Enzi na Enzi
JF-Expert Member
- May 29, 2020
- 888
- 821
Nimeamini pesa ndio chanzo cha maovu yte duniani
Sijawahi kuona CHRISTMAS tulivu kama ya leo.
Christimas ya leo nitulivu haina mbwembwe wala madoido.
Mitaa imejaa bodaboda wanaosubiri wateja.
Ma- guest yapo wazi, mabaa yanapiga mziki kuita watu lkn ukiingia unakuta peupe.
Leo makanisa yamejaa watu asubuhi hadi jioni.
Police nao leo nikula bata tu. Hakuna ngumi wala vurugu.
Pesa chanzo cha maovu.
Huku ni kimyaaa.