Tuko
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 11,180
- 7,346
Kwa miezi kadhaa sasa kama unafuatilia posts za Clouds FM utagundua kwamba watu wengi wanalalamika kupotea kwa redio hiyo kwenye mikoa yao kwa muda mrefu.
Miongoni mwa mikoa ambako Clouds imepotea ni Morogoro, Shinyanga, Kagera, Kilimanjaro nk. Zaidi ya miezi 6 redio hiyo haisikiki humo.
Kwa kuzingatia umaarufu na umahiri wa redio hiyo, watu wanajiuliza matatizo yanayoshuhudiwa sasa ni kutokana na kukosekana kwa Ruge au kwa sababu ya tamaa ya Joseph Kusaga kwenda kuanzisha Wasafi media kiasi cha kushindwa kuzihudumia zote mbili?!!!!