mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Heri ya xmass jiraniShukrani bro, pia nawe na familia yako muwe na Krisimasi njema, watu tukumbuke kutembelea makao ya yatima na kuwapa tabasamu, au hata kama hautaweza kwenda, kunazo namba za mpesa za kila makao, unatupiamo kitu humo walau na wao washeherekee.
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app