Ku collapse Clouds FM, Ni effect ya Ruge au tamaa ya Kusaga?

Creativity imefika mwisho wasikilizaji wamepungua ni kama duka tu Sasa wameanza kusema "hakuna"
Sasa kipindi kinachohitaji tafakuri kinaendeshwa na Kija,Sam Sasali na yule jamaa Kila mda kachoka PJ kweli
Haya ukija huku kwenye taarifa ndio Kuna Mahija Zayumba eti na "nondo za Haris"
Asia Matona wanamrekodi kwa iphone ndio wamrushe
 
Biashara ya redio na TV zinaenda kufa muda si mrefu.

Ndani ya miaka 10 - 15 ijayo, sidhani kama Biashara ya redio na TV itakua biashara tena.

Yaani mtu niache kusoma habari twitter au jf nikitumia smart phone, nije kukusikiliza wewe unisimulie saa mbili usiku, how come?

Sosha network inakupa habari latest tena yenye ukweli kwa asilimia kubwa nije nisubiri taarifa ya habari tena huenda habari yenyewe imechuuujwa uongo kama wote.( haaiiiiiiiiii TV imetumika sana kushikilia/manipulate akili za watanzania, ndugu mtanzania usijione muoga linapokuja suala la kudeal na serekali yako ukadhani ulizaliwa hivyo nooo, TV na redio Station zilitumika sana kukupumbaza plus shule, ndio maana ndugu tangazaji za pale zilikua zinakula teuzi kila leo serekalini)

Nikitaka kusikiliza ngoma ya wiz khalifa sina haya ya kupiga simu redioni/tv kuomba kuchezewa ngoma hiyo, ni single click youtube naisikiliza chap, sina haja ya kumuomba dj.

Hivi hamstuki siku hizi mpaka serikali haitumii sana ma redio ni mwendo wa chawa tu.

Mwisho kabisa jiulize kwa nini TV & radio stations zoote zina akaunti sosha network and not vice versa
Mbona Wassfi na E fm bado zinatamba
 
Si ndiyo qalijifanya wana kiherehere kwenda kutangaza ule uchaguzi wa upande wa pili?

Ngoja wazione rangi za mama
Uchaguzi umefanyika juzi, radio imepoteza mwelekeo over 6 months (according to the thread) hapa mama anaingiaje? That's one, la pili ni hili, huko kupotea mikoani, kuna uhusiano wowote na serikali au CMC wenyewe hadi mama ahusike? Tutamsingizia na kumlaumu mama kwa mengi, sidhani kama na hili pia anahusika nalo
 
Kwa miezi kadhaa sasa kama unafuatilia posts za Clouds FM utagundua kwamba watu wengi wanalalamika kupotea kwa redio hiyo kwenye mikoa yao kwa muda mrefu.

Miongoni mwa mikoa ambako Clouds imepotea ni Morogoro, Shinyanga, Kagera, Kilimanjaro nk. Zaidi ya miezi 6 redio hiyo haisikiki humo.

Kwa kuzingatia umaarufu na umahiri wa redio hiyo, watu wanajiuliza matatizo yanayoshuhudiwa sasa ni kutokana na kukosekana kwa Ruge au kwa sababu ya tamaa ya Joseph Kusaga kwenda kuanzisha Wasafi media kiasi cha kushindwa kuzihudumia zote mbili?!!!!
Wilaya ya Nachingwea Lindi Clouds saiv mwez wa 5 haisikiki.
 
Hakuna kitu kama icho yan ww kutokusikilza redio haimansh wengne hawaskilz na ukizngatia kwa umr ulionao harakat unazofanya unakua karbu zaid na simu kulko redio lkn bado hio akup majibu kua mfumo wa redio unaenda kufa kwenye kila taasis iz za redio na Tv ua znapata sgnal za number of views na wanaoskilza ndan ya nnch na nje kwa kila sku ndio mana kuna redio unaweza ujaiskilza zaid ya miaka 5lkn ipo na inarum mfano sibuka fm je unadhan wanapata wap fund ya kurun kituo?? Mifumo ya redio na Tv haita pitwa na wakat hata ipte miaka 100 dunian izo ndio ztabak kua major sourch of infmation dunian lasvyo ungekuta bbc washafunga matangazo yao yan waajir mtu kutoka tanzania il akusomee habar tu kwa nusu saa na wamlpe ma milion ya pesa il uskilze kwa kiswahil kutoka born ujeruman..
Uandishi wa hovyo kuliko hovyo yenyewe..!
 
Biashara ya redio na TV zinaenda kufa muda si mrefu.

Ndani ya miaka 10 - 15 ijayo, sidhani kama Biashara ya redio na TV itakua biashara tena.

Yaani mtu niache kusoma habari twitter au jf nikitumia smart phone, nije kukusikiliza wewe unisimulie saa mbili usiku, how come?

Sosha network inakupa habari latest tena yenye ukweli kwa asilimia kubwa nije nisubiri taarifa ya habari tena huenda habari yenyewe imechuuujwa uongo kama wote.( haaiiiiiiiiii TV imetumika sana kushikilia/manipulate akili za watanzania, ndugu mtanzania usijione muoga linapokuja suala la kudeal na serekali yako ukadhani ulizaliwa hivyo nooo, TV na redio Station zilitumika sana kukupumbaza plus shule, ndio maana ndugu tangazaji za pale zilikua zinakula teuzi kila leo serekalini)

Nikitaka kusikiliza ngoma ya wiz khalifa sina haya ya kupiga simu redioni/tv kuomba kuchezewa ngoma hiyo, ni single click youtube naisikiliza chap, sina haja ya kumuomba dj.

Hivi hamstuki siku hizi mpaka serikali haitumii sana ma redio ni mwendo wa chawa tu.

Mwisho kabisa jiulize kwa nini TV & radio stations zoote zina akaunti sosha network and not vice versa
Huu ndiyo ukweli mchungu, maana ukichek hata matangazo ambayo ndiyo chanzo kikubwa cha mapato kwenye hizo radio na TV, yanapelekwa zaidi kwa chawa sikuhizi wakina Mwijaku, Babalevo, Dotto magari na watu wengine maarufu kwenye jamii. Social media is a game changer
 
Nitajie nchi yoyote Dunia hii ambayo hiyo biashara ya radio na television imekufa.... NCHI YOYOTE.
 
Nitajie nchi yoyote Dunia hii ambayo hiyo biashara ya radio na television imekufa. NCHI YOYOTE.
 
Nitajie nchi yoyote Dunia hii ambayo hiyo biashara ya radio na television imekufa.... NCHI YOYOTE.
Mambo mengine ni akili tu mzee, mfano wewe unawasha redio usikilize nini? Coz inachoofa redio na TV, social network ina ofa tena zaidi,.

Sasa utasikiliza redio ya nini zaidi ya mazoea?
 
Kutokusikika Kwa Radio Mikoani inategemea na mitambo Yao , Transmitter zao Zina nguvu kiasi Gani , gharama za uendeshaji na mambo mengine
 
Mambo mengine ni akili tu mzee, mfano wewe unawasha redio usikilize nini? Coz inachoofa redio na TV, social network ina ofa tena zaidi,.

Sasa utasikiliza redio ya nini zaidi ya mazoea?
Huna akili hata ya kujibu nilichokuuliza. Nakupuuza.
 
Biashara ya redio na TV zinaenda kufa muda si mrefu.

Ndani ya miaka 10 - 15 ijayo, sidhani kama Biashara ya redio na TV itakua biashara tena.

Yaani mtu niache kusoma habari twitter au jf nikitumia smart phone, nije kukusikiliza wewe unisimulie saa mbili usiku, how come?

Sosha network inakupa habari latest tena yenye ukweli kwa asilimia kubwa nije nisubiri taarifa ya habari tena huenda habari yenyewe imechuuujwa uongo kama wote.( haaiiiiiiiiii TV imetumika sana kushikilia/manipulate akili za watanzania, ndugu mtanzania usijione muoga linapokuja suala la kudeal na serekali yako ukadhani ulizaliwa hivyo nooo, TV na redio Station zilitumika sana kukupumbaza plus shule, ndio maana ndugu tangazaji za pale zilikua zinakula teuzi kila leo serekalini)

Nikitaka kusikiliza ngoma ya wiz khalifa sina haya ya kupiga simu redioni/tv kuomba kuchezewa ngoma hiyo, ni single click youtube naisikiliza chap, sina haja ya kumuomba dj.

Hivi hamstuki siku hizi mpaka serikali haitumii sana ma redio ni mwendo wa chawa tu.

Mwisho kabisa jiulize kwa nini TV & radio stations zoote zina akaunti sosha network and not vice versa
Haziwezi kuondoka ila zitahamia mitandaoni tu.

Radio, magazeti na TV bado ni aina za mawasiliano ambazo zitakuwepo kwa muda mrefu sana ujao.
 
Redio zote kwa sasa zina hali ngumu. Kuna wenye redio ambao kwa sasa wanajuta kuwekeza pesa huko. Mbaya zaidi ni kwamba biashara ya redio huwa ni kama kazi ya kusaidia jamii.. sio rahisi kuifunga ghafla.
 
Tanzania

Back
Top Bottom