Ku collapse Clouds FM, Ni effect ya Ruge au tamaa ya Kusaga?

Ku collapse Clouds FM, Ni effect ya Ruge au tamaa ya Kusaga?

Hii biashara ni siku nyingi tu niliishutukia lakin nilishangaa kuna miaka hapo nyuma kama 2009 mpaka 2015 watu walikurupukia sana sjui walikuwa hawaoni kama inaelekea mwisho
Yaani biashara ya redio ife Tz kwa sababu ya social networks, ninyi watu mko nje ya nchi au ndani humuhumu, na kama ni ndani nyie mnaishi wapi huko??
Mpaka kesho tv na radio stations ndio major source of inf kikwetu kwetu hapa. Watu wengi bado hawana smartphone na hata walionazo bado wengi hawajui wapate vipi habari ziwahusuzo.

Huoni wanagombaniana watangazaji huko kila leo, huyo kenda kule na yule kaenda huku, ujue bado tunawahitaji.
 
vijana wengi sahv naona muda wote wanasikiliza nyimbo za kwenye card,ni ngumu kukuta kijana mwenye miaka 25 kushuka chini katune anasikiliza redio
 
Kama radio na TV zikiendelea na ngomjera hizihizi: kutumia kisiasa, kuokota wafanyakazi wasio na weledi, ubunifu sufuri, n.k vituo vingi vitabaki makumbusho pale Mawasiloano House.
Huko duniani kuna mpaka program za kulipa; huku '..hole' wote wanapiga soga za vibarazani/vijiweni
 
Kwa miezi kadhaa sasa kama unafuatilia posts za Clouds FM utagundua kwamba watu wengi wanalalamika kupotea kwa redio hiyo kwenye mikoa yao kwa muda mrefu.

Miongoni mwa mikoa ambako Clouds imepotea ni Morogoro, Shinyanga, Kagera, Kilimanjaro nk. Zaidi ya miezi 6 redio hiyo haisikiki humo.

Kwa kuzingatia umaarufu na umahiri wa redio hiyo, watu wanajiuliza matatizo yanayoshuhudiwa sasa ni kutokana na kukosekana kwa Ruge au kwa sababu ya tamaa ya Joseph Kusaga kwenda kuanzisha Wasafi media kiasi cha kushindwa kuzihudumia zote mbili?!!!!
Kuondoka Kwa Ruge ni Pigo kubwa Kwa clouds fm
 
Hata baba zenu na familia zenu zilikufa biashara kwa mtindo huu.
 
vijana wengi sahv naona muda wote wanasikiliza nyimbo za kwenye card,ni ngumu kukuta kijana mwenye miaka 25 kushuka chini katune anasikiliza redio
Ni wengi ndgu, nenda masokoni huko na magetoni mwao. Na wengi husikiliza habari za michezo redioni na sio mitandaoni.
 
Back
Top Bottom