Krismas ya mwaka huu yawa ya mfano, Chadema wahaha

Krismas ya mwaka huu yawa ya mfano, Chadema wahaha

Umeona eeeeeah. Na korosho tumelipwa cash huku kusini wala hatuna njaa. Hao chadema wamkome jpm. Za kuambiwa changanya na zako we unaangalia huko tu njoo huku mwezi wa nne korosho zetu hatujalipwa na mvua zimeanza tutalimaje sijui TUPENI HELA ZETU
 
Shamrashamra za sikukuu ya krismas mwaka huu 2018 zimekuwa za mfano na kuwaacha Chadema mdomo wazi.

Viongozi wa chadema na wafuasi wao walikuwa wamejiandaa kutumia sikukuu za mwisho wa mwaka huu kuwaeleza na kuwaonyesha wananchi na dunia kwa ujumla jinsi vyuma vilivyokaza hapa Tanzania ! Lakini hali imekuwa tofauti na matarajio ya chadema. Sokoni watu wamejaa, kwenye bar watu wamejaa, kwenye mabasi watu wamejaa hadi hayatoshi kuwasafirisha!. Nyama inanunulika kwa sana na mialiko ni ya kutosha !

Hali hii imewaacha chadema katika hali mbaya mno kisiasa na wanatafakari waje na gia ipi nyingine baada ya hii ya vyuma kukaza kubuma.
Chakula ni matumizi ya muhimu kwa binadamu
Kwa kawaida mapato yanagawanywa katika makundi mawili, matumizi ya kila siku na akiba, suala la kwanza kuathirika ni akiba akiba inawekwa bank ukiona bank zinapata shida ujue vyuma vimekaza.

Sokoni ni sehemu ya mwisho kuangalia, huko tunaangalia ukubwa wa kapu na thamani yake.
 
Mmeumbuka vibaya mno
 
Misifa ya kijinga hii, jiji la kwanza maendeleo ni Dar kwa wazaramo na jiji la pili kwa maendeleo ni Mwanza kwa wasukuma
Kwa hiyo makabila yanayoongoza kwa maendeleo ni 1. Wazaramo 2. Wasukuma 3. Wamasai. Au nimekuelewa tofauti?
 
Back
Top Bottom