Mwaka 2010 CUF hawakukubali matokeo, bali Maalim Seif aliridhia baada ya kuahidiwa cheo cha Umakamu wa Rais. So haikua CUF ila Maalim.
Wanasiasa wetu wa upinzani wanajiwakilisha wenyewe wala sio wananchi. Pale ambapo wao wameridhika maslahi yao yatapatikana kila kitu kiko sawa, kama hawayaoni weeeeee, no way.
Bado nakumbuka M/kiti wetu alivyobadilishia gia angani. Kuna jamaa tulishiriki kumtukana matusi ya kila aina kwa miaka minane mfululizo, mara alipokaa na kuelewana na viongozi wetu, tukaambiwa ndo mwokozi wetu. Sitaki kabisa Siasa aisee!
Sent using
Jamii Forums mobile app