Kama ni mtu unayetafakari matukio duniani, basi mwaka huu umeandamwa na balaa za kutosha. Magonjwa, vifo, wizi wa kisiasa pamoja na uminywaji wa haki, acha waumini wamrudie muumba wao!
Siku kuu yenye mantiki ni ya familia kukaa pamoja nyumbani kwao, kula, kunywa na kuomba!
Miaka mingine kama saizi nakuasielewi nilipo na huwa sijuagi xmass huwa ikoje. Lakini leo nimejikuta najikinga na korona kwa kukaa nyumbani na kuepuka misongamano
Maana nyingine ya Krismasi na "kukiri" & "kukili" "maasi"!!! Sasa mchakato huo hauendani kabisa na makeke uliyoyazoea. Watu wako serious kulijenga taifa la chini na juu.