INAUZWA KTM 690 Enduro R

mkuu bei za kawaida sana kwenye pikipiki usishangae milioni 40,000,000 Tsh kuna pikipiki zinabei kubwa zaidi nazipo hapa bongo watu wanazitumia unakuta mtu kaipaki nyumbani kwake anatumia mala moja tu kwamwezi ushingae ndugu
Unajuwa watu wengi hawaijuwi KTM kama huna pesa kaa kimya soma comment tu kwa mfano unautajiri wa bl moja ukanunue pikpik ya 1.8ml

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angewatag watoto wa Rugemalila,Bahresa,n.k hao wananunua fasta, Kwenye hili JUKWAA wote ni walalahoi waamkao taabani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…