#COVID19 Krismasi tuziwapelekee wazazi Covid -19 kama zawadi

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Wakazi wa mijini msilaumiwe kwa kuwaua wazazi wenu kwa kuwaambukiza ugonjwa wa Covid 19.

Wazazi wetu ni wazee ambao hawakuchanja korona, hivyo rahisi sana kupata maambukizi ya corona Na mafua makali.

Kama sio lazima sana usiende kijijini, baki mjini kwa maslahi ya babu na bibi zako.
 
Xmas ni nini kwani ? Huo uvivu wa kuandika heading tu contents zitakuwaje.

Siyo wote tumesoma udom
 
Wakazi wa mijini msilaumiwe kwa kuwaua wazazi wenu kwa kuwaambukiza ugonjwa wa covid 19. Wazazi wetu ni wazee ambao hawakuchanja korona, hivyo rahisi sana kupata maambukizi ya corona Na mafua makali.

Kama sio lazima sana usiende kijijini, baki mjini kwa maslahi ya babu Na bibi zako.

Watakuelewa kweli wakati wamekwisha amini?

IMG_20211219_224642_122.jpg
 
Wakazi wa mijini msilaumiwe kwa kuwaua wazazi wenu kwa kuwaambukiza ugonjwa wa covid 19. Wazazi wetu ni wazee ambao hawakuchanja korona, hivyo rahisi sana kupata maambukizi ya corona Na mafua makali.

Kama sio lazima sana usiende kijijini, baki mjini kwa maslahi ya babu Na bibi zako.
KUNA UKWELI KTK HOJA HII. MIJINI KUNA WATU WENGI NA MAAMBUKIZI NA MAGONJWA MENGI PIA. TUMETANGAZIWA NA "WANAUME" KUWA AMEKUJA KIBOKO YA UZIMA MWINGINE, ... OMICRON. TUCHUKUE TAHADHARI.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Kwani Askofu Gwajima, viroboto na wahuni wenzao wanasema je?
 
Back
Top Bottom