Ku collapse Clouds FM, Ni effect ya Ruge au tamaa ya Kusaga?

Creativity imefika mwisho wasikilizaji wamepungua ni kama duka tu Sasa wameanza kusema "hakuna"
Sasa kipindi kinachohitaji tafakuri kinaendeshwa na Kija,Sam Sasali na yule jamaa Kila mda kachoka PJ kweli
Haya ukija huku kwenye taarifa ndio Kuna Mahija Zayumba eti na "nondo za Haris"
Asia Matona wanamrekodi kwa iphone ndio wamrushe
 
Mbona Wassfi na E fm bado zinatamba
 
Si ndiyo qalijifanya wana kiherehere kwenda kutangaza ule uchaguzi wa upande wa pili?

Ngoja wazione rangi za mama
Uchaguzi umefanyika juzi, radio imepoteza mwelekeo over 6 months (according to the thread) hapa mama anaingiaje? That's one, la pili ni hili, huko kupotea mikoani, kuna uhusiano wowote na serikali au CMC wenyewe hadi mama ahusike? Tutamsingizia na kumlaumu mama kwa mengi, sidhani kama na hili pia anahusika nalo
 
Wilaya ya Nachingwea Lindi Clouds saiv mwez wa 5 haisikiki.
 
Uandishi wa hovyo kuliko hovyo yenyewe..!
 
Huu ndiyo ukweli mchungu, maana ukichek hata matangazo ambayo ndiyo chanzo kikubwa cha mapato kwenye hizo radio na TV, yanapelekwa zaidi kwa chawa sikuhizi wakina Mwijaku, Babalevo, Dotto magari na watu wengine maarufu kwenye jamii. Social media is a game changer
 
Nitajie nchi yoyote Dunia hii ambayo hiyo biashara ya radio na television imekufa.... NCHI YOYOTE.
 
Nitajie nchi yoyote Dunia hii ambayo hiyo biashara ya radio na television imekufa. NCHI YOYOTE.
 
Nitajie nchi yoyote Dunia hii ambayo hiyo biashara ya radio na television imekufa.... NCHI YOYOTE.
Mambo mengine ni akili tu mzee, mfano wewe unawasha redio usikilize nini? Coz inachoofa redio na TV, social network ina ofa tena zaidi,.

Sasa utasikiliza redio ya nini zaidi ya mazoea?
 
Kutokusikika Kwa Radio Mikoani inategemea na mitambo Yao , Transmitter zao Zina nguvu kiasi Gani , gharama za uendeshaji na mambo mengine
 
Mambo mengine ni akili tu mzee, mfano wewe unawasha redio usikilize nini? Coz inachoofa redio na TV, social network ina ofa tena zaidi,.

Sasa utasikiliza redio ya nini zaidi ya mazoea?
Huna akili hata ya kujibu nilichokuuliza. Nakupuuza.
 
Haziwezi kuondoka ila zitahamia mitandaoni tu.

Radio, magazeti na TV bado ni aina za mawasiliano ambazo zitakuwepo kwa muda mrefu sana ujao.
 
Redio zote kwa sasa zina hali ngumu. Kuna wenye redio ambao kwa sasa wanajuta kuwekeza pesa huko. Mbaya zaidi ni kwamba biashara ya redio huwa ni kama kazi ya kusaidia jamii.. sio rahisi kuifunga ghafla.
 
Tanzania
Mambo mengine ni akili tu mzee, mfano wewe unawasha redio usikilize nini? Coz inachoofa redio na TV, social network ina ofa tena zaidi,.

Sasa utasikiliza redio ya nini zaidi ya mazoea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…