Wakazi wa mijini msilaumiwe kwa kuwaua wazazi wenu kwa kuwaambukiza ugonjwa wa covid 19. Wazazi wetu ni wazee ambao hawakuchanja korona, hivyo rahisi sana kupata maambukizi ya corona Na mafua makali.
Kama sio lazima sana usiende kijijini, baki mjini kwa maslahi ya babu Na bibi zako.
KUNA UKWELI KTK HOJA HII. MIJINI KUNA WATU WENGI NA MAAMBUKIZI NA MAGONJWA MENGI PIA. TUMETANGAZIWA NA "WANAUME" KUWA AMEKUJA KIBOKO YA UZIMA MWINGINE, ... OMICRON. TUCHUKUE TAHADHARI.Wakazi wa mijini msilaumiwe kwa kuwaua wazazi wenu kwa kuwaambukiza ugonjwa wa covid 19. Wazazi wetu ni wazee ambao hawakuchanja korona, hivyo rahisi sana kupata maambukizi ya corona Na mafua makali.
Kama sio lazima sana usiende kijijini, baki mjini kwa maslahi ya babu Na bibi zako.
KUNA UKWELI KTK HOJA HII. MIJINI KUNA WATU WENGI NA MAAMBUKIZI NA MAGONJWA MENGI PIA. TUMETANGAZIWA NA "WANAUME" KUWA AMEKUJA KIBOKO YA UZIMA MWINGINE, ... OMICRON. TUCHUKUE TAHADHARI.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app