Imekufa miezi 6 iliyopita ktk hiyo mikoa aliyoutaja.Imekolapsaje kwani?
Mazishi wapiImekufa miezi 6 iliyopita ktk hiyo mikoa aliyoutaja.
Soon itakuwa RTD ya SW 1, SW 2, na MW au LWKwa miezi kadhaa sasa kama unafuatilia posts za Clouds FM utagundua kwamba watu wengi wanalalamika kupotea kwa redio hiyo kwenye mikoa yao kwa muda mrefu.
Miongoni mwa mikoa ambako Clouds imepotea ni Morogoro, Shinyanga, Kagera, Kilimanjaro nk. Zaidi ya miezi 6 redio hiyo haisikiki humo.
Kwa kuzingatia umaarufu na umahiri wa redio hiyo, watu wanajiuliza matatizo yanayoshuhudiwa sasa ni kutokana na kukosekana kwa Ruge au kwa sababu ya tamaa ya Joseph Kusaga kwenda kuanzisha Wasafi media kiasi cha kushindwa kuzihudumia zote mbili?!!!!
Huko kwa walioanzisha hizo social network radio mpya zinaanzishwa karibu kila siku.Biashara ya redio na TV zinaenda kufa muda si mrefu.
Ndani ya miaka 10 - 15 ijayo, sidhani kama Biashara ya redio na TV itakua biashara tena.
Yaani mtu niache kusoma habari twitter au jf nikitumia smart phone, nije kukusikiliza wewe unisimulie saa mbili usiku, how come?
Sosha network inakupa habari latest tena yenye ukweli kwa asilimia kubwa nije nisubiri taarifa ya habari tena huenda habari yenyewe imechuuujwa uongo kama wote.( haaiiiiiiiiii TV imetumika sana kushikilia/manipulate akili za watanzania, ndugu mtanzania usijione muoga linapokuja suala la kudeal na serekali yako ukadhani ulizaliwa hivyo nooo, TV na redio Station zilitumika sana kukupumbaza plus shule, ndio maana ndugu tangazaji za pale zilikua zinakula teuzi kila leo serekalini)
Nikitaka kusikiliza ngoma ya wiz khalifa sina haya ya kupiga simu redioni/tv kuomba kuchezewa ngoma hiyo, ni single click youtube naisikiliza chap, sina haja ya kumuomba dj.
Hivi hamstuki siku hizi mpaka serikali haitumii sana ma redio ni mwendo wa chawa tu.
Mwisho kabisa jiulize kwa nini TV & radio stations zoote zina akaunti sosha network and not vice versa
Si kweli kwani kote huko pia utawakuta... Clouds DigitalBiashara ya redio na TV zinaenda kufa muda si mrefu.
Ndani ya miaka 10 - 15 ijayo, sidhani kama Biashara ya redio na TV itakua biashara tena.
Yaani mtu niache kusoma habari twitter au jf nikitumia smart phone, nije kukusikiliza wewe unisimulie saa mbili usiku, how come?
Sosha network inakupa habari latest tena yenye ukweli kwa asilimia kubwa nije nisubiri taarifa ya habari tena huenda habari yenyewe imechuuujwa uongo kama wote.( haaiiiiiiiiii TV imetumika sana kushikilia/manipulate akili za watanzania, ndugu mtanzania usijione muoga linapokuja suala la kudeal na serekali yako ukadhani ulizaliwa hivyo nooo, TV na redio Station zilitumika sana kukupumbaza plus shule, ndio maana ndugu tangazaji za pale zilikua zinakula teuzi kila leo serekalini)
Nikitaka kusikiliza ngoma ya wiz khalifa sina haya ya kupiga simu redioni/tv kuomba kuchezewa ngoma hiyo, ni single click youtube naisikiliza chap, sina haja ya kumuomba dj.
Hivi hamstuki siku hizi mpaka serikali haitumii sana ma redio ni mwendo wa chawa tu.
Mwisho kabisa jiulize kwa nini TV & radio stations zoote zina akaunti sosha network and not vice versa
Bila kusaau na rukwa kaka imekata nayooKwa miezi kadhaa sasa kama unafuatilia posts za Clouds FM utagundua kwamba watu wengi wanalalamika kupotea kwa redio hiyo kwenye mikoa yao kwa muda mrefu.
Miongoni mwa mikoa ambako Clouds imepotea ni Morogoro, Shinyanga, Kagera, Kilimanjaro nk. Zaidi ya miezi 6 redio hiyo haisikiki humo.
Kwa kuzingatia umaarufu na umahiri wa redio hiyo, watu wanajiuliza matatizo yanayoshuhudiwa sasa ni kutokana na kukosekana kwa Ruge au kwa sababu ya tamaa ya Joseph Kusaga kwenda kuanzisha Wasafi media kiasi cha kushindwa kuzihudumia zote mbili?!!!!
Redio nyingi hazipatikani hewani.Wote wamefulia.Hakuna wa kumcheka chizi mwenzie.Kwa miezi kadhaa sasa kama unafuatilia posts za Clouds FM utagundua kwamba watu wengi wanalalamika kupotea kwa redio hiyo kwenye mikoa yao kwa muda mrefu.
Miongoni mwa mikoa ambako Clouds imepotea ni Morogoro, Shinyanga, Kagera, Kilimanjaro nk. Zaidi ya miezi 6 redio hiyo haisikiki humo.
Kwa kuzingatia umaarufu na umahiri wa redio hiyo, watu wanajiuliza matatizo yanayoshuhudiwa sasa ni kutokana na kukosekana kwa Ruge au kwa sababu ya tamaa ya Joseph Kusaga kwenda kuanzisha Wasafi media kiasi cha kushindwa kuzihudumia zote mbili?!!!!
Kusaga hata partnership ya biashara na Ruge, Ile ni business familyPartnership kwa Afrika bado sana, ni kujidanganya tu. Kusaga alianza kuonesha ubinafsi hata kabla ya kifo cha Ruge.
Hii biashara ni siku nyingi tu niliishutukia lakin nilishangaa kuna miaka hapo nyuma kama 2009 mpaka 2015 watu walikurupukia sana sjui walikuwa hawaoni kama inaelekea mwishoBiashara ya redio na TV zinaenda kufa muda si mrefu.