KTN, NTV, citizen TV mnajitahidi sana

KTN, NTV, citizen TV mnajitahidi sana

Mjema Vushanje

Senior Member
Joined
Sep 24, 2017
Posts
158
Reaction score
355
Vyombo vya habari vya Kenya viko vizuri Sana, taarifa zao zinavutia, hawaogopi na hawana hofu kuandika habari yoyote, mareporter wao wamechangamka na wanaripoti Kwa ujasiri, wanavaa vizuri na Hata clearness ya picha zao Ni ya Hali ya juu.

Kwakweli hivi sasa kila ikifika SAA moja usiku Niko na NTV , KTN k24, Citizen ama KBC.

TV zetu za Bongo jifunzeni habari zenu zimezubaa hazina mvuto.

Tena ITV kwasasa ndio hamna hata maana mnachagua Sana cha kuripoti!

Natamani ningekuwa natumia Azam nasikia Ni nzuri! Shubamiit!
 
mibongo nilishaga acha kuangalia.wanaripoti matukio ya upande mmoja.utasikia Mkuu wa mkoa,mkuu wa wilaya,wazir nk
 
Hamieni huko maana wanakoga mioyo yenu maana wanatangaza myatakayo kusikia
 
Kuna uzi hapa ulikuwa unazungumzia binti wa Kenya anayewaona Watz kama ILLOGICAL PEOPLE...!!!
Bila shaka yuko sahihi. Ukiangalia Media za Tanzania kama TV na Magazeti ukalinganisha na Kenya unaona kweli Watz tuko hoi! Habari hazivutiii,hazina uchambuzi wa kina au utafiti wowote si katika SIASA wala UCHUMI!!!!
Tanzania imejaa wababaishaji kuanzia Viongozi mpaka Walalahoi...!!!Ni aibu.
 
Tatizo la TV za kibongo ni kuwa bila kumsifia Magu kwa kila anachokifanya, nyinyi mtaitwa wachochezi, watetea wezi wa rasilimali zetu!

Na mwisho kabisa Bwana mkubwa atawapiga mkwara, You don't have freedom of speech to that extent.......

Na mwisho kabisa uchague moja USIFU ili usurvive.......

Au UUSEME UKWELI ili upigwe BAN!
 
Vyombo vya habari vya Kenya viko vizuri Sana, taarifa zao zinavutia, hawaogopi na hawana hofu kuandika habari yoyote, mareporter wao wamechangamka na wanaripoti Kwa ujasiri, wanavaa vizuri na Hata clearness ya picha zao Ni ya Hali ya juu.

Kwakweli hivi sasa kila ikifika SAA moja usiku Niko na NTV , KTN k24, Citizen ama KBC.

TV zetu za Bongo jifunzeni habari zenu zimezubaa hazina mvuto.

Tena ITV kwasasa ndio hamna hata maana mnachagua Sana cha kuripoti!

Natamani ningekuwa natumia Azam nasikia Ni nzuri! Shubamiit!

Nadhani kituo cha TV kinachoongoza kwa kuzubaa kwa watangazaji wake ni StarTv...!!

Kuna wakati nilianza kudhani labda ni TV screen yangu ndiyo ina shida...

Lakini baadae nilijiridhisha pasipo shaka kuwa, shida iko kwenye kituo cheyewe cha TV...!!

Yaani huyu Magufuli ameharibu karibu kila sekta.....

Wengi wa watu hawajiamini, hofu mtindo mmoja kwa sbb wakati wowote wanaweza kukutana na kichaa aliyekabidhiwa rungu....

Eeeeh, haa haa.... Kichaa kabidhiwa rungu eti na aweza kula kichwa cha mtu wakati wowote....!!

Na all the time wanaogopa Nissan Patrol nyeupe ya "watu wasiojulikana" wakiwa na AK47 na SMG...!!
 
Vyombo vya habari vya Kenya viko vizuri Sana, taarifa zao zinavutia, hawaogopi na hawana hofu kuandika habari yoyote, mareporter wao wamechangamka na wanaripoti Kwa ujasiri, wanavaa vizuri na Hata clearness ya picha zao Ni ya Hali ya juu.

Kwakweli hivi sasa kila ikifika SAA moja usiku Niko na NTV , KTN k24, Citizen ama KBC.

TV zetu za Bongo jifunzeni habari zenu zimezubaa hazina mvuto.

Tena ITV kwasasa ndio hamna hata maana mnachagua Sana cha kuripoti!

Natamani ningekuwa natumia Azam nasikia Ni nzuri! Shubamiit!
Naunga nkono hoja KTN Citizen TV big up
 
Aisee! Kumbe ndio hivyo ngoja nianze kufuatilia
Nalog off
 
Hamieni huko maana wanakoga mioyo yenu maana wanatangaza myatakayo kusikia

Unadhani yuko wapi?

Kwa akili zako za Kibashite unafikiri kuhama ni lazima uhame na mwili wako, siyo?

Kudadeeki, bashiiiite mkubwa wewe...

Mwenzio kakuambia kabisa huangalia Citizen TV, KTN, KBC nk za Kenya. Huko si ndiko kuhama, au!!??
 
Katika watu nimewapuuza na kuwaona wajinga one of them ni Mengi na ITV yake
 
ITV ni super-brand afrika mashariki kwahio hao wote ulio waandika ni wachumba tu
 
Vyombo vya habari vya Kenya viko vizuri Sana, taarifa zao zinavutia, hawaogopi na hawana hofu kuandika habari yoyote, mareporter wao wamechangamka na wanaripoti Kwa ujasiri, wanavaa vizuri na Hata clearness ya picha zao Ni ya Hali ya juu.

Kwakweli hivi sasa kila ikifika SAA moja usiku Niko na NTV , KTN k24, Citizen ama KBC.

TV zetu za Bongo jifunzeni habari zenu zimezubaa hazina mvuto.

Tena ITV kwasasa ndio hamna hata maana mnachagua Sana cha kuripoti!

Natamani ningekuwa natumia Azam nasikia Ni nzuri! Shubamiit!
Nami naangalia Kenyan TVs all the time. hapa kwetu huna cha kuangalia.
 
Katika watu nimewapuuza na kuwaona wajinga one of them ni Mengi na ITV yake

Afadhali hata ya huyo Mengi anapata Award ya Super Brand...!!Kuna huyu msukuma anaitwa Anthony Diallo na StarTV yake ndohovyo kabisa. Wakti wa kampeni za Magu alikuwa mpaka anachakachua taarifa za mahudhurio ya CHADEMA ili ionekana CHADEMA na Lowassa hawaungwi mkono...!!!
Lakini jamaa aliadhirika baada ya Magu kumgeuzia kibao cha Ukwepaji kodi!!Jamaa sasa hivi yuko hoi bin taabani, ile FM radio yake ya RFA( Radio Free Africa) kwishne..! Imebakia jina tu...!!
 
mibongo nilishaga acha kuangalia.wanaripoti matukio ya upande mmoja.utasikia Mkuu wa mkoa,mkuu wa wilaya,wazir nk

Yaani ukisikiliza news za media zetu zinatia hadi kichefuchefu...!! Utasikia habari ya kwanza kabisa.....Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli ametumbua jipu, makinikia, mara dagaa Ziwa Tanganyika wako milioni 2(sijui aliwahesabu lini)..... mara Makamu Rais kazindua......mara PM majaliwa kasema....and all blablas...Upuuzi mtupu!!!

We angalia tu kama issue ya Tundu Lissu kupigwa risasi...hakukuwa wala hakujawa na coverage inayogusa hili tukio kwa undani wake...!! Hakuna investigative journalism on the issue kwa maana ya Waandishi ambao wanakwenda deep, ikiwemo kutaka kujua nini hasa kilitokea...!! Mpaka sasa kunamaswali Watanzania wanajiuliza yalitakiwa kujibiwa na Media..!!!!

Mpaka sasa sijasikia Mwandishi wa Media yoyote aliyefuatilia hili swala kwa undani wake kwa kufukunyua na kujua nini kilitokea. Sanasana labda GAZETI LA MWANAHALISI ambalo kidogo lilianza kwenda deep likafungiwa mara moja...!!
Leo hii wako wapi kina Stan Kabalo(RIP) Mhaya aliyeandika scandal ya Ufisadi wa Loliondo mpaka jamaa wakachukue kichwa chake....???!!!

Kilichobakia kwa sasa ni kwa Waandishi kujikomba na kuwafurahisha Watawala ili wapewe Ubunge wa kuteuliwa, Ukuu wa Wilaya au Mkoa..basi! Mtu kama Juma Ngamia unategemea anaweza kuandika a very critical and challenging issue kwa jicho la uchunguzi...???Never. Sishangai GADO alipowachora Waandishi wa Habari Tanzania WAKIRAMBA MIGUU YA KIWETE....!!
 
Back
Top Bottom