Mjema Vushanje
Senior Member
- Sep 24, 2017
- 158
- 355
Vyombo vya habari vya Kenya viko vizuri Sana, taarifa zao zinavutia, hawaogopi na hawana hofu kuandika habari yoyote, mareporter wao wamechangamka na wanaripoti Kwa ujasiri, wanavaa vizuri na Hata clearness ya picha zao Ni ya Hali ya juu.
Kwakweli hivi sasa kila ikifika SAA moja usiku Niko na NTV , KTN k24, Citizen ama KBC.
TV zetu za Bongo jifunzeni habari zenu zimezubaa hazina mvuto.
Tena ITV kwasasa ndio hamna hata maana mnachagua Sana cha kuripoti!
Natamani ningekuwa natumia Azam nasikia Ni nzuri! Shubamiit!

Naunga nkono hoja KTN Citizen TV big upVyombo vya habari vya Kenya viko vizuri Sana, taarifa zao zinavutia, hawaogopi na hawana hofu kuandika habari yoyote, mareporter wao wamechangamka na wanaripoti Kwa ujasiri, wanavaa vizuri na Hata clearness ya picha zao Ni ya Hali ya juu.
Kwakweli hivi sasa kila ikifika SAA moja usiku Niko na NTV , KTN k24, Citizen ama KBC.
TV zetu za Bongo jifunzeni habari zenu zimezubaa hazina mvuto.
Tena ITV kwasasa ndio hamna hata maana mnachagua Sana cha kuripoti!
Natamani ningekuwa natumia Azam nasikia Ni nzuri! Shubamiit!
Hamieni huko maana wanakoga mioyo yenu maana wanatangaza myatakayo kusikia
Nami naangalia Kenyan TVs all the time. hapa kwetu huna cha kuangalia.Vyombo vya habari vya Kenya viko vizuri Sana, taarifa zao zinavutia, hawaogopi na hawana hofu kuandika habari yoyote, mareporter wao wamechangamka na wanaripoti Kwa ujasiri, wanavaa vizuri na Hata clearness ya picha zao Ni ya Hali ya juu.
Kwakweli hivi sasa kila ikifika SAA moja usiku Niko na NTV , KTN k24, Citizen ama KBC.
TV zetu za Bongo jifunzeni habari zenu zimezubaa hazina mvuto.
Tena ITV kwasasa ndio hamna hata maana mnachagua Sana cha kuripoti!
Natamani ningekuwa natumia Azam nasikia Ni nzuri! Shubamiit!
Katika watu nimewapuuza na kuwaona wajinga one of them ni Mengi na ITV yake
mibongo nilishaga acha kuangalia.wanaripoti matukio ya upande mmoja.utasikia Mkuu wa mkoa,mkuu wa wilaya,wazir nk