjinGa wako.

Wasizidishe, wasipunguze
 
Unaongelea maendeleo ya majiji badala ya kuongelea maendeleo ya watu na maeneo watokako! Vijiji vya Usukumani na Uzaramoni vina maendeleo gani ya kupigiwa mfano?
Kijiji cha uzaramoni ni kama Tegeta ,Bunju, Gongolamboto, sasa hebu linganisha na huko kishumundu kwenu.
 
Shamrashamra za sikukuu ya krismas mwaka huu 2018 zimekuwa za mfano na kuwaacha Chadema mdomo wazi.

Viongozi wa chadema na wafuasi wao walikuwa wamejiandaa kutumia sikukuu za mwisho wa mwaka huu kuwaeleza na kuwaonyesha wananchi na dunia kwa ujumla jinsi vyuma vilivyokaza hapa Tanzania ! Lakini hali imekuwa tofauti na matarajio ya chadema. Sokoni watu wamejaa, kwenye bar watu wamejaa, kwenye mabasi watu wamejaa hadi hayatoshi kuwasafirisha!. Nyama inanunulika kwa sana na mialiko ni ya kutosha !

Hali hii imewaacha chadema katika hali mbaya mno kisiasa na wanatafakari waje na gia ipi nyingine baada ya hii ya vyuma kukaza kubuma.
Hawa Cdm waliwahi kukuchkulia nini demu, dada au nini ?!. Maanake si kwa wivu huo wa uke wenza. Uchumi mmeuharibu wenyewe unakimbilia Cdm ajabu !!!

Kusheherekea ni mipango ya family pamoja na akina ya mwaka mzima.
 
Shamrashamra za sikukuu ya krismas mwaka huu 2018 zimekuwa za mfano na kuwaacha Chadema mdomo wazi.

Viongozi wa chadema na wafuasi wao walikuwa wamejiandaa kutumia sikukuu za mwisho wa mwaka huu kuwaeleza na kuwaonyesha wananchi na dunia kwa ujumla jinsi vyuma vilivyokaza hapa Tanzania ! Lakini hali imekuwa tofauti na matarajio ya chadema. Sokoni watu wamejaa, kwenye bar watu wamejaa, kwenye mabasi watu wamejaa hadi hayatoshi kuwasafirisha!. Nyama inanunulika kwa sana na mialiko ni ya kutosha !

Hali hii imewaacha chadema katika hali mbaya mno kisiasa na wanatafakari waje na gia ipi nyingine baada ya hii ya vyuma kukaza kubuma.
Utumwa wa mawazo mbaya sana
 
Mbona sikukuu zipo miaka yote na watu wanasherekea, kama nyama zinaliwa tu na watu wanasafiri au ulitaka walale njaa ndo ujue kuwa havijakaza? Nenda st kayumba uone shule zilivyoshonana wazazi hawana uwezo tena wa kupeleka watoto wao Private school
 
Misifa ya kijinga hii, jiji la kwanza maendeleo ni Dar kwa wazaramo na jiji la pili kwa maendeleo ni Mwanza kwa wasukuma
Tunaongelea miji au maendeleo ya watu? Sasa hivi nenda kafanye sensa uone wazaramo wangapi wamo kwenye jiji la Dar na wasukuma wangapi wanamiliki biashara Mwanza? Miji imeendelezwa na hao unaowaita chadema ingawa hujui kuwa siyo kila mtu asiyekuwa ccm ni Chadema. Je Mwanza hakuna UPD au CUF?

Ukishatoka mjini Mwanza kwenda vijijini unaona nini? Nenda Bukoba nje ya mji na vijijini, Moshi vijijini, Arusha vijijini, Mbeya vijijini na sehemu zote zenye upinzani hasa uone maendeleo yalivyo. Sehemu yoyote inayojitambua itahitaji mabadiliko.
 
Kijiji cha uzaramoni ni kama Tegeta ,Bunju, Gongolamboto, sasa hebu linganisha na huko kishumundu kwenu.
Hahaha hivyo navyo ndio vijiji vya kuigwa? Loh bado sana. Bunju? Gongolamboto? Hahaha
 
Tunaongelea miji au maendeleo ya watu? Sasa hivi nenda kafanye sensa uone wazaramo wangapi wamo kwenye jiji la Dar na wasukuma wangapi wanamiliki biashara Mwanza? Miji imeendelezwa na hao unaowaita chadema ingawa hujui kuwa siyo kila mtu asiyekuwa ccm ni Chadema. Je Mwanza hakuna UPD au CUF?

Ukishatoka mjini Mwanza kwenda vijijini unaona nini? Nenda Bukoba nje ya mji na vijijini, Moshi vijijini, Arusha vijijini, Mbeya vijijini na sehemu zote zenye upinzani hasa uone maendeleo yalivyo. Sehemu yoyote inayojitambua itahitaji mabadiliko.
Acha kulinganisha jiji na manispaa ya moshi, ni ujinga wa hali ya juu
 
Mbona sikukuu zipo miaka yote na watu wanasherekea, kama nyama zinaliwa tu na watu wanasafiri au ulitaka walale njaa ndo ujue kuwa havijakaza? Nenda st kayumba uone shule zilivyoshonana wazazi hawana uwezo tena wa kupeleka watoto wao Private school
Mtanyooka tu hapo ufipa
 
Acha kulinganisha jiji na manispaa ya moshi, ni ujinga wa hali ya juu
Unaangalia jiji au unaangalia hali ya vijijini? Maendeleo ya watu yanapimwa kwa magorofa au hali ya wananchi wake?
 
Ni kijiji kipi cha Dar kinacholingana na manispaa ya Moshi
 
Back
Top Bottom