Krismasi njema kwa kila mtumiaji wa JF Kenya section

Krismasi njema kwa kila mtumiaji wa JF Kenya section

Shukrani bro, pia nawe na familia yako muwe na Krisimasi njema, watu tukumbuke kutembelea makao ya yatima na kuwapa tabasamu, au hata kama hautaweza kwenda, kunazo namba za mpesa za kila makao, unatupiamo kitu humo walau na wao washeherekee.
Heri ya xmass jirani

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom