kilamba lamba
JF-Expert Member
- May 27, 2020
- 427
- 738
Nyoka ni nyoka.. kamwe hatageuka kuwa njiwa. Manake huyo aliyeku-cheat mara moja, ataendelea kuku-cheat. Ww sema ni raha sana tu, cha muhimu chukua tahadhari na omba sana Mungu akukinge na maradhi ya zinaa yaliyopamba moto kila mahali ikiwa ni pamoja na VVUHabarini wanajamvi.... Natumai wazima wa afya.
Nimeamua niwafikishie ujumbe kwamba kudate na demu aliyewahi kukucheat ni raha sana.
Kila wakati anajishtukia tu na kukupa vizuri ujinafasi..
Atakaebisha abishé....
Cha muhimu si humpendi tuNyoka ni nyoka.. kamwe hatageuka kuwa njiwa. Manake huyo aliyeku-cheat mara moja, ataendelea kuku-cheat. Ww sema ni raha sana tu, cha muhimu chukua tahadhari na omba sana Mungu akukinge na maradhi ya zinaa yaliyopamba moto kila mahali ikiwa ni pamoja na VVU
Duuh! [emoji848]Ukiona nacheat then nabaki jua nakupenda....wengine hucheat ili wafumaniwe waachwe.Afu kunakipindi mtakubali kuwa nasi tunachoka na uji wa aina moja,(time will tell)
mwaka bado mchanga mimi naona tungeuacha kwanza maana kuna wengine tayari washaanza kuukemeaNdio kwanza January 1 huu mwaka umeanza mauza mauza mapema!
Mbona mapema sanaHuu mwaka uishe tu....
KaushaYULE MAMA ANASOMA HOTUBA KULIHUTUBIA TAIFA KAMA ANASOMA RISALA MSIBANI
NakutafutaUkiona nacheat then nabaki jua nakupenda....wengine hucheat ili wafumaniwe waachwe.Afu kunakipindi mtakubali kuwa nasi tunachoka na uji wa aina moja,(time will tell)
Unajua hiyo chakula yenu ina ladha tofauti tofauti,unaweza m cheat mtu lakini akikumbuka ladha yako mzuka unampanda ghafla.Aiseeee sema una moyo tu wa uvumilivu me binafsi mtu akincheat nikajua hisia huwa zinakata so siwez kuwa na mzuka kama before kumbe kwenu wanaume huwa mzuka unazidi