Mjema Vushanje
Senior Member
- Sep 24, 2017
- 158
- 355
Vyombo vya habari vya Kenya viko vizuri Sana, taarifa zao zinavutia, hawaogopi na hawana hofu kuandika habari yoyote, mareporter wao wamechangamka na wanaripoti Kwa ujasiri, wanavaa vizuri na Hata clearness ya picha zao Ni ya Hali ya juu.
Kwakweli hivi sasa kila ikifika SAA moja usiku Niko na NTV , KTN k24, Citizen ama KBC.
TV zetu za Bongo jifunzeni habari zenu zimezubaa hazina mvuto.
Tena ITV kwasasa ndio hamna hata maana mnachagua Sana cha kuripoti!
Natamani ningekuwa natumia Azam nasikia Ni nzuri! Shubamiit!