Ku-date msichana aliye na umri kuanzia 27 na kuendelea raha sana, chini ya hapo stress mwanzo mwisho

Kama ni wamarangu anakulia timing kama kumuua kobe kaa kimachale hakikosa anachokitaka anakipeleka side B.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
Acha anilie timing tu kwa kweli, kuja kubadilika namimi nitakuwa nishafaidi vyangu vya kutosha. Nani mwenye hasara, hakuna vibomu vya kipuuzi puuzi kama hawa early 20's
 
Dhaaaa Mambo haya mm ndo maana
Natulia Tu huku kwenye 25-30 hapo hakuna
Kusumbuana kuchat kila saa
 
Ila ukumbuke huyo wa 28 pia wadau tuli hit and run kipindi yuko 23[emoji23]
Si ndio maana nasema hao kuwapiga na kuwaacha tunakuwa hatuwatendei haki maana wametulia sana. Hawa vicheche wanaojiita slay queen, wala bata la samaki samaki. Mie kila nikienda samaki narudi na kamoja kakulala nako, ila nikiona 27 au zaidi nawaacha maana hawastahili hayo.
 
Dhaaaa Mambo haya mm ndo maana
Natulia Tu huku kwenye 25-30 hapo hakuna
Kusumbuana kuchat kila saa
Si ndio hapo mkuu, hivi vitoto vya miaka 20 ya mapema hivi daah. Yaani mtu anataka kila saaa muoongee tu na kuchati, sasa mtu tupo kwenye mahusiano kwa zaidi ya miezi sita kila saa tunachati tunachati au kuongea nini kila wakati ?? Mimi binafs napenda space, nipate muda wa kujipumzisha na kufikiria maisha yangu nilikotoka na ninakokwenda, sasa hapo unaambiwa mbona hujibu mesejhi au uko na wawanake wako.
 
Vipi hana mtoto?
 
Lazima wapitie stage zao, wala usiwalaumu, hata wewe umepitia stage zako.
 
Hongera mkuu
 
Hii ni kwa wanandoa watarajiwa.
Sisi maveterani huwa tunaangalia millages mwisho miaka 25 ndio tulivyoelewana mabaharia.
 
Hii ni kwa wanandoa watarajiwa.
Sisi maveterani huwa tunaangalia millages mwisho miaka 25 ndio tulivyoelewana mabaharia.
Kabisa mkuu.
Mwenzetu akiwa na umri wa miaka 23 hakupitia haya, ndio maana anaona shida.

Sisi ambao hatukuruka stage
Mambo ni mswano.
 
Hivi huwa hampendi kuchat jamani?
Tunapenda Lakin sio kila wakat
Sasa asubuh mtu anatumia text.

Anataka ujibu mda huo huo mchana nae ndo huyo huyo na ukichelewa utaskia uko na nan
Mbona hujibu msg.

na kumbe mtu uko kaz kumtafta ugali mm binafs napenda
Kua online Sana most jion na weekends.

Kinachoniboa zaid n hiz sim za
Mkianza kuongea mpaka sim unapata
Moto[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…