Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kiherehere, kwetu hiyo tunachezea kama toy, we don't take it seriously kama ninyi huko, so we just play with it at our wishSasa kiherehere chake alikipeleka kwenye lugha ya ma'slave master' kwanini? Mitanzania bana.
Vijimambo: Mwanamuziki wa Tanzania ajaribu kuzungumza kingereza
Mbona huyo alikilazimisha basi wakati angetumia kiswahili ndo angeeleweka vizuri?Sio kiherehere, kwetu hiyo tunachezea kama toy, we don't take it seriously kama ninyi huko, so we just play with it at our wish
Kama bwana yule....Bora Tundu Lisu aliamua kuzungumza kwa Lugha yetu ya Kiswahili, vinginevyo asingeeleweka kwa kiingereza chake broken cha Singida!
Tunafanya biashara zaidi yenu hadi sasa, ndani na nje ya EA, wanamuziki wetu wanatamba hapa Africa, hao wa Kenya hata ninyi wenyewe hamuwapendi pamoja na kiingereza chao, sisi ni taifa linalojitambu kuwa ni huru, tukiwa na bendera, pesa, wimbo wa Taifa, na lugha yetu, ninyi endeleeni kudharau lugha yenu ya Taifa kwa sababu ya kuwanyenyekea mabwana zenu, ndiyo sababu mkitishwa kidogo mnakimbia kupiga kura, au mnajitoa katika mikataba ya kupiga marufuku nguo za mitumba, stupid countrynimecheka sana....hawa jamaa wako hivyo toka kwa rais mpaka kwa mwananchi wa chini....Diamond anajaribu sana skuizi ila hapo awali alkuwa ni broken english tu...itabidi mjifunze lugha ya dunia nyie washamba....kwa sasa mpaka wachina wanajifunza kiingereza kisa kubwa ni biashara...msiwe washamba washamba hivi😀😀😀😀if yuu yuu yuu yuu wirr you wirr...😀😀😀
Kwa mujibu wa katiba ya Kenya, kiingereza pia ni lugha yetu ya taifa sawa tu na kiswahili.Tunafanya biashara zaidi yenu hadi sasa, ndani na nje ya EA, wanamuziki wetu wanatamba hapa Africa, hao wa Kenya hata ninyi wenyewe hamuwapendi pamoja na kiingereza chao, sisi ni taifa linalojitambu kuwa ni huru, tukiwa na bendera, pesa, wimbo wa Taifa, na lugha yetu, ninyi endeleeni kudharau lugha yenu ya Taifa kwa sababu ya kuwanyenyekea mabwana zenu, ndiyo sababu mkitishwa kidogo mnakimbia kupiga kura, au mnajitoa katika mikataba ya kupiga marufuku
Ukiangalia body language utaona kwamba hakuwa katika serious interview, alijubu kama jokes, kwasababu anajua kabisa kwamba hana uwezo wa kuitumia hiyo lugha, ila angekosea kiswahili wala msingeshangaa, mtoto wa Uhuru Kenyatta hajui kabisa kiswahili, alihutubia kwa kusoma kwenye simu, wala hamjisikii vibaya, yaani wazungu waliwaathiri vibaya sana ninyi wakenya.
Tunafanya biashara zaidi yenu hadi sasa, ndani na nje ya EA, wanamuziki wetu wanatamba hapa Africa, hao wa Kenya hata ninyi wenyewe hamuwapendi pamoja na kiingereza chao, sisi ni taifa linalojitambu kuwa ni huru, tukiwa na bendera, pesa, wimbo wa Taifa, na lugha yetu, ninyi endeleeni kudharau lugha yenu ya Taifa kwa sababu ya kuwanyenyekea mabwana zenu, ndiyo sababu mkitishwa kidogo mnakimbia kupiga kura, au mnajitoa katika mikataba ya kupiga marufuku nguo za mitumba, stupid country
Tatizo sio kukejeli ila ni wakenya kuiona lugha ya kiingereza kama lugha ya Mungu, stupidNi nani aliyekuambia kuwa watu hawakumkejeli mtoto wa Uhuru? Kumbuka mwana wa uhuru hakujipeleka kwa kiswahili kwa kuwa alikuwa anataka kujionyesha, bali ilikuwa lugha pekee ambayo aliona angeweza kuhutubia umati nayo.
Yule mama mwenyewe alijipeleka kwa lugha ya kiingereza na kukejeliwa atakejeliwa tu.
Tatizo sio kukejeli ila ni wakenya kuiona lugha ya kiingereza kama lugha ya Mungu, stupid
Vijimambo: Mwanamuziki wa Tanzania ajaribu kuzungumza kingereza
Wewe ndo unaona lugha ya kiingereza ni kama ya mungu huku Kenya wala si ishu. Hiyo ndo lugha wanayoitumia kufundisha kutoka darasa la kwanza, kwenye masomo yote isipokuwa kiswahili.Tatizo sio kukejeli ila ni wakenya kuiona lugha ya kiingereza kama lugha ya Mungu, stupid
Tribalistic mentality ndiyo yenye kuendana na inferiority complex, one tribe to feel superior than the other, onyesha ni tusi gani hapo nililolisema?Hapo umekosea. Lakini kwa kuwa umeamuwa kuja na matusi, basi kashinde hapo. Sina haja ya kubishana na mtu amabaye anataka affirmation kwa kuwa amezama ndani mwa inferiority complex.
Sisi huku tumeipiga marufuku kuanzia mashuleni hadi ofisini, hatuithamini kama ninyi watumwa wa mzungu, mnahusisha english na mtu kuwa educated, stupid country under mental slaveryWewe ndo unaona lugha ya kiingereza ni kama ya mungu huku Kenya wala si ishu. Hiyo ndo lugha wanayoitumia kufundisha kutoka darasa la kwanza, kwenye masomo yote isipokuwa kiswahili.
Wewe ndo unaona lugha ya kiingereza ni kama ya mungu huku Kenya wala si ishu. Hiyo ndo lugha wanayoitumia kufundisha kutoka darasa la kwanza, kwenye masomo yote isipokuwa kiswahili.
Wewe mwenyewe unatumia kiingereza kuangusha povu, eti stupid, mental slavery. Hata matusi ukiyatoa kwa lugha ya kiingereza unajiona ndo umefikaa. Hehehe.Sisi huku tumeipiga marufuku kuanzia mashuleni hadi ofisini, hatuithamini kama ninyi watumwa wa mzungu, mnahusisha english na mtu kuwa educated, stupid country under mental slavery