KTN TV Vijimambo: Mwanamuziki wa Tanzania ajaribu kuzungumza kingereza

kiingereza kitu gan bwanaaaaa.....???.mbona tunaweuka kiasi hiki wadau....
 
Sio kiherehere, kwetu hiyo tunachezea kama toy, we don't take it seriously kama ninyi huko, so we just play with it at our wish
Mbona huyo alikilazimisha basi wakati angetumia kiswahili ndo angeeleweka vizuri?
 
Ukiangalia body language utaona kwamba hakuwa katika serious interview, alijubu kama jokes, kwasababu anajua kabisa kwamba hana uwezo wa kuitumia hiyo lugha, ila angekosea kiswahili wala msingeshangaa, mtoto wa Uhuru Kenyatta hajui kabisa kiswahili, alihutubia kwa kusoma kwenye simu, wala hamjisikii vibaya, yaani wazungu waliwaathiri vibaya sana ninyi wakenya.
 
nimecheka sana....hawa jamaa wako hivyo toka kwa rais mpaka kwa mwananchi wa chini....Diamond anajaribu sana skuizi ila hapo awali alkuwa ni broken english tu...itabidi mjifunze lugha ya dunia nyie washamba....kwa sasa mpaka wachina wanajifunza kiingereza kisa kubwa ni biashara...msiwe washamba washamba hivi😀😀😀😀if yuu yuu yuu yuu wirr you wirr...😀😀😀
 
Tunafanya biashara zaidi yenu hadi sasa, ndani na nje ya EA, wanamuziki wetu wanatamba hapa Africa, hao wa Kenya hata ninyi wenyewe hamuwapendi pamoja na kiingereza chao, sisi ni taifa linalojitambu kuwa ni huru, tukiwa na bendera, pesa, wimbo wa Taifa, na lugha yetu, ninyi endeleeni kudharau lugha yenu ya Taifa kwa sababu ya kuwanyenyekea mabwana zenu, ndiyo sababu mkitishwa kidogo mnakimbia kupiga kura, au mnajitoa katika mikataba ya kupiga marufuku nguo za mitumba, stupid country
 
Tunafanya biashara zaidi yenu hadi sasa, ndani na nje ya EA, wanamuziki wetu wanatamba hapa Africa, hao wa Kenya hata ninyi wenyewe hamuwapendi pamoja na kiingereza chao, sisi ni taifa linalojitambu kuwa ni huru, tukiwa na bendera, pesa, wimbo wa Taifa, na lugha yetu, ninyi endeleeni kudharau lugha yenu ya Taifa kwa sababu ya kuwanyenyekea mabwana zenu, ndiyo sababu mkitishwa kidogo mnakimbia kupiga kura, au mnajitoa katika mikataba ya kupiga marufuku
Kwa mujibu wa katiba ya Kenya, kiingereza pia ni lugha yetu ya taifa sawa tu na kiswahili.
 
Ukiangalia body language utaona kwamba hakuwa katika serious interview, alijubu kama jokes, kwasababu anajua kabisa kwamba hana uwezo wa kuitumia hiyo lugha, ila angekosea kiswahili wala msingeshangaa, mtoto wa Uhuru Kenyatta hajui kabisa kiswahili, alihutubia kwa kusoma kwenye simu, wala hamjisikii vibaya, yaani wazungu waliwaathiri vibaya sana ninyi wakenya.

Ni nani aliyekuambia kuwa watu hawakumkejeli mtoto wa Uhuru? Kumbuka mwana wa uhuru hakujipeleka kwa kiswahili kwa kuwa alikuwa anataka kujionyesha, bali ilikuwa lugha pekee ambayo aliona angeweza kuhutubia umati nayo.

Yule mama mwenyewe alijipeleka kwa lugha ya kiingereza na kukejeliwa atakejeliwa tu.
 
Tunafanya biashara zaidi yenu hadi sasa, ndani na nje ya EA, wanamuziki wetu wanatamba hapa Africa, hao wa Kenya hata ninyi wenyewe hamuwapendi pamoja na kiingereza chao, sisi ni taifa linalojitambu kuwa ni huru, tukiwa na bendera, pesa, wimbo wa Taifa, na lugha yetu, ninyi endeleeni kudharau lugha yenu ya Taifa kwa sababu ya kuwanyenyekea mabwana zenu, ndiyo sababu mkitishwa kidogo mnakimbia kupiga kura, au mnajitoa katika mikataba ya kupiga marufuku nguo za mitumba, stupid country

Mie hapa nakubaliana nawe. Hii tabia ya kuona kiingereza ndiyo lugha ya ustaarabu ni kasumba ya utumwa. Hata hivyo, mwanamziki huyo pia alikosea kwani kasumba ii hii ndiyo iliyomfanya kung'ang'ana na kiingereza wakati hapakuwa na haja ya kufanya hivyo.
 
Ni nani aliyekuambia kuwa watu hawakumkejeli mtoto wa Uhuru? Kumbuka mwana wa uhuru hakujipeleka kwa kiswahili kwa kuwa alikuwa anataka kujionyesha, bali ilikuwa lugha pekee ambayo aliona angeweza kuhutubia umati nayo.

Yule mama mwenyewe alijipeleka kwa lugha ya kiingereza na kukejeliwa atakejeliwa tu.
Tatizo sio kukejeli ila ni wakenya kuiona lugha ya kiingereza kama lugha ya Mungu, stupid
 
Hapo umekosea. Lakini kwa kuwa umeamuwa kuja na matusi, basi kashinde hapo. Sina haja ya kubishana na mtu amabaye anataka affirmation kwa kuwa amezama ndani mwa inferiority complex.
 
Wewe ndo unaona lugha ya kiingereza ni kama ya mungu huku Kenya wala si ishu. Hiyo ndo lugha wanayoitumia kufundisha kutoka darasa la kwanza, kwenye masomo yote isipokuwa kiswahili.
 
Tribalistic mentality ndiyo yenye kuendana na inferiority complex, one tribe to feel superior than the other, onyesha ni tusi gani hapo nililolisema?
 
Wewe ndo unaona lugha ya kiingereza ni kama ya mungu huku Kenya wala si ishu. Hiyo ndo lugha wanayoitumia kufundisha kutoka darasa la kwanza, kwenye masomo yote isipokuwa kiswahili.
Sisi huku tumeipiga marufuku kuanzia mashuleni hadi ofisini, hatuithamini kama ninyi watumwa wa mzungu, mnahusisha english na mtu kuwa educated, stupid country under mental slavery
 
Hiyo ndio inaitwa projection. Yaani mtu anaabudu lugha kisha anageuka na kusema kuwa mwingine ndiye ameiabudu. Hamna haja ya kuwaelimisha watu kama hawa
 
Sisi huku tumeipiga marufuku kuanzia mashuleni hadi ofisini, hatuithamini kama ninyi watumwa wa mzungu, mnahusisha english na mtu kuwa educated, stupid country under mental slavery
Wewe mwenyewe unatumia kiingereza kuangusha povu, eti stupid, mental slavery. Hata matusi ukiyatoa kwa lugha ya kiingereza unajiona ndo umefikaa. Hehehe.
 
Back
Top Bottom