igwee frm anambra
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 957
- 1,496
*ndo= ndio.umekua msemaji wa wachoka mbaya au wewe nwyewe ndo mchovu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
*ndo= ndio.umekua msemaji wa wachoka mbaya au wewe nwyewe ndo mchovu?
ndugu kanunu majini na ungo achana na KTM sio size yako.
mkuu bei za kawaida sana kwenye pikipiki usishangae milioni 40,000,000 Tsh kuna pikipiki zinabei kubwa zaidi nazipo hapa bongo watu wanazitumia unakuta mtu kaipaki nyumbani kwake anatumia mala moja tu kwamwezi ushingae ndugu
Duh, JF bhana
% kubwa tunaopita humu ni level za Ti no B.... kushuka chini , sasa wewe umetuletea KTM ya 40 m .... ... ambayo sidhani km mtanzania wa kawaida anaweza ku-opt , hata kama uwezo huo upo.......kuwa ndani ya Ti si sawa na kuwa kwenye Pikpik yoyote hata km gharama ya hiyo pikipik ni 200m.... Vumbi , joto, kurukiwa na maji machafu hakukwepeki
Yap' ina engine kubwa+ ina kimbia sana " kwa barabara ipi Tz" labda km unapenda kujikuta chini ya lorry, Btw uzi wako umekaa ki-showoff ' cha ajabu kila mtu humu ni aniyonimous. .....
Option II...... binafsi nikikutana na pesa hiyo ambayo haina kazi nitanunua 20 (twenty)SanLG nitatoa ajira kwa vijana 20 @ 10,000/day = 200,000/ at the end of the day ............Mpesa yangu itasoma 200k daily wewe kaa na KTM lako upige nalo selfie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wasomaji wako wengi ni wamililki wa carina na vile vichwa vya kuku wanao kera kwa usumbufu barabarani hivyo carina Imekua kitu cha ghali sanaTatizo kuna baadhi ya watu wanapenda kucoment kila jambo wamekariri Carina Ti kila wanachokiona wanakithaminisha na carina Ti
unakuta mtu hata mia hana lakini anapoteza muda kuwangia postUpo conscious lakini asiyeelewa atakuona una wivu.
msemaji wa WatanzaniaUpo conscious lakini asiyeelewa atakuona una wivu.
unakuta mtu hata mia hana lakini anapoteza muda kuwangia post
msemaji wa Watanzania
Wengi humu hawajui kama kuna pikipiki za kifahari,wamezoea fekon na boxer tu!kwa sisi tunaojua madude(pikipiki) hyo ni bei ya kawaida sana!mileage 00 bei yake ni milioni 40,000,000 tsh
Nionavyo mimi.......unakuta mtu hata mia hana lakini anapoteza muda kuwangia post
msemaji wa Watanzania
Nionavyo mimi.......unakuta mtu hata mia hana lakini anapoteza muda kuwangia post
msemaji wa Watanzania
Wengi humu hawajui kama kuna pikipiki za kifahari,wamezoea fekon na boxer tu!kwa sisi tunaojua madude(pikipiki) hyo ni bei ya kawaida sana!
Sikiliza Toka Kwangu!
Wengi humu hawajui kama kuna pikipiki za kifahari,wamezoea fekon na boxer tu!kwa sisi tunaojua madude(pikipiki) hyo ni bei ya kawaida sana!
Sikiliza Toka Kwangu!
hapa sio sehemu ya ushauri nasaa hapa nimatangaozo ya bishara ukiona Tangazo linakuhusu unasoma kamali halikuhusu tafuta unachokitafuta sio kuletaujuakali hapa na sio malengo ya muanzilishi bali ni umasikini wakufikiri kwa baadhi ya watuNionavyo mimi.......
Hiyo mtu katoa maoni yake kwenye uzi kuwa hawezi kununua pikipiki 1 kwa 40m bora anunue bodaboda kadhaa zimletee hela.
Wewe kama muuzaji nadhani ulitakiwa kumshawishi kuwa akishamiliki bodaboda 20 awe na
Nionavyo mimi.......
Hiyo mtu katoa maoni yake kwenye uzi kuwa hawezi kununua pikipiki 1 kwa 40m bora anunue bodaboda kadhaa zimletee hela.
Wewe kama muuzaji nadhani ulitakiwa kumshawishi kuwa akishamiliki bodaboda 20 awe na KTM moja ya kwendea kazini, au hata kufuatilia vijana wa bodaboda, na sio lugha hizi. Wewe kama muuzaji unahitaji hela kutoka kwa mnunuzi ila mmejiweka kutokuwa na lugha za staha, Hivi unadhan muuzaji ni wewe tu?
Kumbuka importer ni weengi sana kwa sasa.
Watu wanaangalia nani ana kauli nzuri, sijui mnajionaje, miungu!!!!
Nasema hivi sababu last week nilipata contact za seller wa spare za yamaha lakini kumpigia naomba punguzo akasema "kama hutaki acha". Nikanunua kwingine.
Hebu ongeeni kistaarabu wewe kama mtafutaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unawaza biashara wenzako wanawaza kutumia, kweli umasikini mbaya aiseee% kubwa tunaopita humu ni level za Ti no B.... kushuka chini , sasa wewe umetuletea KTM ya 40 m .... ... ambayo sidhani km mtanzania wa kawaida anaweza ku-opt , hata kama uwezo huo upo.......kuwa ndani ya Ti si sawa na kuwa kwenye Pikpik yoyote hata km gharama ya hiyo pikipik ni 200m.... Vumbi , joto, kurukiwa na maji machafu hakukwepeki
Yap' ina engine kubwa+ ina kimbia sana " kwa barabara ipi Tz" labda km unapenda kujikuta chini ya lorry, Btw uzi wako umekaa ki-showoff ' cha ajabu kila mtu humu ni aniyonimous. .....
Option II...... binafsi nikikutana na pesa hiyo ambayo haina kazi nitanunua 20 (twenty)SanLG nitatoa ajira kwa vijana 20 @ 10,000/day = 200,000/ at the end of the day ............Mpesa yangu itasoma 200k daily wewe kaa na KTM lako upige nalo selfie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wenzako wenye kununua bikes kama hizo walishatoka kwenye hizo stage unazofikiria za kimaisha wamepaki ma Range,Lexus,ma bmw huko majumbani kwao inshort wana magari ya luxury na huo muda wa kufanya biashara ya Taxi/bodaboda sio interests zao hao.% kubwa tunaopita humu ni level za Ti no B.... kushuka chini , sasa wewe umetuletea KTM ya 40 m .... ... ambayo sidhani km mtanzania wa kawaida anaweza ku-opt , hata kama uwezo huo upo.......kuwa ndani ya Ti si sawa na kuwa kwenye Pikpik yoyote hata km gharama ya hiyo pikipik ni 200m.... Vumbi , joto, kurukiwa na maji machafu hakukwepeki
Yap' ina engine kubwa+ ina kimbia sana " kwa barabara ipi Tz" labda km unapenda kujikuta chini ya lorry, Btw uzi wako umekaa ki-showoff ' cha ajabu kila mtu humu ni aniyonimous. .....
Option II...... binafsi nikikutana na pesa hiyo ambayo haina kazi nitanunua 20 (twenty)SanLG nitatoa ajira kwa vijana 20 @ 10,000/day = 200,000/ at the end of the day ............Mpesa yangu itasoma 200k daily wewe kaa na KTM lako upige nalo selfie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wenye kipaji cha kuelewesha tusaidie ili twende sawa sikunyingi mtu anaweza asitangaze bishara zake hapa kwasabu ya baadhi ya watu wache wanataka kupotosha maana na umuhimu wa sehemu hiiWenzako wenye kununua bikes kama hizo walishatoka kwenye hizo stage unazofikiria za kimaisha wamepaki ma Range,Lexus,ma bmw huko majumbani kwao inshort wana magari ya luxury na huo muda wa kufanya biashara ya Taxi/bodaboda sio interests zao hao.
Pia ujue kuendesha pikipiki ni hobby kwa wengine.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umekua msemaji wa wachoka mbaya au wewe nwyewe ndo mchovu?
Sasa Mkuu hiyo milioni arobaini ni pamoja na kunyeshewa na mvua na kubeba vimelea vya TB[emoji1] [emoji1] [emoji1] ngoja nisubilie lasso yangu ya makinikia.mileage 00 bei yake ni milioni 40,000,000 tsh
Nakubaliana na wewe mkuu, nimechangia tu kwa uelewa wangu , sio kuharibu biashara ya mtu ...kumbuka hili ni jukwaa huru linabeba kila aina ya watu ,.... masikini, matajiri, wehu , timamu etc etc .... naweza kuwa sahihi au si sahihi,Wenzako wenye kununua bikes kama hizo walishatoka kwenye hizo stage unazofikiria za kimaisha wamepaki ma Range,Lexus,ma bmw huko majumbani kwao inshort wana magari ya luxury na huo muda wa kufanya biashara ya Taxi/bodaboda sio interests zao hao.
Pia ujue kuendesha pikipiki ni hobby kwa wengine.