Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Hisia sitakaa milele, hivi kuna asiecheat? wanaishi wapi hao??Aiseeee sema una moyo tu wa uvumilivu me binafsi mtu akincheat nikajua hisia huwa zinakata so siwez kuwa na mzuka kama before kumbe kwenu wanaume huwa mzuka unazidi