KTV live jamaa wa NASA akiri kuna tallying centre Arusha

Kama kichwa kinavyojielezea imebidi nije mbio mbio vipo huyu jamaa kapteni wa mapambano wa NaSA kukiri live kuwa kina tallying in arusha hii imekaaje kidiplomasia na waziri wetu alikanusha kabisa TZ kuhusika

Sent using Jamii Forums mobile app
tuwekee taarifa yenyewe tujionee
 
mkuu ni 2005 sio 2015....Africa kama hajushinda wewe basi umeibiwa...sijui kwa nini usikumbali matokeo aafu urundi ujipange upya....Bohari wa Nigeria alishidwa mara 2 au zaidi lakini mwishowe alikuja shinda na kuingia Ikulu
 
Maalim Seif anafanya Siasa za kizamani kabisa. Haangalii alama za nyakati na wala haendi na wakati.

Ukitaka kususa unafanya hivyo tangu mwanzo. Sio unaingia mchezoni halafu unakuja kususa katikati.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahyo suluhisho ni lipi kwa wapinzani wanaoamini tume haziko huru mfano besigye na tsvangirai wafanyeje???
 
mkuu ni 2005 sio 2015....Africa kama hajushinda wewe basi umeibiwa...sijui kwa nini usikumbali matokeo aafu urundi ujipange upya....Bohari wa Nigeria alishidwa mara 2 au zaidi lakini mwishowe alikuja shinda na kuingia Ikulu
Mkuu kwani madai gani yamekuwa ya uongo??? Ndo nakupa taarifa sasa kivuitu na isaack hassa waliwahi kuwa wenyeviti wa tume ya uchaguzi wa kenya na wote wamekiri kwenye interview ya KTN news kwa mida tofauti kuwa odinga aliporwa ushindi 2013 na 2007 sasa mkuu unamaanisha unajua kuliko wenyeviti wa tume??? Kma hujui kitu ni heri unyamaze tu na ili uamini Ruto atagombea urais 2022 dhidi ya mkikuyu na still ataangushwa naye atalialia hivi hivi kuwa kaibiwa kura wait and see
 
Mkuu acha upotoshaji hayo ya serikali ya umoja wa kitaifa ilipigwa kura ya maoni na wananchi walio wengi wakaafiki ccm na cuf ziunde serikali moja sasa maalim kaamua kipi hapo???
Mkuu naona wewe mchanga sana kwenye siasa...... kibaki alikuwa makam wa rais wa dikteta moi ila ilipofika wakati wa kudai mabdiliko kina odinga waliungana na kibaki na kuiangusha KANU

Tsvangirai kaungana na aliyekuwa makam wa rais wa mugabe ili wamuondoe mugabe uchaguzi ujao ??

Kilichofanya chadema washirikiane na lowasa ni strictly kuiangusha CCM..... sasa kma mnashrikiana kwa lengo jema kivp ukumbushie ya nyuma kuwa mlitukanana?? Sasa miaka nane imepita mmekutana na mhusika akaweka dhahiri shahiri vithibitisho kuwa sio fisadi kwenye kamati kuu na mkaona he is credible sasa ulitaka waendelee kumuita fisadi???

Get real mkuu
 

Dovutwa alikubali.
 
JK alishinda kwa zaidi ya 80% 2005, bado Mbowe na Lipumba, 2010 CUF walikubali kwa kuwa walikuwa wanaingia ndani ya serikali ya mseto vingenevyo wangesema uchaguzi mbovu, viongozi wa Africa mashariki hawana ustaarabu wa kukubali kushindwa.
 
JK alishinda kwa zaidi ya 80% 2005, bado Mbowe na Lipumba, 2010 CUF walikubali kwa kuwa walikuwa wanaingia ndani ya serikali ya mseto vingenevyo wangesema uchaguzi mbovu, viongozi wa Africa mashariki hawana ustaarabu wa kukubali kushindwa.
Mkuu mpinzani hawezi kubali matokeo kma kuna madhaifu na kasoro nyingi sasa lipumba angekubalije matokeo wakati maalim aliibiwa wazi wazi 2005 si wangeonekana wasaliti???

Ndio nakuuliza hapa nipe uchaguzi mmoja tu ambao unaona ulikuwa huru na haki just be true to yourself
 
Kwa nini Mbowe na Lipumba walishindwa kukubali pia matokeo 2005, ni kasoro gani hizo wakati Mbowe alikuwa na 5% tu, ni kukosa ustaarabu na uungwana tu, hata kwa Kagame ambapo ameshinda kwa 98% bado watakuambia wapinzani wake watakuambia ameiba tu.
BTW, unajua chaguzi zote za Tz ( sio Zenji) zimekuwa zinawekwa kwenye kundi la chaguzi huru na haki na tume zote za kimataifa, kwa hiyo huu mchecheto wa Kenya uondoe.
 
Walikataa sio sababu kikwete hakushinda kihalali ila figisu kwenye baadhi ya vituo mfano mawakala kutolewa nje.... wagombea kuswekwa ndani, wanaccm kuruhusiwa vituoni ilihali wapinzani walizuiwa n.k hivyo ila kukataa uchaguzi sio necessarily kunamaanisha uliibiwa kura

Pia kikubwa zaidi ni solidarity kwa maalim maana aliibiwa kura 2005 ambapo rais amani mwenyewe alikiri kwenye mahojiano na DW mwaka jana ssa sijui wwe unakataa nini

Pia waangalizi wenyewe sio wachunguzi kma alivyodai mbeki na kerry wao wapo pale kuona sheria ikitekelezwa mfano watu wamejiandikisha,wamepiga kura basi matokeo yametangzwa hyo ndio kazi ya WAANGALIZI ila hayo ya nani kashinda kihalali yanabakia kwa mahakama na wakenya wenyewe upo hapo!!! Na ndio maana hata waliposema uchaguzi wa zenji ulikuwa huru na haki na haukuwa na kasoro zozote bado JECHA aliufuta uchaguzi!!!!!

Wangalizi sio wachunguzi hivo basi wwe kma wwe nipe mfano wa uchaguzi ulio kuwa huru na haki na bado wapinzani wakakataa matokeo
 
Kivuitu aliadai kwamba hajui nani alishinda...ukweli 2007 Raila alishinda hilo linafahamika..usishangae na huyu wa sasa akipigwa chini akasema na mwaka Rao alishinda..its thier words aganist 15m Kenyans who voted...Africa wapinzani kwa kweli mazingira hua ni magumu sana kuingia Ikulu uchaguzi huru na haki...katika mazingira ambayo hata baada ya Raila kukaa na ma interntational observers na bado wakasema uchaguzi upo credible ndio ujue Raila kashindwa kihalali...jana Nasa wamemshambulia mpaka John Kelly eti hana sifa za kua muangalizi na kadhalika....ukiona manyoya ujue ime.....
 
Namsupport raila ingawa binafsi nina imani na IEBC na nmekubali matokeo kuwa tumeanguka simply becoz kenyatta ni incumbent so kazi zake zimeonekana thats all ila hoja yangu ni kwamba Rail hajafa kisiasa au sijui kupigwa knockout kma wachangiaji wengi kwenye huu uzi wanavyosema sababu kapata 7 milion votes!! Pia seneti na ugavana wamegawana na jubilee pasu kwa pasu ila nmekuelewa sana hoja yako mkuu na naafiki

Ni hayo tu
 
Unaweza kuona kwamba CUF na Chadema hawana haja ya kumuita Lipumba msaliti. Wote ni wale wale ila wanatumia approach tofauti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujaelewa swali, chama kinachofuata baada ya chama kinacho ongoza ina maana yake hapo.
Ndio maana mimi huwa namuombea Dovutwa awe anashika namba mbili kwenye uchaguzi....coz that man is very humble.
 
Zitto aje ajibu maana alikia msemaji wa serikali baada ya tuhuma

Uhuru atosha
 
binafsi Mkuu sitaki kua mnafiki Kenyatta na Ruto wamefanya rushwa ishamili sana Kenya, na hii inafanya maisha yao kua ya shinda kweli kweli hilo pekee lilotosha kuwapeleka nyumbani endapo ...sasa Raila kosa la kwanza alilofanya ni mapema ni yeye na ma principal wenzie kutangaza jinsi watakvyogawana madaraka baada ya kuingia Ikulu...kosa hapo ni kwamba goverment expenditure ingepanda juu maradufu...ufahamu mpaka sasa Kenya ni moja ya nchi yenye mishahara mikubwa sana kwa wabunge,diwani,gavan,senata,Raisi...sasa mpaka hapo kaka hawa Nasa ubinafsi wao ulionekana mapema sana...pia social media department yao ilikua so poor kuuza sera zao compared to Jubilee...lingine na yule tenderprenuer nguli kusemekana ndio financier wao kwa ahadi atapewa bandari Mombasa n kiwanda cha bostola Eldoret...pia vyama wahusika Nasa kutokumbaliana majimboni kua na mgombea mmoja,hii ilikipa Jubilee kupenya kwenye mgoma zao kama Magharibi, Pwani n.k....wewe ni shaidi mzee Lowasa alikua anajaza umati 2015 kwenye kampeni zake ila sasa kuna tofauti iliyopo sio wote wanaofurika kwenye kampeni ni wapigakura...wakenya walijiadikisha milioni 19 na waliopiga kura ni 15 hivi..sasa usishangae hawa 4m ndio walikua wanajaza mikutano ya Raila...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…